tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Wapinzani hawana muda na ccm,meko na genge lake ndio wako busy kununua binadamu karne hii,ccm inalinda makada wake yule aliempiga risasi na kuua singida kesi yake kimya mpka leoMkuu binti siyo 16 ni above 18, anaingiaje Guest??
Labda binti iwe ana matatizo ya akili.
Huyo binti kapangwa na wapinzani wa huyo mkurugenzi..
Binti hana mawasiliano binafsi na babake mpaka apitie kwa mtu mnene kama mkurugenzi??
Kuna mengi ya kujiuliza??
Everyday is Saturday........................... 😎