ilala yetu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 1,451
- 2,348
jamaa alibakisha bus mbili tuBasi zake mbili zilizobaki ndo zilikua zimetoka gereji kurekebishwa bodi,,bahati mbaya utajiri wa mtu mweusi akiondoka anaondoka nao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamaa alibakisha bus mbili tuBasi zake mbili zilizobaki ndo zilikua zimetoka gereji kurekebishwa bodi,,bahati mbaya utajiri wa mtu mweusi akiondoka anaondoka nao.
😀😀😀mkuu sio chai hizi?,unamaana aliendesha baja akiwa mtupu road au sijaelewaHakika mkuu, konga alikuaga anaweza sana kutembea na baja.
Nakumbuka ashawahi sema napita hapa soon then mtanambia nimevaa nguo gan?
Mwamba alipita cha ajabu aliporudi akauliza watu kuwa alivaa nini kila mtu alitaja kivyake then mwamba akasema nimepita hapa nikiwa mtupu na hakuna alogundua.
Mbona hukusema mapema?Nilipoona Gari zake Mara ajali Mara nn.
Nikajua Utajiri wake Sasa huooooo nayeye mwenyewe mbioni kuondoka.
Kwani huyu Solomon naye ni Mkinga?Hakika mkuu, konga alikuaga anaweza sana kutembea na baja.
Nakumbuka ashawahi sema napita hapa soon then mtanambia nimevaa nguo gan?
Mwamba alipita cha ajabu aliporudi akauliza watu kuwa alivaa nini kila mtu alitaja kivyake then mwamba akasema nimepita hapa nikiwa mtupu na hakuna alogundua.
Konga alikuwa ni mzee wa ma dirt bikes tena yake yenye tank kubwa.Hakika mkuu, konga alikuaga anaweza sana kutembea na baja.
Nakumbuka ashawahi sema napita hapa soon then mtanambia nimevaa nguo gan?
Mwamba alipita cha ajabu aliporudi akauliza watu kuwa alivaa nini kila mtu alitaja kivyake then mwamba akasema nimepita hapa nikiwa mtupu na hakuna alogundua.
Huyu jamaa nimemkumbuka......kitambo sana....ila sikujua kama ndiye mwenye hayo mabasi...RIPTumepokea taarifa ya ajali ya gari ndogo ambapo mmiliki wa Mabasi ya kampuni ya Sauli Luxury Solomoni Mwalabhila amefariki dunia kwenye ajali hiyo. Tunatoa pole sana kwa Kampuni ya Sauli Luxury.
Ajari ya barabarani imeondoka na roho ya mmiliki wa mabasi ya Sauli Luxury siyo mbali sana na ilipopata ajari basi yake mapema mwaka huu Kibaha na kuwaka moto na yeye pia mmiliki ajari imemwondoa maeneo ya Mlandizi leo hii asubuhi akiwa na gari binafsi
Atakumbukwa kwa kuleta upinzani wa huduma na kufikisha abiria kwa haraka kampuni zake kwa wasafri wa nyanda za juu kusini.
Hasa kwa sisi wanazi wa Scania tutamkumbuka sana mwamba kwa kuziheshimisha Scania road.
Rest in peace Mwilabila Sauli
======
Mmiliki wa mabasi ya Sauli, Solomon Sauli Mwalabila amefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea eneo la Miwaleni, Mlandizi mkoani Pwani majira ya saa kumi na mbili na nusu alfajiri.
Mwandishi wetu wa Pwani ameeleza kuwa ajali hiyo ilihusisha magari mawili yaliyokuwa katika sehemu moja gari namba T213 DQD aina ya Fuso.
Imeelezwa kuwa gari hilo lilipata hitilafu ya kiufundi na kuligonga gari aina ya Jeep lenye namba za usajili T466EGW alilokuwemo mmiliki wa Sauli ambapo liligonga gari jingine aina ya Howo la kubebea kokoto.
Marehemu Sauli mkazi wa Mbeya alikuwa na mtoto wake mwenye umri wa miaka minne ambaye alipata michubuko na alipelekwa hospitali kabla ya kuruhusiwa.
Mwili wa marehemu umehifadhiwa kwenye chumba cha maiti kituo cha afya Mlandizi.
Sauli alikuwa mmiliki mabasi ya Sauli yaliyowahi kufanya safari za Dar Es Salaam - Mbeya.
Kamanda wa Polisi Mkoa Pwani Pius Lutumo amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.
Azam TV
Huyu jamaa nakumbuka sura yake kitambo sana.....lakini sikujua kama ndie mwenye mabasi ya sauliNamkumbuka kwa mengi sana Sauli mengi yalikuwa ni ya vituko
DuhHakika mkuu, konga alikuaga anaweza sana kutembea na baja.
Nakumbuka ashawahi sema napita hapa soon then mtanambia nimevaa nguo gan?
Mwamba alipita cha ajabu aliporudi akauliza watu kuwa alivaa nini kila mtu alitaja kivyake then mwamba akasema nimepita hapa nikiwa mtupu na hakuna alogundua.
Chanzo wala sio mwendo kasi wa marehemu ,ni vizuri kabla ya kuhukumu uulize kwanza Man.Pole kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki na wote walioguswa na msiba huo
Hawa matajiri na vijana wa Chunya wakija Dar au miji yenye magari mengi waache sifa zao za kukimbiza magari mpaka kukosa umakini kama wanavyofanya huko kwao
Jina lake kamili alikuwa Anaitwa Solomon Sauli MwalabhilaAmeacha.Tusaidie kujibu swali.Kwa nini Sauli na si Solomoni?
Usichanganye mambo! Huyu hakuwa tajiri ameibuka hata miaka 10 haijapita! Kuna yule Sauliwa SH Amons na Landmark hotels,yule ndio wa kitamboSauli ni tajiri wa miaka mingi sana mkuu, sema amekuwa maarufu baada ya kununua mabasi.
S H AmonSauli wako wangapi wakuu, yule wavipodozi ndiyo huyu!
Daaah 😂😂,,,ni uzi wa huzuni ila hii commentHakika mkuu, konga alikuaga anaweza sana kutembea na baja.
Nakumbuka ashawahi sema napita hapa soon then mtanambia nimevaa nguo gan?
Mwamba alipita cha ajabu aliporudi akauliza watu kuwa alivaa nini kila mtu alitaja kivyake then mwamba akasema nimepita hapa nikiwa mtupu na hakuna alogundua.
Sawa sawaUsichanganye mambo! Huyu hakuwa tajiri ameibuka hata miaka 10 haijapita! Kuna yule Sauliwa SH Amons na Landmark hotels,yule ndio wa kitambo
Ata hivyo amechanganya,yeye anadhani ni S.H AmonUsichanganye mambo! Huyu hakuwa tajiri ameibuka hata miaka 10 haijapita! Kuna yule Sauliwa SH Amons na Landmark hotels,yule ndio wa kitambo
Kwani huyu Solomon naye ni Mkinga?