Ukiskia flani ni wa mwana kipenyo ujue mwamba ametoka TICCI bossMfumo upi
Ukiskia flani ni wa mwana kipenyo ujue mwamba ametoka TICCI bossMfumo upi
Mwamba ajipe moyo mkuu atawashinda mawakili wa shetani katika kweli ya kizalendo.Sasa mtu kama huyu anajutia chochote katika hayo aliyoandika, kwa vile tu sasa kabanwa?
Ni kipi cha kujutia katika maandishi sahihi kabisa aliyoweka hapo?
Atulie, mambo yajirekebishe, uchafu wote huu utafagiliwa mbali.
Maneno hayo aliyoandika hapo, ni beji ya heshima kwake kwamba aliyaweka wazi, na kama kweli ndio uamini wake, hana chochote cha kujutia
Tanzania hii haiwezi kushindwa kuwatuza mashujaa wake. Atulie tu uchafu huu uzolewe na kutupwa nje, ili hayo anayoyaamini kweli yatatimizwa..
Atulie hapo hapo alipo. Hakuna chochote cha kujutia.
Kabla ya kuondoka, Nashawishika kulinganisha msimamo wake huo na watu kama Kalamaganda Kabuti. Waza mwenyewe katika mlinganisho huo.
Ikiwa ni kampuni ya kichawa,ila inayojielewa huyo anafaa apewe ukurugenzi wa kampuni kwani mwamba atawavusha.Pumba
Very wicked womanShe is evil
Tupe marejeo ya kufutwa kwa sheria husika,information is the power!Do you know that?Summary dismissal ilishafutwa kisheria..mwanasheria njaa wewe😀😀😀
Hutakuja kuwa na kampuni, Kapuku We!Hata kama ni mimi nimemwajiri kwenye Kampuni yangu akiandika ujinga huo against Kampuni lazima nimfukuze kazi ili aende akaandike vizuri akiwa nje ya Kampuni yangu.
😭😭😭😭😭Hata kama ni mimi nimemwajiri kwenye Kampuni yangu akiandika ujinga huo against Kampuni lazima nimfukuze kazi ili aende akaandike vizuri akiwa nje ya Kampuni yangu.
Polisi wa Nchi hii ni Watu waliofeli form IV. Hapo wameona ndio wametumia akili nyingi kuja na mchongo wa mashambaAisee hii ni hatari sana...nisamehe wewe jamaa unaekuja inbox kuniomba namba ya simu eti nikutafutie shamba la mikorosho chakushangaza kila nikikueleza mahala ambako yapo mashamba hauendi unataka tu namba yangu....mimi nina familia inanitegemea
Shenzy zakoHata kama ni mimi nimemwajiri kwenye Kampuni yangu akiandika ujinga huo against Kampuni lazima nimfukuze kazi ili aende akaandike vizuri akiwa nje ya Kampuni yangu.
Huwezi kulinganisha nchi na kampuni..ni kama usiku na mchana.Kampuni ni mali ya mtu au kikundi cha watu, wana mamlaka ya kufanya chochote, wameweka mitaji yao pale.Hata kama ni mimi nimemwajiri kwenye Kampuni yangu akiandika ujinga huo against Kampuni lazima nimfukuze kazi ili aende akaandike vizuri akiwa nje ya Kampuni yangu.
Ndiyo, wala niki sishangai. Na kwa level yake alipaswa kuyajua hayo. Ila nahisi kuna mwana-group atakuwa amemchongea!!Basi kumbe kakiuka taratibu za kazi yake.
Kumalamamayako lina ukoko wa Ugali wa Jana kengewahedi wewe..Hata kama ni mimi nimemwajiri kwenye Kampuni yangu akiandika ujinga huo against Kampuni lazima nimfukuze kazi ili aende akaandike vizuri akiwa nje ya Kampuni yangu.
Kuongea ukweli mboni wapo weengi wanaoongea ukweli huo kwa kuupuliza ili wasionekane wanakiuka maadili ya kazi zao, ila huyu kunyoosha maelezo imekua kosa ? Na hapo itakua kuna mpuuzi waliongea private akawa hajamuelewa akampandia huko huko kwenye group akampa za uso.. ndio huyo kaamua kuchoma ili jamaa aonekane hafai lakini kaongea ukweli sio uongo hii Sirekali ukiongea ukweli unakatwa kichwa ******** inabidi uongee uongo tuNdiyo, wala niki sishangai. Na kwa level yake alipaswa kuyajua hayo. Ila nahisi kuna mwana-group atakuwa amemchongea!!