TANZIA Mkurugenzi wa Kampuni ya Mabasi ya Sauli, Solomoni Mwalabhila afariki dunia

Teh.!
 
Sema nini huyu jamaa ni mpenda speed sana enzi za uhai wake hata akiwa na pikipiki jamaa huwa anacheza na kona za chunya kama kaziliwa nazo.
Akiwa na gari huwa anatumia lisaa kutoka chunya mpaka ISANGA mbeya mjini
 
Huyo Mtoto wa miaka 4 ndio ana safiri Naye bila Mama au msaidizi wa kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…