Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 9,818
- 14,585
Huo ndiyo ujinga mnajazana kwenye magrupu yenu ya kazi. Mtu anaandika ili asifiwe kuonekana ni Kamanda, huku nyuma ana familia inamtegea. Yakimpata anabakia kusaga meno kwa machungu na nyie mnaomshabikia hata kilo ya sukari hamwezi kumchangia. NyambaaafSio stage za kuogopa kwa Mwanaumw hizo.
Labda kama wanafunga hewa nisipumue.Kuna umri ukifika kama mwanaume jiandae kwa lolote lile.Mwanaume hupaswi kukaa kizembe zembe kama chips mayai rojo mshikaki