TANZIA Mkurugenzi wa Kampuni ya Mabasi ya Sauli, Solomoni Mwalabhila afariki dunia

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
WanaChunya tupo kwenye majonzi
Usitutoe kwenye reli
 
Yani mi sauli nilikuwa nazipenda sana hizo bus
Basi nkamu tutahamia kwa ABC
Mi sikuwa shabiki wa hizo bus
Lakini nilipenda tu namna alivyotikisa barabarani
Shabiki kindakindaki Jadda ,gari zake pendwa
Ngoja tuone nani atabadili rekodi yake.

Watu wa Mbeya sijajua ni ushamba ama ni kufuata mkumbo
ABC na uzuri wake ila gari halina abiria kabisa.

Sasahivi wote wamejazana kwenye Achimwene
Tajiri wetu mpya wanaChunya..naye kwa mbwembwe ametupia hadi route ya Chunya.
 
Mimi mwenyewe naipenda na zile ligi zao na New force nikipandisha Green city ndio bus zangu huniambii kitu.!!
Halafu umkute dereva wa sauli Tito, New force linyama awwww hilo battle lake hapo road lazima ukubali.!!
Km ulivaa bra mikanda mibovu nyonyo utalikuta limechomoka lipo nje 🀣🀣🀣🀣
 
Mara linapepea pale kitonga korongoni,mkanda unakatikaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Mie mambo ya kufukuzana ,labda nishabikie nikiwa nje.

Gari yangu pendwa ni ABC ,no population at all

New force sijawahi kupanda na sitakuja kupanda.

Sauli nilipanda zikiwa zimeshachoka..
Jamaa alikuwa na nafasi ya kurudi tena kivingine maana watu wa Mbeya walikuwa wameamua kufuata mkumbo kumpenda.
 
😹😹😹 wale wajinga wana overtake mpk kitonga hawaogopi!!
Nkamu hutaki kukaa roho juu juu 🀣
 
Yote ni mapenzi ya Mungu, duniani tunapita; unachoweza kufanya hapa duniani fanya, baada ya kifo hakuna sehemu nyingine utaweza fanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…