TANZIA Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano ya Ikulu ya Zanzibar, Charles Hillary afariki dunia

TANZIA Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano ya Ikulu ya Zanzibar, Charles Hillary afariki dunia

Pumzika kwa amani legend
Hili neno huwa silipendi kabisa ,lipo na mlengo wa kinafiki,

Roho ya marehem ipumzike pale Panapostahili period , Mungu sio mwanadamu, na marehem yoyote yule , hatujui mapatano yake na Mungu , alitenda yapi mazuri au mabaya Mungu ndo anajua tu.

So hii kauli tajwa hapo juu ni ya kijinga sana mkuu, na unafiki juu, 4,7 mbatizaji anaongea
 
ni kweli alikuwa mahiri nyuma ya maiki itoshe kusema alikuwa one of the best. kumbuka kuna wengine wengi tu mf. wale akina Jongo, Chilambo, Mayoka, Sued, Mkamia ao pia wametangaza kwa kiwango km icho au zaidi
Hakika mkuu, Mola amweka mahala pema poponi.
 
RIP mzee wa macharanga!

Siku ya kwanza naanza kusikiliza bongo fleva ni huyu jamaa akiwa mtangazaji Radio One hata hajaenda BBC bado, aliweka muziki unaitwa "maji ya shingo" wa Daz Nundaz akasema kuna miziki mingine ya vijana unaweza kusikiliza ukajiuliza wamewaza nini na hatimaye ukajikuta unacheeeka, nakumbuka hadi leo sauti yake, nikaipenda kiaina

Baada ya hapo zikafuata tracks km Kukurukakara zako na Chemsha bongo, mamsap etc then bongo fleva ikaja mainstream media!
 
Hili no tamko very fair Kwa kazi yakr

Hatq sisi tuna ardhi nchi nyingi sana tu

Zambia pekee tuna zaidi ya viwanja 10 Lusaka Tena prime areas

Hapo yeye amesoma taarifa ya umiliki wa ardhi ya smz huko bagamoyo

Ulitaka asemeje? Mbona tunakua wajinga aana siku hizi?
Na uzuri hii ardhi ilitolewa na Baba wa Taifa Mwalimu J.K.Nyerere, mtu wanaemuheshimu sana, hana baya sio kama hawa wa Awamu zote zinazofuata ambazo wapinga maendeleo wana zi term as za MAFISADI.
 
Mbona una rukaruka, hujasema aliwahi kufanya kazi TBC kama Mkurugenzi Mkuu, inamaana aliruka akaingia Azam?

Anyway, RIP mwamba mpenda haki, bado unaishi kwenye mioyo ya watu wengi
Uliza kwanza ufahamishwe badala ya kulaumu. Wewe unamsema Danstan Tido Mhando, sio Charles
 
Pia awasalimie Karem Besta,Eda Sanga,Uncle J Nyaisanga,Rehema Mwakangale,Zuberi Msabaha,Deo Kiduduye,Freddy Felix au Fredwa,Job aiza Kamwamto wa Kenya,Leondard Mambo Mbotela wa Kenya na na wengine
Bila kusahau baba lao, David Wakati!

Of course kuna alieset namna ya utangazaji mpira nchini, ikaigwa na wote hadi Kenya, Omari Masoud! Nadhani ndie aliesema kwenye mechi moja ya Simba na Yanga, wasikilizaji, mabao ni Simba moja, sisi mbili!😀
 
Pia awasalimie Karem Besta,Eda Sanga,Uncle J Nyaisanga,Rehema Mwakangale,Zuberi Msabaha,Deo Kiduduye,Freddy Felix au Fredwa,Job aiza Kamwamto wa Kenya,Leondard Mambo Mbotela wa Kenya na na wengine
Usimchulie mama edda sanga uyo bado yupo hai mbona
 
Charles Hillary ni mtanganyika wa kabila la wapogoro linalopatikana mkoani Morogoro ila wazazi wake walihamia Zanzibar kikazi na baadae kulowea huko huko kama ilivyo kwa kina Mwakanjuki, Mwakyembe etc. Nimemfahamu Charlz kipindi akiwa RTD miaka ya 92- 94. Nakumbuka ofisi yao pale rtd chumba chao walikua wanne Charles Hillary, Julius Nyaisanga, Salama Mfamao na Siwatu Luanda -RIP. Alikua amebaki Charles tu baada ya hao wengine kutangulia mbele za haki. Jamaa alikua mtu wa utani na ucheshi huku akipatana na kila mtu. RIP Legend.
 
Hili neno huwa silipendi kabisa ,lipo na mlengo wa kinafiki,

Roho ya marehem ipumzike pale Panapostahili period , Mungu sio mwanadamu, na marehem yoyote yule , hatujui mapatano yake na Mungu , alitenda yapi mazuri au mabaya Mungu ndo anajua tu.

So hii kauli tajwa hapo juu ni ya kijinga sana mkuu, na unafiki juu, 4,7 mbatizaji anaongea
Acha bange mkuu
 
Nilichojifunza na Wanangu Ntawafundisha na hata sasa mimi Binafsi mtaani naishi hivyo;

Kuna jamii ukiwa juu yao kwa Cheo au fursa au kipato akijua ukitoka wewe atapata yeye ni sheedar muda wowote unaenda kwa Sanda.
Nimekuelewa sana ndugu. Nami nimelitafakari hilo Kwa mapana.
 
Zanzibar ile jamii siwaamini hata kidogo, huyu hakuwa mzee hata kidogo alikuwa kijana kabisa huyu miaka 66 bado alikuwa mwamba.

Yale majitu ya Zanzibar kule yana roho za husuda na ubaguzi na watu wa Tanganyika,yapo radhi hata yakudhuru,sijui yapoje.

Why mtu aanguke ghafla tu. Mmmmmm mimi huu msiba kiukweli sijaupokea kama ni wa kawaida, una walakini.
Kuna mwamba mwingine hukohuko pia naye alidanja hivihivi. Aisee....
 
Back
Top Bottom