Wote wakweli, kila mmoja kafanya kwa upeo wake.Kwahio mkweli nani walio muona hayuko vizuri au vipimo vinavyo onesha yupo vizuri 😃
Nakusalimu! Nakusalimu!Noma sana!
!Wapunguze kuteka raia wasio na hatia
Hii nchi ina vituko sana, muhimu kapatikana basi.