Nimeanza kuchangamka mkuu...πunaendeleaje ushimen?
Naiona nafuu mkuu, asante sanaWe jamaa, unaendeleaje jaman?
π I appreciate you Sir..... endelea kuwa mzima aisee ππNaiona nafuu mkuu, asante sana
Umewakilisha mawazo ya makada wenzio....bora hicho kichwa kingekuwa bakuli la makande.mi nadhani kufakamia mapombe bila mipangilio ni hatari kwa afya ya mfakamiaji.
Anamedai anadhani litakuwa alipokuwa mara ya mwisho kbl ya kupoteza fahamu.Taarifa kweye huu uzi inaonyesha aliondoka na gari lakini baada ya kuonekana hata simu alikuwa hana je gari alilondoka nalo aliliacha wapi?
Gentleman,Umewakilisha mawazo ya makada wenzio....bora hicho kichwa kingekuwa bakuli la makande.
Kosa letu niniπππππ Nyie tukiwakamata huku mtaani kwetu tunawapiga mpka basi
Nakuomba inbox mkuuNaiona nafuu mkuu, asante sana
Class mate pole sana vijana wa hovyo walitaka warithi mapema jumba lako lililopo pembezoni mwa mbagaraNaiona nafuu mkuu, asante sana
USALAMA upi?Kelele zimesaidia.
USALAMA upi?
Kinywani alichonyweshwa kina nini ndani Hadi tuseme Yu salama?