Uchaguzi 2020 Mkurugenzi wa NEC, Dkt. Mahera apumzishwe haraka, anaweza kutupeleka kwenye matatizo makubwa

Uchaguzi 2020 Mkurugenzi wa NEC, Dkt. Mahera apumzishwe haraka, anaweza kutupeleka kwenye matatizo makubwa

Tataizo NEC huwa wanawekwa watu ambao hawakuwa na matumaini yoyote, Mahera alikuwa Mkurugenzi wa Halmashauri lakini hajitambui mpaka DC wake Muro alikuwa anamtukana hadharani kwasababu ya Umbumbumbu

Mtu anatoka kuwa mkurugenzi wa.Halmashauri mpaka kuwa Mkurugenzi wa NEC!

Kumbe ndiye huyu aliyechelewa.kufika kwenye mkutano mmoja na Muro akawa anamtukana na yeye kikawa kinajechekesha chekesha! Hata Kiswahili kuongea hajui eti Bra Bra! Bra hajui kuwa ni sigiria.
 
Mimi naona TUME kumwita TAL ni kumuongezea umaarufu. Wana muhujumu Magufuli. JPM anatakiwa awe makini na hatua hizi. Kwa sababu kimsingi JPM amevunja kanuni nyingi za uchaguzi kuliko TAL. Hivyo alitakiwa aitwe kwanza. TAL ataenda kuwatoa jasho wabaki na aibu
Wanampaisha Lissu bila kupenda
 
Katika wakurugenzi wote wa Tume tuliowahi kuwa nao, huyu wa sasa is the most hopeless. Hata ukimsikiliza, unaona kabisa au ana evil heart au ana very low IQ.
 
Kuna ugumu gani kufanya kampeni za kistaarabu bila kukejeliana?

Wewe na genge lenu ndio mnatuharibia Nchi, hamuwezi kutulazimisha tufate mtakavyo nyie tu!

Uchaguzi utapita na Tanzania itabaki salama which is against your wishes!
 
Tataizo NEC huwa wanawekwa watu ambao hawakuwa na matumaini yoyote, Mahera alikuwa Mkurugenzi wa Halmashauri lakini hajitambui mpaka DC wake Muro alikuwa anamtukana hadharani kwasababu ya Umbumbumbu
Yule mahela, unaona kabisa, Ni wale wanaosoma kwa kukariri lakini wanamaliza masomo bila ya kuwa na maarifa yoyote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila ninapomsikiliza huyu mkurugenzi napata wasi wasi kabisa na uwezo wake wa kuifanya tume ya uchaguzi ikafanya haki. Kwanini isichukuliwe kua yeye ndiye chanzo cha hizi engua engua?...

Mkurugenzi wa Tume kwa sasa anaandamwa kwa kusimamia maadili ya uchaguzi lakini tukiacha ushabiki wa kisiasa ni kweli Kuna wagombea wanaotumia lugha za matusi?

Je hizo lugha sisi wananchi tunazifurahia?
Je tulitaka mkurugenzi wa uchaguzi akae kimya wakati kanuni za maadili zinavunjwa?
Je akikaa kimya tuko tayari kuvumilia matokeo ya ukiukwaji huo wa maadili?

Mwisho tukumbuke kuwa Tanzania ni muhimu kuliko hawa wagombea wetu au hata vyama vyetu amani ya nchi hii ipo mikononi mwetu tunapoona mamlaka zinachukua hatua kwa uvunjwaji wa Sheria tuwaache wafanye kazi zao binafsi nadhangaa kuona Kuna wenzetu wanataka kutetea wavunja sheria.

Wakati mwingine tuwe tunajifunza kuona mbali badala ya kuongozwa na mawazo ya wasaka madaraka bila kuangalia njia wanazotumia kupata hayo madaraka
 
Yule Bwana kama ni kubalance mchezo kapambana sana, Tatizo CDM!
Wanavyozidi kuachiwa wao wanazidi kukosea, kulikuwa na haja gani Mgombea urais kudanganya Umma?
Si ana kundi la watu 50 wao ndio wangesema hayo?
Lengo kuu la TL ni kuvuruga, sio kushinda kiti
 
Mkuu usiwe mbumbumbu kama walivyo MATAGA.Tatizo siyo mkurugenzi,tatizo ni maelekezo yanatoka kwa Magufuli.Wewe unaweza kumgomea mtu anaekulisha wewe pamoja na Familia yako?Mkurugenzi wa NEC anapitia wakati mgumu sana ndiyo maana mwarubaini ni tume huru.
Tume huru ni nzuri, lakini ccm hawaitaki! Tutawatoa na litume Lao, alafu tuijenge nchi yetu! Mahera na Polepole wana ujinga unaofanana, sijui ni kwa kuwa wote ni vibaraka wa Mtu mmoja?!
 
Kuna ugumu gani kufanya kampeni za kistaarabu bila kukejeliana?
Wewe na genge lenu ndio mnatuharibia Nchi, hamuwezi kutulazimisha tufate mtakavyo nyie tu!
Uchaguzi utapita na Tanzania itabaki salama which is against your wishes!
Kamwambie mgombea wako afanye kampeni za kistaarabu. Maana hakuna anayemzidi kwa kuvunja kanuni na sheria.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mahera anashikilia nafasi nyeti ya kitaifa. Na alitakiwa aonyeshe yupo 'neutral' wakati anatoa tangazo la kumuita Tundu ajieleze. Naona ametoa tangazo kwenye vyombo vya habari kwa papara na hasira na hiyo imeleteleza kujianika wazi kuwa ana upande. Mbona hakukasirishwa na mgombea kujinadi kwa lugha za kikabila? Mbona hakukasirishwa na mgombea kutisha wapiga kura wasipomchagua?
Yule mahera ni kada mtiifu sana wa chama, ccm.mwenye ile clip yake akizungumza na wanaccm atuwekee humu.
Pale haongozi kwa ukada, anaongoza kwa Sheria zinzotokana na Katiba yetu ya JMT
 
Huyo jini hapo tume ataleta vurugu nchii hii mimi nimemwona tangu zamani sana. Huwa kuna watu wenye roho fulani wasio na utu ndio wanawekwa maeneo kama hayo. Watu hawa hawana utu wala aibu. Huwezi kumweka pale tume mtu mwaninifu na mwenye akili zake timamu hataweza kufanya ushenzi unaotakiwa pake. Na huyu ana nguvu kuliko hata Jaji Semistocles.
Humjui Jaji wewe!
Ile team iko very smart!
Shida ni nyie na ulevi wa wagombea, maana hamuoni wanapokosea
 
Back
Top Bottom