Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 4,385
- 6,443
Kiwango cha umaskini ni kikubwa mno nchiniPunje zimekata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiwango cha umaskini ni kikubwa mno nchiniPunje zimekata
Sio kweli, gari yake iligongwa kwa nyuma na fuso iliyofeli breki ikapelekea yeye kugonga roli.
😂😂😂😂😂jamaniKuwa Mtanzania inatosha, sio lazima uwe Mpumbavu pia.
😂😂😂😂Nakumbuka kuna siku Sauli aliweka challenge ya mtu kula mayai ya kuchemsha trei moja.
Kuna mwamba alikuwa anaitwa Jose tulikuwa tunamuita jina la utani Coliver.
Huyu jamaa alipita na mayai 30, wakati Sauli anashangaa jamaa kawezaje. Jamaa akaomba apewe na Coca ashushie.
Vijana wa Chunya wakawa wanamtania Coliver, wakasema "daah hapo mwanangu usiku hauna haja ya kuchoma dawa ya mbu kwasababu mbu utakuwa unawaua tu kwa ushuzi"
Siku zake zilifika tuNilipoona Gari zake Mara ajali Mara nn.
Nikajua Utajiri wake Sasa huooooo nayeye mwenyewe mbioni kuondoka.
Chunya nimekaa sana hapo napajua jua japo saizi miaka imeenda ila hunipotezi.😂😂😂😂
WanaChunya tupo kwenye majonzi
Usitutoe kwenye reli
Chunya nimekaa sana hapo napajua jua japo saizi miaka imeenda ila hunipotezi.😂😂😂😂
WanaChunya tupo kwenye majonzi
Usitutoe kwenye reli
Nyuma yake mbele yetu😁Dah!! Siku za mwana wa Adamu za kuishi ni chache sana.!!
Mbele yake, nyuma yetu.
Apumzike anapostahili
Nkamu msiba umenichanganya 🤣🤣🤣Nyuma yake mbele yetu😁
Njoo sasahivi nikupoteze Chunya😂😂😂😂😂😂Chunya nimekaa sana hapo napajua jua japo saizi miaka imeenda ila hunipotezi.
Hivi Sauli wamemzikia kwao Godima au pale pale town?
Tajiri katuchanganyaNkamu msiba umenichanganya 🤣🤣🤣
Yani mi sauli nilikuwa nazipenda sana hizo busTajiri katuchanganya
Imekuwa ghafla jamani.
Ligi za magari ndio basi tena Mbeya mwee
Vijana walikuwa wanabet uyole pale
Mi sikuwa shabiki wa hizo busYani mi sauli nilikuwa nazipenda sana hizo bus
Basi nkamu tutahamia kwa ABC
Mimi mwenyewe naipenda na zile ligi zao na New force nikipandisha Green city ndio bus zangu huniambii kitu.!!Mi sikuwa shabiki wa hizo bus
Lakini nilipenda tu namna alivyotikisa barabarani
Shabiki kindakindaki Jadda ,gari zake pendwa
Ngoja tuone nani atabadili rekodi yake.
Watu wa Mbeya sijajua ni ushamba ama ni kufuata mkumbo
ABC na uzuri wake ila gari halina abiria kabisa.
Sasahivi wote wamejazana kwenye Achimwene
Tajiri wetu mpya wanaChunya..naye kwa mbwembwe ametupia hadi route ya Chunya.
Mara linapepea pale kitonga korongoni,mkanda unakatika😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌Mimi mwenyewe naipenda na zile ligi zao na New force nikipandisha Green city ndio bus zangu huniambii kitu.!!
Halafu umkute dereva wa sauli Tito, New force linyama awwww hilo battle lake hapo road lazima ukubali.!!
Km ulivaa bra mikanda mibovu nyonyo utalikuta limechomoka lipo nje 🤣🤣🤣🤣
😹😹😹 wale wajinga wana overtake mpk kitonga hawaogopi!!Mara linapepea pale kitonga korongoni,mkanda unakatika😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌
Mie mambo ya kufukuzana ,labda nishabikie nikiwa nje.
Gari yangu pendwa ni ABC ,no population at all
New force sijawahi kupanda na sitakuja kupanda.
Sauli nilipanda zikiwa zimeshachoka..
Jamaa alikuwa na nafasi ya kurudi tena kivingine maana watu wa Mbeya walikuwa wameamua kufuata mkumbo kumpenda.
Ujinga wa kukimbia hovyo😹😹😹 wale wajinga wana overtake mpk kitonga hawaogopi!!
Nkamu hutaki kukaa roho juu juu 🤣
😂😂😂 nkamu wewe muogaUjinga wa kukimbia hovyo
Mwishowe watu wanawahi kuzimu
Tunampa Mungu kazi nzito aisee.