Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 7,148
- 13,108
Last time nilikutana naye kibamba crdb bank, alikuja na gari yake Ina mziki mnene
Kifo ni fumbo
ni kujiandaa tu kuishi maisha mapya Yale ya baada ya haya
Last time nilikutana naye kibamba crdb bank, alikuja na gari yake Ina mziki mnene
Kifo ni fumbo
Sijawahi kumsikia akitangazaDuh! R.I.P mwamba.
Huyu alikuwa mtangazaji Bora wa soka kuwahi kutokea hapa nchini Tanzania.
Cc Monetary doctor Al-mukheef
Huwezi kuwa kwenye nafasi fulani wakati tayari umekufa labla kama hy nafasi unahudumia marehemuNadhani yuko sahihi. Mfano Rais au Mkuu wa majeshi ambaye bado anahudumu (Sitting) tunasema, Mkuu wa Majeshi....... Amefariki dunia au Rais wa Tanzania na Amir jeshi mkuu........ Amefariki dunia kwa ajali ya ndege. Sijui nime eleweka? Kuto kubali ana ni haki ya kila mtu.
Marehemu atakujibu?Alikuwa mtenda haki katika kutoa mawasiliano au ni wale wale
Mamkubwa haya labda haukuwahi kumiliki TV mwenzetu!Sijawahi kumsikia akitangaza
Edit and write.. INNALILLAH WAINA ILAYH RAJUUN..Ina walilahi rajuni
Una maana Baraza la Kiswahili hawajui kuwa kwenye Taarifa za habari, Bungeni wamekuwa Wakifanya makosa? Kwenye Kiingereza sahihi ukitafsili kwa kiswahili inakuja Rais wa, Mkuu wa mkoa wa nk nk amefariki.Huwezi kuwa kwenye nafasi fulani wakati tayari umekufa labla kama hy nafasi unahudumia marehemu
Hahaha 😂, kwa upande wangu yeye ndiye nambari wani aise hao uliowataja wanajua lakini nimemweka yeye namba moja.Sema vyovyote lakini abadani hawezi kuwa shinda Ahmed Jongo, Mshindo Mkeyenge na Omar Masoud Jawewa. Trust me, you may ask anybody, anywhere.
Vipi hauzingatii na suala la umriMamkubwa haya labda haukuwahi kumiliki TV mwenzetu!
Basi ulikosa mengi.Sijawahi kumsikia akitangaza
Kumzidi MpenjaBasi ulikosa mengi.
Kwa jinsi alivyojua kutangaza nilikuwa natoka kwenye kibanda umiza na kwenda kusikiliza mpira kwenye redio maana ukisikiliza utangazaji wake unakuwa umemzidi mtu aliyeenda kuushuhudia aise!
Mpenja anapigwa tu makelele.Kumzidi Mpenja
ni kweli alikuwa mahiri nyuma ya maiki itoshe kusema alikuwa one of the best. kumbuka kuna wengine wengi tu mf. wale akina Jongo, Chilambo, Mayoka, Sued, Mkamia ao pia wametangaza kwa kiwango km icho au zaidiDuh! R.I.P mwamba.
Huyu alikuwa mtangazaji Bora wa soka kuwahi kutokea hapa nchini Tanzania.
Cc Monetary doctor Al-mukheef
daah we jamaa!Kumzidi Mpenja
Yeye alikuwa hapigi makeleleMpenja anapigwa tu makelele.
Miaka 66 sio MzeeMungu amweke mahala pema peponi mzee wetu.
Hii nimeiona sehemu ,nikafikili ni mambo ya mtandao , pole kwa wafiwa ,aiseeAliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu ya Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Charles Hilary, amefariki dunia alfajiri ya leo Mei 11, 2025.
Kwa mujibu wa chanzo cha karibu, Hilary amefariki baada ya kuugua ghafla na mauti yamemkuta akiwa njiani kupelekwa hospitali ya Taifa ya Muhimbili tawi la Mloganzila.
Marehemu Charles Hilary alizaliwa Zanzibar miaka 66 iliyopita eneo la Jang’ombe. Mwaka 1968 alihamia jijini Dar es Salaam na kujiunga na Shule ya Msingi ya Ilala Mchikichini
Alijiunga na Redio Tanzania mwaka 1981 na kuitumikia hadi mwaka 1994 alipojiunga na kituo binafsi cha Radio One Stereo kinachomilikiwa na IPP
Mwaka 2003 aliondoka nchini na kujiunga na Radio Deusch Welle (DW) nchini Ujerumani, na miaka mitatu baadaye alijiunga na Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) akiwa Idhaa ya Kiswahili
Mwaka 2015 aliamua kurejea nchini na kujiunga Azam Media ambako alifanya kazi hadi mwaka 2023. Alihitimisha muda wake akiwa Mkuu wa Idara ya redio ya UFM, baada ya kuteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu ya Zanzibar.
Mungu amweke mahala pema peponi mzee wetu.
Kinachoniuma ni palepale mloganzila aisee pale ninkama lango la kifo familia ilipowaza kumpeleka Mloganzila ndio baas tena Rip.Aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu ya Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Charles Hilary, amefariki dunia alfajiri ya leo Mei 11, 2025.