Hana sababu ya "kujipa moyo" Anayo HAKI ya kusema anachokiamini bila kujali huko "kushinda" kupitia kwenye njia za mizengwe.Mwamba ajipe moyo mkuu atawashinda mawakili wa shetani katika kweli ya kizalendo.
Hana sababu ya "kujipa moyo" Anayo HAKI ya kusema anachokiamini bila kujali huko "kushinda" kupitia kwenye njia za mizengwe.Mwamba ajipe moyo mkuu atawashinda mawakili wa shetani katika kweli ya kizalendo.
Mtoto wa kahaba uliyezaliwa kwenye danguro mbwa we we ,watu wamefuatwa majumbani kubakwa na kupigwa risasi halafu unaandika ukuma hapa ,kum@ LA mamako mseng€ weweHata kama ni mimi nimemwajiri kwenye Kampuni yangu akiandika ujinga huo against Kampuni lazima nimfukuze kazi ili aende akaandike vizuri akiwa nje ya Kampuni yangu.
Pumbavu wewe ,Tanzania Ina serikali tangu lini ? ,imechaguliwa na nani ? ,lini ? Kwa uchaguzi upi? ,ZwazwaTunazungumzia Serikali siyo nchi mkuu. Viongozi wa Serikali ndio waliopewa mandate na wananchi kwa kufuata sheria na kanuni zake.
Mkuu nielekeze na mie nahitaji shamba la mikoroshoAisee hii ni hatari sana...nisamehe wewe jamaa unaekuja inbox kuniomba namba ya simu eti nikutafutie shamba la mikorosho chakushangaza kila nikikueleza mahala ambako yapo mashamba hauendi unataka tu namba yangu....mimi nina familia inanitegemea
Aliyemchongea ni mume wa.....hata humu sipaamini pia..niko naye Group moja mwana-Shycom mwenzangu..Watoto wa Principal KaroNdiyo, wala niki sishangai. Na kwa level yake alipaswa kuyajua hayo. Ila nahisi kuna mwana-group atakuwa amemchongea!!
Uzalendo kwanza maswala. Ya maslahi alafu bado nchi inavuja ufisadi na ukosefu wa utu ni 🚮Haya sasa akale alikopeleka mboga
Hapo ameathiri familia yake na ukute ana ndugu vijijni wanamtegemea
Inawezakana. Na boss ni member kama sio adminKaandika kwenye group la whatsapp wakamchoma?
Msishabikie vitu wakati anaeumia ni mwingineUzalendo kwanza maswala. Ya maslahi alafu bado nchi inavuja ufisadi na ukosefu wa utu ni 🚮
Siyo kwamba Penalty ya Summary Dismissal ilishafutwa kitambo,haitumiki Kwa sasa Mkuu?Mkuu wa utumishi wa umma ni rais wa JMT, rais akiisha Sema nguvu iliyotumika ni nguvu stahiki, mtumishi wa umma ngazi ya mwandamizi, huwezi kusema " kwa picha ambazo zilionekana siku ya tarehe 30 si sawa nguvu iliyotumika.” huku ni kupingana na kauli ya mkuu wako wa kazi, hili kosa linaitwa insubordination, hukumu yake ni summary dismissal with no right to appeal.
P
Rejea
- Mgomo Wa Madaktari: Jee, Serikali Kuwafukuza Kazi Kwa Summary Dismissal kwa "Insubordination"?
- Baada ya Kukubali Chanjo, na Rais Samia Kuchanja, Kiongozi yeyote anayepinga Chanjo hadharani ni 'Insubordination' na usaliti
- Kama Taifa limekubali chanjo ndio maslahi ya Taifa, Viongozi wote wanakuwa Bind na A Collective Responsibility Clause. Must support, Shut up or quit!
- Wajua Mwajiri wa Watumishi Wote wa Umma ni Rais wa JMT na Wanafanya Kwa Niaba ya Rais?Rais Samia,P'se Usiruhusu Watu Hawa Wakuchafue,Watakuponza Bure!
Ma group yamejaa watu teethNdiyo, wala niki sishangai. Na kwa level yake alipaswa kuyajua hayo. Ila nahisi kuna mwana-group atakuwa amemchongea!!
Siyo kwamba Penalty ya Summary Dismissal ilishafutwa kitambo,haitumiki Kwa sasa MkuuMkuu wa utumishi wa umma ni rais wa JMT, rais akiisha Sema nguvu iliyotumika ni nguvu stahiki, mtumishi wa umma ngazi ya mwandamizi, huwezi kusema " kwa picha ambazo zilionekana siku ya tarehe 30 si sawa nguvu iliyotumika.” huku ni kupingana na kauli ya mkuu wako wa kazi, hili kosa linaitwa insubordination, hukumu yake ni summary dismissal with no right to appeal.
P
Rejea
- Mgomo Wa Madaktari: Jee, Serikali Kuwafukuza Kazi Kwa Summary Dismissal kwa "Insubordination"?
- Baada ya Kukubali Chanjo, na Rais Samia Kuchanja, Kiongozi yeyote anayepinga Chanjo hadharani ni 'Insubordination' na usaliti
- Kama Taifa limekubali chanjo ndio maslahi ya Taifa, Viongozi wote wanakuwa Bind na A Collective Responsibility Clause. Must support, Shut up or quit!
- Wajua Mwajiri wa Watumishi Wote wa Umma ni Rais wa JMT na Wanafanya Kwa Niaba ya Rais?Rais Samia,P'se Usiruhusu Watu Hawa Wakuchafue,Watakuponza Bure!
Mme kuwa Waswahilina Mkuu.Mwanza,Shinyanga,Geita na Simiyu,mlipatiwa Pikipiki na Baisikeli za SSH-nyingi sana na kwenye Mikutano ya Kampeni mlikuwa Mnajaa pomoni na kedekede mkiahidi mnatiki OKTOBA-29,badala yake MKATOKA na kura hamkwenda kupiga ,mkaenda kuchoma vituo vya kupigia kura mkidai tume huru....hatumtaki Samiaaaa...Aisee..Mpaka ndani ndani kuleee Katoro,Chato,Kahama na kwingineko ilikuwa noma tupu.Samia bado ana hasira na sisi Wasukuma sijui tumemkosea nini. Katuulia Magufuli na bado anatuandama
Sasa si ni maoni yake kwenye group la mambo binafsi na wenzake Ma Alumni wa SHYCOM huko..kwani lilikuwa group la Kiofisi laViongozi wa NIDA?Wivu na Fitina tu ukichimba hapoKwahiyo huyo Nyumbu alitaka wale wahalifu wezi na waharibifu wa mali waachwe waendelee kuiba mali za watu na kuchoma nchi hadi waimalize? Alitaka wapapaswe migongo huku wanabembelezwa kuwa acheni kuchoma na kuiba mali? Dawa yao stahiki waliyostahili kuipata ni kupigwa chuma tu katika hilo hamna huruma.
Kuhusu kusimamishwa kwake kazi ni sawa acha asimamishwe kazi akajiajiri huko, kwanini aendelee kutumikia ajira ya serekali ambayo haitendi haki? Aende akajiajiri au akaungane na nyumbu wenzake kujadili namna mpya ya kuandamana.
Iko kwenye sheria mpya ya utumishiSiyo kwamba Penalty ya Summary Dismissal ilishafutwa kitambo,haitumiki Kwa sasa Mkuu?
Wewe sasa unaenda kwingine huko,Fikra Pevu kama zako Poli- CCM haziruhusiwi..wale. ni Mbwa tuu -kamataaaa- wanatii na kuandaa kesi zisizo na kichwa waka miku.ndu..yaani hazinyi kabisa.Amini mwisho wa hili sakata uchwara..huyu Mwamba ataibwaga Jamhuri Mahakamani huko na atalipwa na fidia na kurejeshwa kkazini kisha atashushwa cheo na kupelekwa Zanzibar kuleeee.Kuna ushahidi gani kuwa aliyeandika hayo ni yeye?
Mara zote wasukuma wamenyooka hawapindishiHii nchi inanuka uonevu kila mahali, sasa kosa la huyu ninini.....Samia suluhu utalipa kwa haya unayowafanyia watanzani....Jeshi la polisi la TZ ni jeshi la hovyo kuwahi kutokea duniani...
George Mahigu Seni, Mkurugenzi wa Fedha na Utawala (Director of Finance and Administration) NIDA, alikamatwa na Polisi tarehe 15 Desemba 2025 akiwa Arusha kikazi, na kusafirishwa Dodoma kwa mahojiano. Baada ya tukio hili, kuhojiwa sasa ameambiwa na mkuu wake wa kazi asiende kazini bila hata kupewa barua yoyote rasmi. Sababu, alichapisha maneno yafuatayo kwenye WhatsApp group ya marafiki SHYCOM.
Maneno ya George Mahigu:
1.Siasa ndiyo kila kitu Mtani. Kinacho sababisha yote haya hata kama hatutaki ni ukosefu wa Siasa Bora, Uongozi Bora na Demokrasia thabiti. Huko kwingine kote maji kwenye kinu.
2.Kwamba ni sawa mwanamke aliyeogopa anapigwa risasi mgongoni?
Kwamba ni sawa kijana asiyekuwa na chochote mkononi kupigwa risasi?
Kwamba ni sawa kufanya mauaji ya halaiki kinyama namna ile?
Kwamba ni sawa kuwatoa vijana ndani wakiangalia mpira na kuwalaza chini na kuwapiga mmoja baada ya mwingine?
Siungi mkono watu kuharibu mali za umma na za binafsi na hata kufanya fujo tu.
Lakini kwa picha ambazo zilionekana siku ya tarehe 30 kabla hata hii ya CNN si sawa nguvu iliyotumika.”
3.Kaka!!!
Mtan usilete siasa ktk issue serious… mnakuwaje na shida ya maji km mna mto, Rufiji,
Ruvuma,Kagera,Ruvua,Rukwa. Ziwe Victoria,Tanganyika,nyasa,eyas,nk..mna mvua ya wastan kwa mwaka, baadhi ya maeneo maji yapo chini…justify hapo mtan?? ”
Je Sheria za Utumishi wa UMMA na SEKTA binafsi kuna sehemu huwa zinatofautiana?Iko kwenye sheria mpya ya utumishi
Wa Umma. Hata kosa la kupigana kazini wote ni summary dismissal with no right to appeal.
P
Huyo ni shujaa anatakiwa apewe sapoti kwenye kipindi hiki kigumWe j
We jamaa umeongea Cha maana sana. Huyo mwamba kwa asili ya U-kipenyo wake hakutakiwa kuropoka yote hayo. Huo mfumo uko loyal kwa walio juu kuliko kawaida. Amejichanganya ataishi kwa misukosuko sana.
Aliyemchongea ni mume wa.....hata humu sipaamini pia..niko naye Group moja mwana-Shycom mwenzangu..Watoto wa Principal Karo
Amevunja sheria gani hapo za huo utumishi wenu wa umma?Atakuja kushinda kesi mumlipe mamilioni baadaye.Hata kama ni mimi nimemwajiri kwenye Kampuni yangu akiandika ujinga huo against Kampuni lazima nimfukuze kazi ili aende akaandike vizuri akiwa nje ya Kampuni yangu.
InsurbodiationAmevunja sheria gani hapo za huo utumishi wenu wa umma?Atakuja kushinda kesi mumlipe mamilioni baadaye.
Labda Samia atawale milele.