TANZIA Mkurugenzi wa Kampuni ya Mabasi ya Sauli, Solomoni Mwalabhila afariki dunia

Alinyang'anywa mabasi na nani?
 
Poleni ndugu zetu,poleni Wana Mbeje.Bwana ametoa na Bwana ametwaa ,jina la Bwana na libarikiwe,Ameni.
 
Naona yamemkutaaa poleyapkeee mabasiyake yamechinja sana sana apumzikelwaaman
 
mlandizi kuelekea chalinze panasumbua na ajali,, barabara pale ina mawimbi na haijatulia. Ajali nyingi zinapatima kwenye hizzo 40km.
Wakulaumiwa pale ni Tanroads sio madereva.
pale barabara ina mawimbi sana ukiwa speed unaona kabisa unahama lane yako.
 
Lile eneo lilitakiwa kuwekwa zege
Hivi msafara wa rais,waziri mkuu wakipitaga hapo wanapitaga speed????

Ova
Msafara wanakuwa peke yao wanatumia lane zote mbili kwa wakati mmoja, hata gari ikihama hakuna Madhara, bw sauli gari imehama kaikuta fuso imepumzika kaivaa!!! Ajali za hapo nyingi ni head on collision, ukitoka salama mungu hajakupenda
 
Dah apumzike kunako stahili

Ova
 
Duh

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kifo ndio kiboko yetu.
laiti binadamu tusinge kuwa tunakufa tungekuwa jeuri sana.
tunakufa lakini bado watu wanajeuri, wanadhulumiana, wanaoneana. shida tupu!
r.i.p
mbele yetu nyuma yake.
Kwahiyo kifo sio suluhisho la watu kuwa wajeuri?
 
Msafara wanakuwa peke yao wanatumia lane zote mbili kwa wakati mmoja, hata gari ikihama hakuna Madhara, bw sauli gari imehama kaikuta fuso imepumzika kaivaa!!! Ajali za hapo nyingi ni head on collision, ukitoka salama mungu hajakupenda
Sio kweli, gari yake iligongwa kwa nyuma na fuso iliyofeli breki ikapelekea yeye kugonga roli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…