Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Tarime Elias Ntirihungwa, awafuta Ukuu wa Shule ambao Walitembelewa na Esther Matiko

Mkoa wa mara wote unarudi CCM nyie Chadema mtajuta kusimamisha huyo mtu wenu agombee Urais.

Mkipata hata wabunge wawili mkatambike.
Tafuta kazi nyengine ili uweze kuishi. Hii kazi itakupeleka motoni.
 
Tunataka tukate mirija ya ester ili mwalimu aache kulelewa atafute pesa
Hii kazi itakupeleka motoni. Haupo kwenye milango ya haki wala uadilifu. Unachokijua ni siasa na CCM. Kwako haikidhi chochote kinachokidhi ni CCM. Kwenye chochote kuna haki za watu wewe hujali unachojali ni CCM. Tafuta kazi nyengine jishughulishe nayo! Hii itakupeleka motoni.
 
Mimi sio msaliti wa Nchi siwezi kwenda motoni

Motoni ataenda yule msaliti wa Nchi
Kila mtu atabeba mzigo wake. Ila wewe umejawa unafiki sana. Hata kilicho haramu ya wazi, dhuluma ya wazi unatetea kisa siasa na uchama. Njia gani ya kujitafutia kipato uliyoichagua hii wewe?!

Si CCM, Magufuli au yeyote yule anayeweza kukusaidia chochote mbele ya Mungu. Usihadaike na starehe ndogo ya dunia. Tafuta kazi nyengine uingize kipato hii itakupeleka motoni.
 
Mkoa wa mara wote unarudi CCM nyie Chadema mtajuta kusimamisha huyo mtu wenu agombee Urais.

Mkipata hata wabunge wawili mkatambike.
Wewe hukai mkoa wa Mara utakuwa unaishi Kibakwe Dodoma Kwa Simbachawene wanaume wa kanda maalum hawana hizi dalili za Mombassa
 
Vijana wa Chadema mtajinyonga sana mwaka huu
Wewe hukai mkoa wa Mara utakuwa unaishi Kibakwe Dodoma Kwa Simbachawene wanaume wa kanda maalum hawana hizi dalili za Mombassa
 
Mimi sio msaliti wa Nchi siwezi kwenda motoni
Haki na batili iko wazi. Kujitoa ufahamu haibadilishi hilo.

"Balil insaan alaa nafsihi baswiiraa" mwanadamu anajifahamu haswaa ndani ya nafsi yake yeye ni wa namna gani.

"Thumma jaalnaaka alaa shariiatal minal amri fat'tabiiaha walaa tat'tabiu ahwaa alladhina laa ya'alamuun fainnahu la yaghnuu anka minallahi shay'aa"

Kisha tukakujaalia wewe juu yako sheria itokanayo na amri basi ifuate na wala usifuate matamanio ya wale ambao hawajui chochote, hakika ya hao hawatakusaidia chochote mbele ya Mungu.
 
Huyu si ndo yule alikuwa anabaka walimu ovyo?
 
Hatutishwi ndugu, pole sana...sisi sio kama Dodoma huko mnakowaonea wagogo...

Nakuhakikishia Tarime hii hamna chenu na hata majimbo mengine ya mkoa wa mara...mtatoka kapa...

Huo ndo ukweli na utabaki hivo
Achana na huyo MPUMBAVU aliyejificha vijijini M'bande, Msunjilile, Mlanje, Matongolo huko Idodomhya halafu hapa anajifanya kuishi Nyamongo, nyamitwebile, Kyabakari, Muryaza
 
walimu wanaoendekeza siasa shuleni hawana nafasi na wanekiuka taratibu
 
Back
Top Bottom