TANZIA Mkurugenzi wa Kampuni ya Mabasi ya Sauli, Solomoni Mwalabhila afariki dunia

TANZIA Mkurugenzi wa Kampuni ya Mabasi ya Sauli, Solomoni Mwalabhila afariki dunia

Wanaweza sema they don't care. As if Tanzania sio kwao....
Na mbaya zaidi hii barabara inawaua hata wao na mav8 yao wakipita.

Mimi toka SGR imefunguliwa sipandi tena magari kwenda Morogoro au Dodoma. Wacha nikate ticket hata week 2 kabla...
Maana siku hiz zinajaa hatari
Ila kwel
 
Daaah huyo jamaa miaka ya nyuma pale Chunya alikuwa anapenda mashindano ya pikipiki na mwenzake Konga

Hakika mkuu, konga alikuaga anaweza sana kutembea na baja.

Nakumbuka ashawahi sema napita hapa soon then mtanambia nimevaa nguo gan?

Mwamba alipita cha ajabu aliporudi akauliza watu kuwa alivaa nini kila mtu alitaja kivyake then mwamba akasema nimepita hapa nikiwa mtupu na hakuna alogundua.
 
Hakika mkuu, konga alikuaga anaweza sana kutembea na baja.

Nakumbuka ashawahi sema napita hapa soon then mtanambia nimevaa nguo gan?

Mwamba alipita na baja kama upepo cha ajabu aliporudi akauliza watu kuwa alivaa nini?

Kila mtu alitaja kivyake then mwamba akasema nimepita hapa nikiwa mtupu na hakuna alogundua.
 
Utajiri wa makafara sio mzuri yafaa nini kuwa tajiri kwa muda ukila Bata kisha unaenda kutumika kwa mateso kuzimu hadi miaka yako aliyokuandikia Mwenyezi Mungu itakapoisha ndipo utatoka kuzimu kusubiria hukumu.
Ndo maana matajiri wengine mkataba ukifika wanajipiga risasi au kujinyonga ili wasiende kuzimu kumalizia muda uliobakia,maana shetani achukui kibudu.
mambo mazito sana hayabmkuu
 
Back
Top Bottom