Mkurugenzi wa Dar 24 apatikana Kigamboni

Wakuu,

Kamanda Mulilo amezungumza kuthibitisha hili kuwa kijana amepatikana kigamboni.

Alionekana hayuko vizuri wakampeleka hospitali, vipimo vikaonesha yuko vizuri, hana madhara yoyote.

Amesema alikuwa na watu anaofahamiana nao wakiwa na mazungumzo ya kibiashara, alipewa kinywaji, baadaye akapoteza fahamu, alivyozinduka walimzungusha kwa muda na baadaye kumuacha sehemu.

Haya maelezo yanatolewa hata hayaeleweki, kama vile yameungwaungwa. Nyie mnaonaje Wakuu?

View attachment 3141814

Pia soma: Mkurugenzi wa Dar24 Media Maclean Mwaijonga apotea, hajulikani alipo
mi nadhani kufakamia mapombe bila mipangilio ni hatari kwa afya ya mfakamiaji.

kunyweni chai na kahawa ndrugu zango wananchi, msimskilize sana Janabi 🐒
 
Wakuu,

Kamanda Mulilo amezungumza kuthibitisha hili kuwa kijana amepatikana kigamboni.

Alionekana hayuko vizuri wakampeleka hospitali, vipimo vikaonesha yuko vizuri, hana madhara yoyote.

Amesema alikuwa na watu anaofahamiana nao wakiwa na mazungumzo ya kibiashara, alipewa kinywaji, baadaye akapoteza fahamu, alivyozinduka walimzungusha kwa muda na baadaye kumuacha sehemu.

Haya maelezo yanatolewa hata hayaeleweki, kama vile yameungwaungwa. Nyie mnaonaje Wakuu?

View attachment 3141814

Pia soma: Mkurugenzi wa Dar24 Media Maclean Mwaijonga apotea, hajulikani alipo
Gari lake analo?
 
Kumekucha. Ameachiwa baada ya kelele nyingi mtandaoni.
!
Wapunguze au waache kabisa ?!
Kuteka ni kosa, ni kinyume na sheria.
Kuteka ni dhuruma ya haki za binadamu.

Hata kwa wenye hatia wanazo haki za kufikishwa kwenye vyombo vya dola mahakamani kwa kujibu wa Katiba waloapa kuifuata kwa kushika vitabu vitakatifu.
Na mahakama ndio inayoweza kumtia mtu hatiani baada ya kujiridhisha kwa ushahidi usio shaka.
Mbona dingi anajiuma uma sana. 😁
Huyu Polisi Wala hata hajaeleweka kabisa taarifa yake hii, yaani ni kama ile taarifa ya IGP Simon Sirro kuhusu kupatikana kwa Mo Dewji baada ya kutekwa na 'watu wasiojulikana.'
 
"Akajikuta" zee halina hata aibu halaf linanongea limeangalia pembeni kupacify ili liwe comfortable.
 
Wakuu,

Kamanda Mulilo amezungumza kuthibitisha hili kuwa kijana amepatikana kigamboni.

Alionekana hayuko vizuri wakampeleka hospitali, vipimo vikaonesha yuko vizuri, hana madhara yoyote.

Amesema alikuwa na watu anaofahamiana nao wakiwa na mazungumzo ya kibiashara, alipewa kinywaji, baadaye akapoteza fahamu, alivyozinduka walimzungusha kwa muda na baadaye kumuacha sehemu.

Haya maelezo yanatolewa hata hayaeleweki, kama vile yameungwaungwa. Nyie mnaonaje Wakuu?

View attachment 3142181

Pia soma: Mkurugenzi wa Dar24 Media Maclean Mwaijonga apotea, hajulikani alipo
Hizi ni drama za mulilo to create an environment kuwa utekaji say wa akina Soka et al ni kama huo and therefore to exculpate the samia rule from these atrocities1
 
Wakuu,

Kamanda Mulilo amezungumza kuthibitisha hili kuwa kijana amepatikana kigamboni.

Alionekana hayuko vizuri wakampeleka hospitali, vipimo vikaonesha yuko vizuri, hana madhara yoyote.

Amesema alikuwa na watu anaofahamiana nao wakiwa na mazungumzo ya kibiashara, alipewa kinywaji, baadaye akapoteza fahamu, alivyozinduka walimzungusha kwa muda na baadaye kumuacha sehemu.

Haya maelezo yanatolewa hata hayaeleweki, kama vile yameungwaungwa. Nyie mnaonaje Wakuu?

View attachment 3142181

Pia soma: Mkurugenzi wa Dar24 Media Maclean Mwaijonga apotea, hajulikani alipo
Alionekana hayuko vizuri wakampeleka hospitali, vipimo vikaonesha yuko vizuri, hana madhara yoyote.

Amesema alikuwa na watu anaofahamiana nao wakiwa na mazungumzo ya kibiashara, alipewa kinywaji, baadaye akapoteza fahamu, alivyozinduka walimzungusha kwa muda na baadaye kumuacha sehemu.🥺🥺🥺
 
Back
Top Bottom