TANZIA Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano ya Ikulu ya Zanzibar, Charles Hillary afariki dunia

Vifo vya ghafla vichunguzwe.
Ni vyema uchunguzi ufanyike ijulikane, mazingura yaliyojuwa yanamzunguko yalikuwaje?!
Kiutendaji,kijamii yawezekana kuna kitu.
 
Rip Charles Hillary....

Pole kwa taaluma ya habari na waandishi habari kwa ujumla.

Pascal Mayalla
 
Nilikua nasikiliza mechi za Epl kwenye radio ilikua timu ikisawazisha goli unaskia anasema "moja moja"
 
Pia awasalimie Karem Besta,Eda Sanga,Uncle J Nyaisanga,Rehema Mwakangale,Job aiza Kamwamto wa Kenya,Leondard Mambo Mbotela wa Kenya na na wengine
Kwa list hii wa kwanza kumsalimia atakuwa Ahmed Jongo halafu Halima Mchuka. Ahmed Jongo alimfundisha kutangaza mpira na Charles akamfundisha Halima Mchuka kiasi ya kuwa mtangazaji wa kwanza mwanamke wa mpira wa miguu Tanzania. Pia atawakumbuka wenzake wengine akina Salama Mfamao, Hamza Lihomba,nk nk. Hamza Lihomba alikuwa fundi mitambo wake pendwa Charles alipokuwa anatangaza mpira RTD.
 
Alikuwa mtenda haki katika kutoa mawasiliano au ni wale wale
Ukimtumikia shetani huwezi kufanya mambo kinyume na matakwa yake. All in all, marehemu ameacha alama zake kwenye fani ya michezo hasa utangazaji na pia usomaji wa habari bila kusahau music. Alikuwa anaitwa mzee wa macharanga. Kwangu mimi alikuwa ni mtu mzuri na sikuwahi kusikia akiitumia fani yake ya habari vibaya au kufanya uchawa kama wanavyofanya kina Balile na kuangamiza nchi na wananchi wasio na hatia.
 
Do!
Kifo ni fumbo. Alale mahali pema peponi ndugu yetu Charles Hilary Nkwanga.
Tutakukumbuka kwa utangazaji wako mahiri na sauti iliyopasua anga.
 
Kifo Cha ghafula!
RIP charz!!

Wazito wanatutoka sana kipindi hiki!!kila mahali hadi Tanesco!!
Siamini kwenye kauli hii kama inaweza ndio ikawa in sequence and series;-

"Pale st Peters Kuna wale conservatives ambao wanataka Hali iendelee kuwa hivi hivi kwa kuwalinda wakubwa,wapo watakaokaushwa kimya kimya na baada ya muda hawato kuwepo"

Ukiwa na influence kwenye jamii halafu ukawa na upande fulani hasta kipindi hiki kuelekea uchaguzi,you are no more aiseh!!

Nawazq tu,

Pole kwa familia,pole kwa tasnia ya waandishi wa habari na watangazaji nchini!!!
 
Wewe ndo mungu mtoa hukumu,hizi dini zimewaharibu sana watanganyika
Mkuu mbona unamshambulia mtu kauliza kiungwana kabisa? Kauliza swali zuri sana na hajahukumu chochote. By the way, binadamu kutoa opinion kuhusu marehemu SIYO kuhukumu. Hivi unadhani mtu akisema fulani kipindi cha uhai wake alikuwa ni mwizi, atakuwa ametoa hukumu? Yale yatabaki kuwa maneno yake, na mbele ya haki atahukumiwa kulingana na ukweli wa aliyoyatenda. Hata kama dunia nzima itaimba sifa za marehemu, Mungu anaweza kutoa hukumu ya tofauti.
 
Hii video mbona inaonyesha kama amedhoofu hali. Kwani mtu ukifanya kazi ikulu, wingi wa majukumu yanakufanya uchujuke kuliko alivyokuwa kituo binafsi azam??
 
Kazi yake mola
 
Zanzibar ile jamii siwaamini hata kidogo, huyu hakuwa mzee hata kidogo alikuwa kijana kabisa huyu miaka 66 bado alikuwa mwamba.

Yale majitu ya Zanzibar kule yana roho za husuda na ubaguzi na watu wa Tanganyika,yapo radhi hata yakudhuru,sijui yapoje.

Why mtu aanguke ghafla tu. Mmmmmm mimi huu msiba kiukweli sijaupokea kama ni wa kawaida, una walakini.
 
Alikuwa mtenda haki katika kutoa mawasiliano au ni wale wale
Charles alikua ni mtu wa watu, Mtu wa haki na very fair

Sifa zake kuu ni wakati ule akiwa kwenye radio za Tunza bara hasa ITV na radio one

Yeye na marehemu Julius nyaisanga walinyanyua sana rpivate media

Tumkumbuke Kwa impact ya muda mrefu

Zanzibar alienda juzi tu baada ya Mwinyi kuwa rais
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…