Mkurugenzi wa fedha na utawala NIDA yupo ndani kwa makosa ya uchochezi

Lakini kwa picha ambazo zilionekana siku ya tarehe 30 kabla hata hii ya CNN si sawa nguvu iliyotumika.”
Mkuu wa utumishi wa umma ni rais wa JMT, rais akiisha Sema nguvu iliyotumika ni nguvu stahiki, mtumishi wa umma ngazi ya mwandamizi, huwezi kusema " kwa picha ambazo zilionekana siku ya tarehe 30 si sawa nguvu iliyotumika.” huku ni kupingana na kauli ya mkuu wako wa kazi, hili kosa linaitwa insubordination, hukumu yake ni summary dismissal with no right to appeal.

P
Rejea
 
Kuna watu wana utu hawawezi kushabikia uovu regardless kitakachowapata, najua wewe siyo miongoni mwao ndiyo maana maandiko yako mengi yanaegemea utawala dharimu.
 
Ukiwa na akili timamu huwez kuunga mkono utawala wa samia au kama utaung kwa maslai yao binafs bas itaonekna tu waz kwamba upo kwa ajil ya kitu fulan sio kuunga mkono utawala wa kishetan ndio maana nchimb mpango majaliwa na wengine wameamua kukaa kimya sababu wanaona na kujua kuna maisha baada ya samia utawaambia nini watanzania wakat wako ukipita ila wapuuz vilaza vichwa box ndio wanamtetea samia
 
Hahaha kuna watu pamoja na usomi wao huwa ni kama hawalijui hili. Hii ni kweli hata nchi zilizoendelea. Contradicting your boss can get you fired.
 

Ana makosa ya lutoelewa nyakati na Majira, kwa uongozi wa sasa huwezi kula ccm halafu uandike hivyo, kwisha habari yake, ataishi kwa tabu sana huyo!
 
Ww na samuya ni UMBWA
 
Mwamba nimwamba,mwambani mwambaaa.Hakika shetani hapendikusikia maneno ya kumtukuza Mungu katika haki na kweli.Ila huyu mwamba katika kweli.
 
Duhh...
RIP in advance
 
Siku hizi ukiwa mkweli sana lazima likukute jambo baya
 
Sasa mtu kama huyu anajutia chochote katika hayo aliyoandika, kwa vile tu sasa kabanwa?

Ni kipi cha kujutia katika maandishi sahihi kabisa aliyoweka hapo?

Atulie, mambo yajirekebishe, uchafu wote huu utafagiliwa mbali.

Maneno hayo aliyoandika hapo, ni beji ya heshima kwake kwamba aliyaweka wazi, na kama kweli ndio uamini wake, hana chochote cha kujutia

Tanzania hii haiwezi kushindwa kuwatuza mashujaa wake. Atulie tu uchafu huu uzolewe na kutupwa nje, ili hayo anayoyaamini kweli yatatimizwa..

Atulie hapo hapo alipo. Hakuna chochote cha kujutia.

Kabla ya kuondoka, Nashawishika kulinganisha msimamo wake huo na watu kama Kalamaganda Kabuti. Waza mwenyewe katika mlinganisho huo.
 
Pascal.
Tutaendekeza kanuni na sheria hizi za kikoloni kwa manufaa ya nani ?!. Zinalinda nini kanuni hizo !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…