ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Kwani umesahau wabongo kuwa ni wakurupukaji. Na pia wao wanajuaga kila kituChanzo wala sio mwendo kasi wa marehemu ,ni vizuri kabla ya kuhukumu uulize kwanza Man.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani umesahau wabongo kuwa ni wakurupukaji. Na pia wao wanajuaga kila kituChanzo wala sio mwendo kasi wa marehemu ,ni vizuri kabla ya kuhukumu uulize kwanza Man.
Solomon ni Suleiman kwa kiswahiliSolomon ni kiingereza na Sauli ni kiswahili
Alinyang'anywa mabasi na nani?Sauli hakuwahi kua na uhaba wa abiria shida iliyokuepo sauli mabasi aliponyang'anywa akawa hana option yaan zile zile tupa geuka basi zikaanza kuchoka...mpaka gari zinaenda gereji bado jina lake lipo midomoni mwa watu na angerudi na moto ule ule jamaa kampuni yake mbeya inapendwa sana.
Kuwa Mtanzania inatosha, sio lazima uwe Mpumbavu pia.Alikuwa anawahi wananchi day
mlandizi kuelekea chalinze panasumbua na ajali,, barabara pale ina mawimbi na haijatulia. Ajali nyingi zinapatikana kwenye hizo 40km.Hii Mlandizi pana Shida, hata Tajiri wa Kisangani Spare parts Ajali ilikuwa mitaa hiyo hiyo
Poleni ndugu zetu,poleni Wana Mbeje.Bwana ametoa na Bwana ametwaa ,jina la Bwana na libarikiwe,Ameni.Tumepokea taarifa ya ajali ya gari ndogo ambapo mmiliki wa Mabasi ya kampuni ya Sauli Luxury Solomoni Mwalabhila amefariki dunia kwenye ajali hiyo. Tunatoa pole sana kwa Kampuni ya Sauli Luxury.
Ajari ya barabarani imeondoka na roho ya mmiliki wa mabasi ya Sauli Luxury siyo mbali sana na ilipopata ajari basi yake mapema mwaka huu Kibaha na kuwaka moto na yeye pia mmiliki ajari imemwondoa maeneo ya Mlandizi leo hii asubuhi akiwa na gari binafsi
Atakumbukwa kwa kuleta upinzani wa huduma na kufikisha abiria kwa haraka kampuni zake kwa wasafri wa nyanda za juu kusini.
Hasa kwa sisi wanazi wa Scania tutamkumbuka sana mwamba kwa kuziheshimisha Scania road.
Rest in peace Mwilabila Sauli
======
Mmiliki wa mabasi ya Sauli, Solomon Sauli Mwalabila amefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea eneo la Miwaleni, Mlandizi mkoani Pwani majira ya saa kumi na mbili na nusu alfajiri.
Mwandishi wetu wa Pwani ameeleza kuwa ajali hiyo ilihusisha magari mawili yaliyokuwa katika sehemu moja gari namba T213 DQD aina ya Fuso.
Imeelezwa kuwa gari hilo lilipata hitilafu ya kiufundi na kuligonga gari aina ya Jeep lenye namba za usajili T466EGW alilokuwemo mmiliki wa Sauli ambapo liligonga gari jingine aina ya Howo la kubebea kokoto.
Marehemu Sauli mkazi wa Mbeya alikuwa na mtoto wake mwenye umri wa miaka minne ambaye alipata michubuko na alipelekwa hospitali kabla ya kuruhusiwa.
Mwili wa marehemu umehifadhiwa kwenye chumba cha maiti kituo cha afya Mlandizi.
Sauli alikuwa mmiliki mabasi ya Sauli yaliyowahi kufanya safari za Dar Es Salaam - Mbeya.
Kamanda wa Polisi Mkoa Pwani Pius Lutumo amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.
Azam TV
ktHivi kwanini matajiri wanavaaga simple tuu
JeepIweke mkuu. Gari gani ilikuwa?
Naona yamemkutaaa poleyapkeee mabasiyake yamechinja sana sana apumzikelwaamanTumepokea taarifa ya ajali ya gari ndogo ambapo mmiliki wa Mabasi ya kampuni ya Sauli Luxury Solomoni Mwalabhila amefariki dunia kwenye ajali hiyo. Tunatoa pole sana kwa Kampuni ya Sauli Luxury.
Ajari ya barabarani imeondoka na roho ya mmiliki wa mabasi ya Sauli Luxury siyo mbali sana na ilipopata ajari basi yake mapema mwaka huu Kibaha na kuwaka moto na yeye pia mmiliki ajari imemwondoa maeneo ya Mlandizi leo hii asubuhi akiwa na gari binafsi
Atakumbukwa kwa kuleta upinzani wa huduma na kufikisha abiria kwa haraka kampuni zake kwa wasafri wa nyanda za juu kusini.
Hasa kwa sisi wanazi wa Scania tutamkumbuka sana mwamba kwa kuziheshimisha Scania road.
Rest in peace Mwilabila Sauli
======
Mmiliki wa mabasi ya Sauli, Solomon Sauli Mwalabila amefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea eneo la Miwaleni, Mlandizi mkoani Pwani majira ya saa kumi na mbili na nusu alfajiri.
Mwandishi wetu wa Pwani ameeleza kuwa ajali hiyo ilihusisha magari mawili yaliyokuwa katika sehemu moja gari namba T213 DQD aina ya Fuso.
Imeelezwa kuwa gari hilo lilipata hitilafu ya kiufundi na kuligonga gari aina ya Jeep lenye namba za usajili T466EGW alilokuwemo mmiliki wa Sauli ambapo liligonga gari jingine aina ya Howo la kubebea kokoto.
Marehemu Sauli mkazi wa Mbeya alikuwa na mtoto wake mwenye umri wa miaka minne ambaye alipata michubuko na alipelekwa hospitali kabla ya kuruhusiwa.
Mwili wa marehemu umehifadhiwa kwenye chumba cha maiti kituo cha afya Mlandizi.
Sauli alikuwa mmiliki mabasi ya Sauli yaliyowahi kufanya safari za Dar Es Salaam - Mbeya.
Kamanda wa Polisi Mkoa Pwani Pius Lutumo amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.
Azam TV
Ndio ujinyime kuvaa ahahahaKutunza fedha!
kt
Ndio,nguo si kusitili mwili tuu usionekane wazi,vaa vyovyote tuu hela ikae mfukoni!Ndio ujinyime kuvaa ahahaha
Ni watu wawili tofauti mbona.Kwanini aliamua kuita SAULI na sio SOLOMON?
R.I.P bwana Solo
pale barabara ina mawimbi sana ukiwa speed unaona kabisa unahama lane yako.mlandizi kuelekea chalinze panasumbua na ajali,, barabara pale ina mawimbi na haijatulia. Ajali nyingi zinapatima kwenye hizzo 40km.
Wakulaumiwa pale ni Tanroads sio madereva.
Tajiri haitaji kujitambulisha,!! anatambulishwa!!Hivi kwanini matajiri wanavaaga simple tuu
Lile eneo lilitakiwa kuwekwa zegemlandizi kuelekea chalinze panasumbua na ajali,, barabara pale ina mawimbi na haijatulia. Ajali nyingi zinapatikana kwenye hizo 40km.
Wakulaumiwa pale ni Tanroads sio madereva.
Msafara wanakuwa peke yao wanatumia lane zote mbili kwa wakati mmoja, hata gari ikihama hakuna Madhara, bw sauli gari imehama kaikuta fuso imepumzika kaivaa!!! Ajali za hapo nyingi ni head on collision, ukitoka salama mungu hajakupendaLile eneo lilitakiwa kuwekwa zege
Hivi msafara wa rais,waziri mkuu wakipitaga hapo wanapitaga speed????
Ova
Dah apumzike kunako stahiliMsafara wanakuwa peke yao wanatumia lane zote mbili kwa wakati mmoja, hata gari ikihama hakuna Madhara, bw sauli gari imehama kaikuta fuso imepumzika kaivaa!!! Ajali za hapo nyingi ni head on collision, ukitoka salama mungu hajakupenda
DuhNakumbuka kuna siku Sauli aliweka challenge ya mtu kula mayai ya kuchemsha trei moja.
Kuna mwamba alikuwa anaitwa Jose tulikuwa tunamuita jina la utani Coliver.
Huyu jamaa alipita na mayai 30, wakati Sauli anashangaa jamaa kawezaje. Jamaa akaomba apewe na Coca ashushie.
Vijana wa Chunya wakawa wanamtania Coliver, wakasema "daah hapo mwanangu usiku hauna haja ya kuchoma dawa ya mbu kwasababu mbu utakuwa unawaua tu kwa ushuzi"
Kwahiyo kifo sio suluhisho la watu kuwa wajeuri?Kifo ndio kiboko yetu.
laiti binadamu tusinge kuwa tunakufa tungekuwa jeuri sana.
tunakufa lakini bado watu wanajeuri, wanadhulumiana, wanaoneana. shida tupu!
r.i.p
mbele yetu nyuma yake.
Sio kweli, gari yake iligongwa kwa nyuma na fuso iliyofeli breki ikapelekea yeye kugonga roli.Msafara wanakuwa peke yao wanatumia lane zote mbili kwa wakati mmoja, hata gari ikihama hakuna Madhara, bw sauli gari imehama kaikuta fuso imepumzika kaivaa!!! Ajali za hapo nyingi ni head on collision, ukitoka salama mungu hajakupenda