TANZIA Mkurugenzi wa Kampuni ya Mabasi ya Sauli, Solomoni Mwalabhila afariki dunia

😀😀😀mkuu sio chai hizi?,unamaana aliendesha baja akiwa mtupu road au sijaelewa
 
Defensive driving kwenye barabara zetu jambo la msingi sana, mengine muachie Mwenyezi Mungu.

Barabara zetu nyingi sio rafiki kukimbia, kuovertake na hata kupishana, muendeshaji wa chombo binafsi ndio unapaswa kujilinda ili uwe salama.

Madereva wengi pia huko barabarani akili zao haziko sawa na driving ni ya kihuni sana, wengi hawajali Sana hasa madereva wa mabasi na malori wengi hatari sana.
Uelewa mdogo na kutoheshimu kazi yao hupelekea kutojali sana, vitu kama ulevi, umalaya, uchovu nk ni vitu vya kawaida sana kwao wawapo barabarani.

Magari mabovu, Kwa kiasi kikubwa magari mengi huko barabarani ni mabovu japo yanatembea, kuanzia malori, mabus, gari ndogo binafsi na hata hizi za serikali mengi ni mabovu.

Madereva wa serikali, hili ni tatizo lingine huko barabarani, hawa watu hawajali kabisa madereva wengine, huovertake hovyohovyo, hulazimisha kupishwa hata sehemu ambayo sio salama, ilimradi yuko nyuma yako basi yeye anataka tu wewe umpishe hata kama kuna bonde upande mwingine.
Misafara huko kwenye highways bila kujali watumiaji wengine wa Barabara
 
Kwani huyu Solomon naye ni Mkinga?
 
Konga alikuwa ni mzee wa ma dirt bikes tena yake yenye tank kubwa.
 
Mwendo ameumaliza
Apumzike kwa amani mwamba
Tutamkumbuka kwa Buz zake enzi zipo kwenye peak

Jadda
 
Huyu jamaa nimemkumbuka......kitambo sana....ila sikujua kama ndiye mwenye hayo mabasi...RIP
 
Duh
 
Pole kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki na wote walioguswa na msiba huo

Hawa matajiri na vijana wa Chunya wakija Dar au miji yenye magari mengi waache sifa zao za kukimbiza magari mpaka kukosa umakini kama wanavyofanya huko kwao
Chanzo wala sio mwendo kasi wa marehemu ,ni vizuri kabla ya kuhukumu uulize kwanza Man.
 
Daaah 😂😂,,,ni uzi wa huzuni ila hii comment
 
Umekariri vibaya,we unadhani wakinga tu ndo wanafanya aya mambo?
Sahvi watu wote wenye tamaa ya utajiri wa haraka wanaingia kwenye haya mambo bila kujali kabila,wengine wanaiga kulingana na kampani anayoshinda nayo na kushirikiana katika mishe za hapa na pale,anajikuta kazama kwenye haya mambo

Kwani huyu Solomon naye ni Mkinga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…