Mzalendo120
JF-Expert Member
- Jul 2, 2022
- 1,842
- 2,410
Tena kwa matajiri ndio mafupi zaidiRIP tajiri...maisha ya hapa duniani kwa sisi wanadamu ni mafupi...uwe tajiri , uwe maskini tutakwenda tu kaburini ...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena kwa matajiri ndio mafupi zaidiRIP tajiri...maisha ya hapa duniani kwa sisi wanadamu ni mafupi...uwe tajiri , uwe maskini tutakwenda tu kaburini ...
Yes Kwan kuna tatizo ,?Huyo Mtoto wa miaka 4 ndio ana safiri Naye bila Mama au msaidizi wa kazi
Ila kwelWanaweza sema they don't care. As if Tanzania sio kwao....
Na mbaya zaidi hii barabara inawaua hata wao na mav8 yao wakipita.
Mimi toka SGR imefunguliwa sipandi tena magari kwenda Morogoro au Dodoma. Wacha nikate ticket hata week 2 kabla...
Maana siku hiz zinajaa hatari
Tatizo linakuwepo la kumweka Mtoto katika mazingira hatarishi. Ni Sawa Sawa na Mama kwenda kufanya biashara na Mtoto kwenye mazingira hatarishi mfano Usiku kwenye kilabu cha pombeYes Kwan kuna tatizo ,?
Hata Mimi Nina mashaka, maelezo hayajitoshelezi kabisa.Mkono wa mtu huo! Siamini kuwa ni ajali ya kawaida, planed one?Poleni sana watanzania
Daaah huyo jamaa miaka ya nyuma pale Chunya alikuwa anapenda mashindano ya pikipiki na mwenzake Konga
Hakika mkuu, konga alikuaga anaweza sana kutembea na baja.
Nakumbuka ashawahi sema napita hapa soon then mtanambia nimevaa nguo gan?
Mwamba alipita na baja kama upepo cha ajabu aliporudi akauliza watu kuwa alivaa nini?
Kila mtu alitaja kivyake then mwamba akasema nimepita hapa nikiwa mtupu na hakuna alogundua.
Sasa unamuuliza nani wakati Mwamba ameshatutoka?.Kwanini aliamua kuita SAULI na sio SOLOMON?
R.I.P bwana Solo
'Simu' umeeleweka, mikopo inahusikaje na kuleta ajali?Upigaji wa simu,upokeaji wa simu na mikopo ni chanzo kikubwa cha ajali za matajiri wa mabasi!
Head head collision with a lorry, also from Mbeyahow was it?
Just wanasema Red Colour ina mambo mambo.Kuna theory magari mekundu yako prone to accident..
Punje ya mhindi na jogooNgoja nisubiri comment fulani hivi najua itakuja tu japo kuna mtu juu hapo kashaanzisha tayari.
Sure mkuu 🤝Unaweza ukajilinda na kufuata sheria za barabara lakini mjinga mmoja akakusababishia ajali.
dah mkuu ni hatari kweli, sema tunajitoa akili hamna namna,ijumaa sa sita usiku tunaitafuta dar,jmpli usiku tunaitafuta domHii SGR isambae nchi nzima tu. Mimi njia ya Dar-Moro-Dom situmii tena bus au gari binafsi. It's too dangerous.
mambo mazito sana hayabmkuuUtajiri wa makafara sio mzuri yafaa nini kuwa tajiri kwa muda ukila Bata kisha unaenda kutumika kwa mateso kuzimu hadi miaka yako aliyokuandikia Mwenyezi Mungu itakapoisha ndipo utatoka kuzimu kusubiria hukumu.
Ndo maana matajiri wengine mkataba ukifika wanajipiga risasi au kujinyonga ili wasiende kuzimu kumalizia muda uliobakia,maana shetani achukui kibudu.