Doubleg Malafyale
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 2,733
- 3,561
YeahKwamba mahindi yameisha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YeahKwamba mahindi yameisha?
Teh.!Nimeshangaa sana aisee,japo sijui historia yake ila nina hakika hata leo ndugu zake wakiweka basi barabarani lenye jina la hiyo kampuni atawapiga bao sana watu.
Mimi nilikua siwezi enda mbeya bila Sauli ,wakati niko pale mafinga nimebeti sana na kula hela kupitia Sauli. Nilipoenda makambako hivyo hivyo (mabasi yana addiction mbaya sana kuna wakati nilikua nasimama tu barabarani na wana tuione sauli).
Ata kwenye basi zake kwa nyuma kaweka picha za pikipiki ya mashindanoDaaah huyo jamaa miaka ya nyuma pale Chunya alikuwa anapenda mashindano ya pikipiki na mwenzake Konga
Kwani basi nazo hazipo kwa sasa?Wenye vyao wame chukua bus zao sasa wame rudia mtu wao
Anaongelea ya chunya😀😀Tanzania ipi mkuu??
Sauli ndo mwisho wake huo mkuu,hayatakua na siku nyingi ata yakija barabaraniView attachment 3061447
Yalikuwa service tiyali bado kumwaga moto
Kwamba mahindi yameisha?
Punje zimekata.
Huyu jamaa historia inaonesha alikuwa ni mchimba madiniUtajiri wa PUNJE ni hatari sana.
Matajiri wa nyanda za juu kusini wanatia mashaka.
Chunya imepoteza, Mbeya inalia, Tanzania imepoteza
Ajali za kawaida ni zipi na zamikono ya watu nizipi?Mkono wa mtu huo! Siamini kuwa ni ajali ya kawaida, planed one?Poleni sana watanzania
Huyo Mtoto wa miaka 4 ndio ana safiri Naye bila Mama au msaidizi wa kaziTumepokea taarifa ya ajali ya gari ndogo ambapo mmiliki wa Mabasi ya kampuni ya Sauli Luxury Solomoni Mwalabhila amefariki dunia kwenye ajali hiyo. Tunatoa pole sana kwa Kampuni ya Sauli Luxury.
Ajari ya barabarani imeondoka na roho ya mmiliki wa mabasi ya Sauli Luxury siyo mbali sana na ilipopata ajari basi yake mapema mwaka huu Kibaha na kuwaka moto na yeye pia mmiliki ajari imemwondoa maeneo ya Mlandizi leo hii asubuhi akiwa na gari binafsi
Atakumbukwa kwa kuleta upinzani wa huduma na kufikisha abiria kwa haraka kampuni zake kwa wasafri wa nyanda za juu kusini.
Hasa kwa sisi wanazi wa Scania tutamkumbuka sana mwamba kwa kuziheshimisha Scania road.
Rest in peace Mwilabila Sauli
======
Mmiliki wa mabasi ya Sauli, Solomon Sauli Mwalabila amefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea eneo la Miwaleni, Mlandizi mkoani Pwani majira ya saa kumi na mbili na nusu alfajiri.
Mwandishi wetu wa Pwani ameeleza kuwa ajali hiyo ilihusisha magari mawili yaliyokuwa katika sehemu moja gari namba T213 DQD aina ya Fuso.
Imeelezwa kuwa gari hilo lilipata hitilafu ya kiufundi na kuligonga gari aina ya Jeep lenye namba za usajili T466EGW alilokuwemo mmiliki wa Sauli ambapo liligonga gari jingine aina ya Howo la kubebea kokoto.
Marehemu Sauli mkazi wa Mbeya alikuwa na mtoto wake mwenye umri wa miaka minne ambaye alipata michubuko na alipelekwa hospitali kabla ya kuruhusiwa.
Mwili wa marehemu umehifadhiwa kwenye chumba cha maiti kituo cha afya Mlandizi.
Sauli alikuwa mmiliki mabasi ya Sauli yaliyowahi kufanya safari za Dar Es Salaam - Mbeya.
Kamanda wa Polisi Mkoa Pwani Pius Lutumo amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.
Azam TV
Alikuwa anatoka Dar kwenda huko mikoani.Alikuwa anawahi wananchi day
Benz dpc ndio gari yake ya kwanza2020 bus yake ya kwanza ilikuwa DTF aka nyuma imeandikwa mjeshi ilikuwa inamwaga moto balaa ukipanda mbeya ni karibu
Link ya hiyo videoIle video ya ajali yake inasikitisha sana
Tusikimbie na magari wakuu
Namfamu anayezitoa, yupo Zambia na mwingine MalawiKatafute na wewe hizo punje za Mahindi. Kwani we hupendi utajiri?