CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Samia bado ana hasira na sisi Wasukuma sijui tumemkosea nini. Katuulia Magufuli na bado anatuandama
Kwahiyo huyo Nyumbu alitaka wale wahalifu wezi na waharibifu wa mali waachwe waendelee kuiba mali za watu na kuchoma nchi hadi waimalize? Alitaka wapapaswe migongo huku wanabembelezwa kuwa acheni kuchoma na kuiba mali? Dawa yao stahiki waliyostahili kuipata ni kupigwa chuma tu katika hilo hamna huruma.1 2 3.... THE BIG SHOW - ametumwa na TEC, Lucha -Nyumbu huyo
Dah poa bwanaAisee hii ni hatari sana...nisamehe wewe jamaa unaekuja inbox kuniomba namba ya simu eti nikutafutie shamba la mikorosho chakushangaza kila nikikueleza mahala ambako yapo mashamba hauendi unataka tu namba yangu....mimi nina familia inanitegemea
Ni kweli, hakuna kitu kibaya kama kuandika ukweli.Hata kama ni mimi nimemwajiri kwenye Kampuni yangu akiandika ujinga huo against Kampuni lazima nimfukuze kazi ili aende akaandike vizuri akiwa nje ya Kampuni yangu.
We jamaa umeongea Cha maana sana. Huyo mwamba kwa asili ya U-kipenyo wake hakutakiwa kuropoka yote hayo. Huo mfumo uko loyal kwa walio juu kuliko kawaida. Amejichanganya ataishi kwa misukosuko sana.Uzuri huyo ni kipenyo. Wanajua wanalofanya.
Huyo sio tu ni mshabiki wa mfumo lakini pia kasema ukweli ambao wengi kati yetu hatutaki kusikiaKuna watu wana utu hawawezi kushabikia uovu regardless kitakachowapata, najua wewe siyo miongoni mwao ndiyo maana maandiko yako mengi yanaegemea utawala dharimu.
Your type of mindset ndio mindset za watawala wengi. Hamna ujinga kaandika ila ukweliHata kama ni mimi nimemwajiri kwenye Kampuni yangu akiandika ujinga huo against Kampuni lazima nimfukuze kazi ili aende akaandike vizuri akiwa nje ya Kampuni yangu.
Mwambie mbinu za kizamani sana hizoAisee hii ni hatari sana...nisamehe wewe jamaa unaekuja inbox kuniomba namba ya simu eti nikutafutie shamba la mikorosho chakushangaza kila nikikueleza mahala ambako yapo mashamba hauendi unataka tu namba yangu....mimi nina familia inanitegemea
Kuna Muhadhiri mmoja wa UDSM alihojiwa wiki kadhaa zilizopita na Jambo Tv, katika mazungumzo yake aliongea vitu vingi vya msingi sana katika siasa za nchi hii. Kimojawapo alisema "...si sawa Rais ambaye ni mwajiri mkuu wa watumishi wote wa umma kuwa mwenyekiti wa chama cha siasa kwasababu kwa namna moja ama nyingine, watumishi wote waliokochini yake watalazimika kufuata mlengo wa chama hicho ambacho Boss wao ndio mwenyekiti wake..."Hata kama ni mimi nimemwajiri kwenye Kampuni yangu akiandika ujinga huo against Kampuni lazima nimfukuze kazi ili aende akaandike vizuri akiwa nje ya Kampuni yangu.
Nchi na kampuni ina tofauti kubwa sana wewe jingaHata kama ni mimi nimemwajiri kwenye Kampuni yangu akiandika ujinga huo against Kampuni lazima nimfukuze kazi ili aende akaandike vizuri akiwa nje ya Kampuni yangu.
Mbwa kala dogUzuri huyo ni kipenyo. Wanajua wanalofanya
Mtumishi wa umma ndo uunge mkono mauajiKapoteza Sifa za kuwa mtumishi wa umma atafute chama cha siasa ajiunge
Hali CCM, huyo ni mtumishi wa umma, utumishi wa umma kwenye nchi ya vyama vingi haupaswi kuwa kwa ajili tu ya wanaomuunga mkono rais au chama.Ana makosa ya lutoelewa nyakati na Majira, kwa uongozi wa sasa huwezi kula ccm halafu uandike hivyo, kwisha habari yake, ataishi kwa tabu sana huyo!
Hali CCM, huyo ni mtumishi wa umma, utumishi wa umma kwenye nchi ya vyama vingi haupaswi kuwa kwa ajili tu ya wanaomuunga mkono rais au chama.