Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Tarime adaiwa kubaka na kumlawiti binti wa miaka 16

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Tarime adaiwa kubaka na kumlawiti binti wa miaka 16

Mkuu binti siyo 16 ni above 18, anaingiaje Guest??
Labda binti iwe ana matatizo ya akili.
Huyo binti kapangwa na wapinzani wa huyo mkurugenzi..
Binti hana mawasiliano binafsi na babake mpaka apitie kwa mtu mnene kama mkurugenzi??

Kuna mengi ya kujiuliza??

Everyday is Saturday........................... 😎
Wapinzani hawana muda na ccm,meko na genge lake ndio wako busy kununua binadamu karne hii,ccm inalinda makada wake yule aliempiga risasi na kuua singida kesi yake kimya mpka leo
 
Mkuu mnaposoma habari mtulize akili bc wapi pameandikwa ni muajiriwa huyo binti ni kibarua tu kama hawa wanaokata tiketi kwenye parking za hapa Dar
Kweli kabisa ninavyoiona hii information imekaa kiupambe zaidi binti wa miaka 16 sio kweli na binti wa miaka 16 hawezi kuajiriwa serikalini. Taarifa yenyewe inaonekana imetengenezwa tuu.. kuna kuchafuana kwingi
 
Duuuuu!. Hii ni hatari sana .Kwahiyo alifanikiwa kumchanachana sehemu zote mbili .asante kwa taarifa ndugu daktari .unafanyia hospital gani?
 
Mkuu mnaposoma habari mtulize akili bc wapi pameandikwa ni muajiriwa huyo binti ni kibarua tu kama hawa wanaokata tiketi kwenye parking za hapa Dar
Mtoto wa miaka 16 anaweza kupewa kibarua cha katika hospital sio kweli. Miaka
 
Hivi huyo mkurugemzi bado anakula ugali uraiani?

"Tupa rockup hirooo!" araaaaa
 
Daah! balaa hilo! sasa Mkurugunzi kaiga mambo kama ya Mwenyekiti wa Ufipa kuwala wabunge na wanachama wake,inabidi Kakukuru waingilie kazi kuanzia kwa Mwenyekiti maana anavyoachwa wengine wanaiga.
 
Daah! balaa hilo! sasa Mkurugunzi kaiga mambo kama ya Mwenyekiti wa Ufipa kuwala wabunge na wanachama wake,inabidi Kakukuru waingilie kazi kuanzia kwa Mwenyekiti maana anavyoachwa wengine wanaiga.
No huyu kapitiliza
Maana Ana jump mpka ze wall

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Hizi taarifa zimeshamfikia Rais Jiwe Magufuli kama Mamlaka ya Uteuzi?
Asimpomfukuza basi kuna namna......Kama siyo mtoto wa dadake....yajayo yanafurahisha!!!!
 
Daah! balaa hilo! sasa Mkurugunzi kaiga mambo kama ya Mwenyekiti wa Ufipa kuwala wabunge na wanachama wake,inabidi Kakukuru waingilie kazi kuanzia kwa Mwenyekiti maana anavyoachwa wengine wanaiga.

Pumbaf zako na jinga mkubwa!
Makosa ya Mkurugenzi Halmashauri Tarime KUBAKA unahusishaje na makosa ya Mwenyekiti MBOWE yasiyo na ushahidi? Acha unoko!
 
Huyu mtu ni mchafuzi sana,hawa ndio wanaosababisha hata baadhi ya wanaume wengine kukataa wanawake zao wasifanye kazi maofisini wakiogopa wanaume kama huyu. Mtu kama huyu kuacha hii tabia inakuwa ngumu kwakuwa ngono imeshamtawala, ni addiction ya aina yake,ila mara zote mwisho wake huwa ni mbaya sana kimwili na kiroho...
 
Miji ya Sodoma na Gomora ilichomwa Moto kwasababu za "jumping ze wall" Huyu Mkurugenzi mbele za Mungu anaonekana Yuko Sodoma na Moto wa Mungu hawezi kuukwepa asilan[emoji1787][emoji1787]
Halmashauri hiyo wadada mashalah lakini
Ila bado tusimhukumu maana bado vyombo husika hawajathibitishaaa

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
I
Ingekuwa ni kiongozi wa chadema ungesema hivyo mkuu au ni kwavile nimtumishi wa serikali?

Kuna wakti nawaza kile kilichotokea Rwanda/Burundi, GENOCIDE, mauaji ya halaiki! Source ilikuwa Ni CHUKI iliyokuwa imejengeka ndani ya mioyo ya watu tokana na kundi moja kunyanyasa kundi jingine...!!

CCM na Serekali ya Magufuli imetufikisha hapo. Kuna CHUKI KUBWA SANA KATI YA SERIKALI YA CHAMA TWAWALA NA UPINZANI!!

Leo hii kuwa MPINZANI Tanzania ya Magufuli ni sawa na kufanya UHAINI ilhali ni jambo liko kwene Katiba ya JMT!! Wapinzani wanaonewa, wananyanyaswa, wanateswa, wanafungwa, wanapigwa na kuuawa. Leo Tundu Lissu ni MKIMBIZI wa Kisiasa Yuko ughaibuni kwasababu za Utawala huu wa kikatili, kidkteta na kiimla!!

Kuna siku watu watakataa huu upuuzi na kuchukua maamuzi magumu lakini sahihi! Ndiyo utakuwa ni mwisho wa Utawala wa CCM!!
 
Mkurugenzi hana mahisiano mema na watumishi kwa kiasi kikubwa na huwa anatumia vitisho vingi kwamba aliaga kwao Kigoma akaja Tarime, cha msingi tuhuma hizi si nzuri ajitahidi kujenga mahusiano mema na wale wanaomzunguka hasa idara zote, akianzia afisa elimu, na pia idara ya afya.

Kwa ujumla sio mkurugenzi mwenye maamuzi ya busara na hekima.

Hamna mtumishi anaemkubali.
 
Back
Top Bottom