Haiku
JF-Expert Member
- Mar 31, 2018
- 2,915
- 2,050
👊👊Asante sana wana Tarime na Mara kwa ujumla mpo vizuri katika kuleta mabadiliko msikubali ushenzi wa hawa watu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
👊👊Asante sana wana Tarime na Mara kwa ujumla mpo vizuri katika kuleta mabadiliko msikubali ushenzi wa hawa watu.
Hawa wapuuzi wapuuzeniMkoa wa mara wote unarudi CCM nyie Chadema mtajuta kusimamisha huyo mtu wenu agombee Urais.
Mkipata hata wabunge wawili mkatambike.
Tafuta kazi nyengine ili uweze kuishi. Hii kazi itakupeleka motoni.Mkoa wa mara wote unarudi CCM nyie Chadema mtajuta kusimamisha huyo mtu wenu agombee Urais.
Mkipata hata wabunge wawili mkatambike.
Tafuta kazi nyengine ili uweze kuishi. Hii kazi itakupeleka motoni.
Hii kazi itakupeleka motoni. Haupo kwenye milango ya haki wala uadilifu. Unachokijua ni siasa na CCM. Kwako haikidhi chochote kinachokidhi ni CCM. Kwenye chochote kuna haki za watu wewe hujali unachojali ni CCM. Tafuta kazi nyengine jishughulishe nayo! Hii itakupeleka motoni.Tunataka tukate mirija ya ester ili mwalimu aache kulelewa atafute pesa
Hii kazi itakupeleka motoni. Haupo kwenye milango ya haki wala uadilifu. Unachokijua ni siasa na CCM. Kwako haikidhi chochote kinachokidhi ni CCM. Kwenye chochote kuna haki za watu wewe hujali unachojali ni CCM. Tafuta kazi nyengine jishughulishe nayo! Hii itakupeleka motoni.
Kila mtu atabeba mzigo wake. Ila wewe umejawa unafiki sana. Hata kilicho haramu ya wazi, dhuluma ya wazi unatetea kisa siasa na uchama. Njia gani ya kujitafutia kipato uliyoichagua hii wewe?!Motoni ataenda yule msaliti wa Nchi
Wewe hukai mkoa wa Mara utakuwa unaishi Kibakwe Dodoma Kwa Simbachawene wanaume wa kanda maalum hawana hizi dalili za MombassaMkoa wa mara wote unarudi CCM nyie Chadema mtajuta kusimamisha huyo mtu wenu agombee Urais.
Mkipata hata wabunge wawili mkatambike.
Wewe hukai mkoa wa Mara utakuwa unaishi Kibakwe Dodoma Kwa Simbachawene wanaume wa kanda maalum hawana hizi dalili za Mombassa
Haki na batili iko wazi. Kujitoa ufahamu haibadilishi hilo.Mimi sio msaliti wa Nchi siwezi kwenda motoni
Huyu si ndo yule alikuwa anabaka walimu ovyo?Haki na batili iko wazi. Kujitoa ufahamu haibadilishi hilo.
"Balil insaan alaa nafsihi baswiiraa" mwanadamu anajifahamu haswaa ndani ya nafsi yake yeye ni wa namna gani.
"Thumma jaalnaaka alaa shariiatal minal amri fat'tabiiaha walaa tat'tabiu ahwaa alladhina laa ya'alamuun fainnahu la yaghnuu anka minallahi shay'aa"
Kisha tukakujaalia wewe juu yako sheria itokanayo na amri basi ifuate na wala usifuate matamanio ya wale ambao hawajui chochote, hakika ya hao hawatakusaidia chochote mbele ya Mungu.
Samahani unamzungumzia nani?Huyu si ndo yule alikuwa anabaka walimu ovyo?
Achana na huyo MPUMBAVU aliyejificha vijijini M'bande, Msunjilile, Mlanje, Matongolo huko Idodomhya halafu hapa anajifanya kuishi Nyamongo, nyamitwebile, Kyabakari, MuryazaHatutishwi ndugu, pole sana...sisi sio kama Dodoma huko mnakowaonea wagogo...
Nakuhakikishia Tarime hii hamna chenu na hata majimbo mengine ya mkoa wa mara...mtatoka kapa...
Huo ndo ukweli na utabaki hivo
Yule mkurugenzi alikuwa anawavuruga walimu!!Samahani unamzungumzia nani?
WatekajiMkoa wa mara wote unarudi CCM nyie Chadema mtajuta kusimamisha huyo mtu wenu agombee Urais.
Mkipata hata wabunge wawili mkatambike.