Apumzike kwa Amani, idara ya Habari imepoteza mtu muhimu sana.Aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu ya Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Charles Hilary, amefariki dunia alfajiri ya leo Mei 11, 2025.
Charles pia aliwahi kuwa mtumishi mwandamizi wa Azam Media Limited kati ya mwaka 2015 na 2023.
Alihitimisha muda wake akiwa Mkuu wa Idara ya redio ya UFM, baada ya kuteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu ya Zanzibar.
Kwa mujibu wa chanzo cha karibu, Hilary amefariki baada ya kuugua ghafla na mauti yamemkuta akiwa njiani kupelekwa hospitali ya Taifa ya Muhimbili tawi la Mloganzila.
Mtangazaji huyo wa zamani kinara wa Azam News na Mkuu wa UFM Redio ana historia ndefu katika utangazaji akiwa amevitumikia vituo mbalimbali vya habari ikiwemo Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) wakati huo ikiitwa Redio Tanzania na Shirika la Utangazaji wa Uingereza (BBC).
Mungu amweke mahala pema peponi mzee wetu.
Hakuna haki katika utawala wa CCMAlikuwa mtenda haki katika kutoa mawasiliano au ni wale wale
Ungeandika Kiswahili tu 😂😂Ina walilahi rajuni
😁😁😁😁Ina walilahi rajuni
Daah inasikitishaAliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu ya Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Charles Hilary, amefariki dunia alfajiri ya leo Mei 11, 2025.
Charles pia aliwahi kuwa mtumishi mwandamizi wa Azam Media Limited kati ya mwaka 2015 na 2023.
Alihitimisha muda wake akiwa Mkuu wa Idara ya redio ya UFM, baada ya kuteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu ya Zanzibar.
Kwa mujibu wa chanzo cha karibu, Hilary amefariki baada ya kuugua ghafla na mauti yamemkuta akiwa njiani kupelekwa hospitali ya Taifa ya Muhimbili tawi la Mloganzila.
Mtangazaji huyo wa zamani kinara wa Azam News na Mkuu wa UFM Redio ana historia ndefu katika utangazaji akiwa amevitumikia vituo mbalimbali vya habari ikiwemo Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) wakati huo ikiitwa Redio Tanzania na Shirika la Utangazaji wa Uingereza (BBC).
Mungu amweke mahala pema peponi mzee wetu.
Mtani utafanya nicheke msibani sasa,. LolIna walilahi rajuni
Alitesa hiki kipindi redioni..charanga timemzee wa macharanga RIP
naenda MwambaPumzika Nguli, naenda Mwamba, umeiachia tasnia cha kujifunza kwako
Chini ya CCM ya sa100 unadhani haki unaweza tenda? Ili utende haki inatakiwa uwe na moyo mgumu. Hata hicho cheo walichokupa wanakunyang’anyaAlikuwa mtenda haki katika kutoa mawasiliano au ni wale wale
Hahahaha...Mtani utafanya nicheke msibani sasa,. Lol
Sa ndo umepigaje hapo na wewe?
#Inna lillahi wa ina ilaihi rajiun.
Wale wale amri kwa bwanaAlikuwa mtenda haki katika kutoa mawasiliano au ni wale wale