Mkurugenzi wa fedha na utawala NIDA yupo ndani kwa makosa ya uchochezi

Mkurugenzi wa fedha na utawala NIDA yupo ndani kwa makosa ya uchochezi

Sasa mtu kama huyu anajutia chochote katika hayo aliyoandika, kwa vile tu sasa kabanwa?

Ni kipi cha kujutia katika maandishi sahihi kabisa aliyoweka hapo?

Atulie, mambo yajirekebishe, uchafu wote huu utafagiliwa mbali.

Maneno hayo aliyoandika hapo, ni beji ya heshima kwake kwamba aliyaweka wazi, na kama kweli ndio uamini wake, hana chochote cha kujutia

Tanzania hii haiwezi kushindwa kuwatuza mashujaa wake. Atulie tu uchafu huu uzolewe na kutupwa nje, ili hayo anayoyaamini kweli yatatimizwa..

Atulie hapo hapo alipo. Hakuna chochote cha kujutia.

Kabla ya kuondoka, Nashawishika kulinganisha msimamo wake huo na watu kama Kalamaganda Kabuti. Waza mwenyewe katika mlinganisho huo.
Kabisa
 
Serikali imekuwa ya kipuuzi sana.katiba yetu inatambua kuwa kila mtu ana haki ya kuzungumza kuhusu nchi yetu.Huyu Samia na polisi WAHUNI hatuwataki.Ipo siku sisi kama GenZ TUNAKIWASHA kama tulivyokiwasha MO29
Nchi ya vibaka
 
Imeandikwa wapi kisheria? Maana hata kama ni utamaduni lazima uwe utamaduni Mtakatifu. Kanisa katoliki linaongozwa kwa mujibu wa biblia na mapokeo lakini hivi vyote havipingani! Desturi zinazotaka kufuatwa hata kwenye jambo au uhalifu kama ule wa 29th October hapo tunaharibu Taifa wenyewe.

Nafikiri hili la 29th October huko mbele litatoa somo litalosaidia Taifa vizazi vingi.
Mayalla ni takataka
 
Non sense,
Ndo kusema mnaamini hii nchi mnaimiliki kama vile Azam anavyomiliki kampuni yake ya ice cream na vitafunwa? Mjitathimini bro, u are completely wrong and u are messing!
Ngombe hizo
 
Mkuu wa utumishi wa umma ni rais wa JMT, rais akiisha Sema nguvu iliyotumika ni nguvu stahiki, mtumishi wa umma ngazi ya mwandamizi, huwezi kusema " kwa picha ambazo zilionekana siku ya tarehe 30 si sawa nguvu iliyotumika.” huku ni kupingana na kauli ya mkuu wako wa kazi, hili kosa linaitwa insubordination, hukumu yake ni summary dismissal with no right to appeal.

P
Rejea
Summary dismissal ilishafutwa kisheria..mwanasheria njaa wewe😀😀😀
 
Back
Top Bottom