Mkurugenzi wa Dar 24 apatikana Kigamboni

Huyu ni tapeli maarufu mjini mlio mbwinde ndio mtakulupuka ila uyu ana misala kibao ya kukimbia na hela za watu alafu wanamtambulisha km media person wataje na mengine anayofanya tufunguke vizuri
 
Ma deal haramu hayo! Biashara za halali zinafanyika kwa office na siyo kwa bar!!
 
Inasikitisha sana, kasema anawajuwa na wakati wanamzungusha anawaona sasa shida iko wapi? wangekuwa serious hao jamaa angeshawataja wakamatwe ndio uchunguzi ufuate kwa maana story upande wa pili. Kuwataja hawa ni kusaidia watu wengine kuepuka hawa watu ilisiwakute kama huyu jamaa. Inawezekana wote wamehusika kwenye script hii kwa malengo tofauti. Kwenye mitandao watu fake sasa mpaka kwenye kazi tuko fake. Siamini tena mtu.
 
Hii mambo ya kukutana sijui mambo ya biashara ndio maana Tundu Lissu anakwambia Njoo tuongee Nyumbani kwangu.

Mimi huwezi kuniita nakwambia njoo kazini kwangu kama kuniua uniulie hapo hapo.
 
Ni biashara....ni biashara.......then wana kuteka.
πŸ˜…πŸ˜…
 
Hiyo spirit ya utekaji inapelekea kushuka chini uraini na watu ambao maisha yamewatenda wanaweza kuiga huo ukatili wa kuteka na kuua.
Ni hatari mno.
Halafu inaleta simanzi na huzuni kwenye jamii miongoni mwa wananchi.
Inasikitisha sana
 
Blah blah imezidi.
How many hours passed from the time he was reported missing till the time he was found?
It seems like it was 48 hours.
Kwa hiyo haya maelezo yote ni feki
 
Wala huyu alikuwa sehemu anafurahia maisha watu wakaamua kumlipua kwa staili hiyo ya Kusema Amepotea.Mtu mzima Hapotei kirahisi hivo.Ila tusiache kupiga kelele kuhusu kina SOKA na Wengine wengi
Issue ya Alina soka ni mbaya
 
Kwanini hajawataja hao watu wa business
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…