TANZIA Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano ya Ikulu ya Zanzibar, Charles Hillary afariki dunia

TANZIA Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano ya Ikulu ya Zanzibar, Charles Hillary afariki dunia

Nilichojifunza na Wanangu Ntawafundisha na hata sasa mimi Binafsi mtaani naishi hivyo;

Kuna jamii ukiwa juu yao kwa Cheo au fursa au kipato akijua ukitoka wewe atapata yeye ni sheedar muda wowote unaenda kwa Sanda.
 
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu ya Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Charles Hilary, amefariki dunia alfajiri ya leo Mei 11, 2025.

Charles pia aliwahi kuwa mtumishi mwandamizi wa Azam Media Limited kati ya mwaka 2015 na 2023.

Alihitimisha muda wake akiwa Mkuu wa Idara ya redio ya UFM, baada ya kuteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu ya Zanzibar.

Kwa mujibu wa chanzo cha karibu, Hilary amefariki baada ya kuugua ghafla na mauti yamemkuta akiwa njiani kupelekwa hospitali ya Taifa ya Muhimbili tawi la Mloganzila.

Mtangazaji huyo wa zamani kinara wa Azam News na Mkuu wa UFM Redio ana historia ndefu katika utangazaji akiwa amevitumikia vituo mbalimbali vya habari ikiwemo Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) wakati huo ikiitwa Redio Tanzania na Shirika la Utangazaji wa Uingereza (BBC).


Mungu amweke mahala pema peponi mzee wetu.

RIP
 
Mkurugenzi wa ldara ya Mawasiliano lkulu ya Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Charles Hilary amefariki dunia alfajiri hit ya leo Mei 11, 2025.

Mungu amweke mahala pema peponi mzee wetu.
Ooh RIP
 
RIP mwanahabari nguli Mtanzania. Director of Presidential Communications Directorate State House Zanzibar
 
Mkurugenzi wa ldara ya Mawasiliano lkulu ya Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Charles Hilary amefariki dunia alfajiri hit ya leo Mei 11, 2025.

Mungu amweke mahala pema peponi mzee wetu.
RIP kwake legend , gwiji la habari
 
Apumzike kwa amani, tumeanza kumsikia zamani sana kama mtangazaji, alikua mahiri sana kwenye vipindi vyake.

Mara ya mwisho alisikika akitolea ufafanuzi kwamba Zanzibar kama nch ina miliki ardhi huko bagamoyo !
 
Marehemu mara ya kwanza namsikia mwaka 2005 BBC swahili kila weekend anatangaza mechi za EPL kwa kiswahili so tukiwa hatuna jero la kwenda kibanda umiza, tunaenda dukani kwa mangi (RIP MANGI) Anafungulia radio hadi mwisho..RIP legend..
 
Mkurugenzi wa ldara ya Mawasiliano lkulu ya Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Charles Hilary amefariki dunia alfajiri hit ya leo Mei 11, 2025.

Mungu amweke mahala pema peponi mzee wetu.
RiP Charles Hillary
 
Marehemu mara ya kwanza namsikia mwaka 2005 BBC swahili kila weekend anatangaza mechi za EPL kwa kiswahili so tukiwa hatuna jero la kwenda kibanda umiza, tunaenda dukani kwa mangi (RIP MANGI) Anafungulia radio hadi mwisho..RIP legend..
Daah, MANGI hakua na baya redio sauti ya mwisho, maisha ni safari.

Zamani, kijijini unauta wengine siku za mechi wamekosa hata pesa ya betri redio haziongei, wanajua hapa twende kwa flani tukasilizie mpira..wanajoin, huku story kibao..

Maisha yalikua na muunganiko sana.
 
Back
Top Bottom