Zwazwa mama yako mzaziPumbavu wewe ,Tanzania Ina serikali tangu lini ? ,imechaguliwa na nani ? ,lini ? Kwa uchaguzi upi? ,Zwazwa
Zwazwa mama yako mzaziPumbavu wewe ,Tanzania Ina serikali tangu lini ? ,imechaguliwa na nani ? ,lini ? Kwa uchaguzi upi? ,Zwazwa
Ndio maana huwezi kuajiri.Hata kama ni mimi nimemwajiri kwenye Kampuni yangu akiandika ujinga huo against Kampuni lazima nimfukuze kazi ili aende akaandike vizuri akiwa nje ya Kampuni yangu.
Hata kama hana kosa ila inaonekana kichwani ni mtupu. Yaani upewe madaraka makubwa namna hiyo bado usijuwe kuwa kutoa commentary kama hiyo utamkwaza mwajiri!!Kosa lake lipo wapi hapo sasa?
Hivi zamani walikuwa watembeza mkono halafu kesho wanarudi kaziniIko kwenye sheria mpya ya utumishi
Wa Umma. Hata kosa la kupigana kazini wote ni summary dismissal with no right to appeal.
P
DuhAisee hii ni hatari sana...nisamehe wewe jamaa unaekuja inbox kuniomba namba ya simu eti nikutafutie shamba la mikorosho chakushangaza kila nikikueleza mahala ambako yapo mashamba hauendi unataka tu namba yangu....mimi nina familia inanitegemea
Aisee hii ni hatari sana...nisamehe wewe jamaa unaekuja inbox kuniomba namba ya simu eti nikutafutie shamba la mikorosho chakushangaza kila nikikueleza mahala ambako yapo mashamba hauendi unataka tu namba yangu....mimi nina familia inanitegemea
ExactlyHata kama hana kosa ila inaonekana kichwani ni mtupu. Yaani upewe madaraka makubwa namna hiyo bado usijuwe kuwa kutoa commentary kama hiyo utamkwaza mwajiri!!
Huyu ni mzembe, akipoteza kazi au kuteremshwa cheo tu hata watoto wake watamdharau
Hilo kukukereketa ni dhahiri huna la msingi la kujadili.Tunajadili mambo ya Msingi unaleta Nguruwe, uTEC na Ukatoliki? Pathetic
Walio nje ya serikali wapo huru kusema wanavyotaka? Unaishi Tanzania hii tuliyopo?Tuweke ushabiki pembeni.... huwezi kuwa kwenye taasisi(chama au serikali) huku unampinga mkuu wako(awe right or wrong).
Hata vyama vya siasa, ukianza kwenda kinyume na chair watakutoa tu.
Aondoke serikalini ili awe huru kusema anavyotaka
Mimi naongelea generally.... hata serikali zinaongoza kwa uhuru, hii hairuhusiwi. Hata CHADEMA walipoona kina Zitto wanaleta malengo yao nje ya msimamo wa chama, walifukuzwa!Walio nje ya serikali wapo huru kusema wanavyotaka? Unaishi Tanzania hii tuliyopo?
Asubuhi inayofuata, unashinda nyumbani unamkuta mke na watoto wako sebuleni, wanakuuliza mbona huendi kazini? Hivi utawajibu nini??Mungu atamlipa kwa kutokuwa MNAFIKI
Unauhakika?.Uzuri huyo ni kipenyo. Wanajua wanalofanya
Sio stage za kuogopa kwa Mwanaumw hizo.Asubuhi inayofuata, unashinda nyumbani unamkuta mke na watoto wako sebuleni, wanakuuliza mbona huendi kazini? Hivi utawajibu nini??