Shin Lim
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 8,438
- 15,674
Wewe unatokea taifa gani chief?Wabongo wengi mna matatizo ya akili
Wewe unatokea taifa gani chief?Wabongo wengi mna matatizo ya akili
KenyaWewe unatokea taifa gani chief?
Hata kama umri si alikuwa Azam huyo kabla yakwenda mwaka jana Zanzibar! Sema siku hizi watu wengi hawapendi kuangalia taarifa za habari Zaidi ya muzikiVipi hauzingatii na suala la umri
Zanzibar ile jamii siwaamini hata kidogo, huyu hakuwa mzee hata kidogo alikuwa kijana kabisa huyu miaka 66 bado alikuwa mwamba.
Yale majitu ya Zanzibar kule yana roho za husuda na ubaguzi na watu wa Tanganyika,yapo radhi hata yakudhuru,sijui yapoje.
Why mtu aanguke ghafla tu. Mmmmmm mimi huu msiba kiukweli sijaupokea kama ni wa kawaida, una walakini.
Hili no tamko very fair Kwa kazi yakr
Hatq sisi tuna ardhi nchi nyingi sana tu
Zambia pekee tuna zaidi ya viwanja 10 Lusaka Tena prime areas
Hapo yeye amesoma taarifa ya umiliki wa ardhi ya smz huko bagamoyo
Ulitaka asemeje? Mbona tunakua wajinga aana siku hizi?
Nazungumzia kutangaza mpira sio taarifa ya habariHata kama umri si alikuwa Azam huyo kabla yakwenda mwaka jana Zanzibar! Sema siku hizi watu wengi hawapendi kuangalia taarifa za habari Zaidi ya muziki
Ndio unifahamishe mie mtoto wa afumbili nawajulia wapi hawa, niliskia tu storyUliza kwanza ufahamishwe badala ya kulaumu. Wewe unamsema Danstan Tido Mhando, sio Charles
Hana shukrani. Elimu, kuanzia primary, kazi, jina na maisha kayapatia Tanganyika. Halafu uzeeni anainyea Tanganyika.
Bila RTD angepata kazi DW na BBC ?
Duu nilisikia hili ila sikuwa nafahamu kama alitokea huko, ila alifanyakazi yakenya uandishi wa habari! Apumzike kwa Amani.Ni wale wale Ile issue ya Zanzibar kumiliki eneo upande wa bagamoyo aliishupalia Sana kuandika matangazo na kuyapost na kwenda kwenye media ngoja afe
Haya niliyoandika, yana uhusiano gani ni huu UCHURO wako? Nimeandika kuwa kumbukumbu yake inayokuja kwangu, ni ya lile tangazo. Nina ile clip. Kwa hiyo unanishauri niifute?Haya maneno utayakataa siku ukifiwa na mtu wa karibu sana
Ni wale wale Ile issue ya Zanzibar kumiliki eneo upande wa bagamoyo aliishupalia Sana kuandika matangazo na kuyapost na kwenda kwenye media ngoja afe
sawa sawa.. ni mpogoro na mama yakw ni maukuma!Charles Hillary ni mtanganyika wa kabila la wapogoro linalopatikana mkoani Morogoro ila wazazi wake walihamia Zanzibar kikazi na baadae kulowea huko huko kama ilivyo kwa kina Mwakanjuki, Mwakyembe etc. Nimemfahamu Charlz kipindi akiwa RTD miaka ya 92- 94. Nakumbuka ofisi yao pale rtd chumba chao walikua wanne Charles Hillary, Julius Nyaisanga, Salama Mfamao na Siwatu Luanda -RIP. Alikua amebaki Charles tu baada ya hao wengine kutangulia mbele za haki. Jamaa alikua mtu wa utani na ucheshi huku akipatana na kila mtu. RIP Legend.