Uchaguzi 2020 Mkurugenzi wa NEC, Dkt. Mahera apumzishwe haraka, anaweza kutupeleka kwenye matatizo makubwa

Tume haisindikizwi kutoka nje akiwa na maana inasindikizwa kutoka ndani. Huyu ni wa kupigwa travel ban na account zake kuwa frozen na familia yake yote kama DAB
Unafikiri kila mtu anafuata mihemuko. Mkurugenzi yupo sahihi, anazingatia sheria.
 
Tataizo NEC huwa wanawekwa watu ambao hawakuwa na matumaini yoyote, Mahera alikuwa Mkurugenzi wa Halmashauri lakini hajitambui mpaka DC wake Muro alikuwa anamtukana hadharani kwasababu ya Umbumbumbu

Mtu anatoka kuwa mkurugenzi wa.Halmashauri mpaka kuwa Mkurugenzi wa NEC!

Kumbe ndiye huyu aliyechelewa.kufika kwenye mkutano mmoja na Muro akawa anamtukana na yeye kikawa kinajechekesha chekesha! Hata Kiswahili kuongea hajui eti Bra Bra! Bra hajui kuwa ni sigiria.
 
Wanampaisha Lissu bila kupenda
 
Katika wakurugenzi wote wa Tume tuliowahi kuwa nao, huyu wa sasa is the most hopeless. Hata ukimsikiliza, unaona kabisa au ana evil heart au ana very low IQ.
 
Kuna ugumu gani kufanya kampeni za kistaarabu bila kukejeliana?

Wewe na genge lenu ndio mnatuharibia Nchi, hamuwezi kutulazimisha tufate mtakavyo nyie tu!

Uchaguzi utapita na Tanzania itabaki salama which is against your wishes!
 
Tataizo NEC huwa wanawekwa watu ambao hawakuwa na matumaini yoyote, Mahera alikuwa Mkurugenzi wa Halmashauri lakini hajitambui mpaka DC wake Muro alikuwa anamtukana hadharani kwasababu ya Umbumbumbu
Yule mahela, unaona kabisa, Ni wale wanaosoma kwa kukariri lakini wanamaliza masomo bila ya kuwa na maarifa yoyote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila ninapomsikiliza huyu mkurugenzi napata wasi wasi kabisa na uwezo wake wa kuifanya tume ya uchaguzi ikafanya haki. Kwanini isichukuliwe kua yeye ndiye chanzo cha hizi engua engua?...

Mkurugenzi wa Tume kwa sasa anaandamwa kwa kusimamia maadili ya uchaguzi lakini tukiacha ushabiki wa kisiasa ni kweli Kuna wagombea wanaotumia lugha za matusi?

Je hizo lugha sisi wananchi tunazifurahia?
Je tulitaka mkurugenzi wa uchaguzi akae kimya wakati kanuni za maadili zinavunjwa?
Je akikaa kimya tuko tayari kuvumilia matokeo ya ukiukwaji huo wa maadili?

Mwisho tukumbuke kuwa Tanzania ni muhimu kuliko hawa wagombea wetu au hata vyama vyetu amani ya nchi hii ipo mikononi mwetu tunapoona mamlaka zinachukua hatua kwa uvunjwaji wa Sheria tuwaache wafanye kazi zao binafsi nadhangaa kuona Kuna wenzetu wanataka kutetea wavunja sheria.

Wakati mwingine tuwe tunajifunza kuona mbali badala ya kuongozwa na mawazo ya wasaka madaraka bila kuangalia njia wanazotumia kupata hayo madaraka
 
Yule Bwana kama ni kubalance mchezo kapambana sana, Tatizo CDM!
Wanavyozidi kuachiwa wao wanazidi kukosea, kulikuwa na haja gani Mgombea urais kudanganya Umma?
Si ana kundi la watu 50 wao ndio wangesema hayo?
Lengo kuu la TL ni kuvuruga, sio kushinda kiti
 
Tume huru ni nzuri, lakini ccm hawaitaki! Tutawatoa na litume Lao, alafu tuijenge nchi yetu! Mahera na Polepole wana ujinga unaofanana, sijui ni kwa kuwa wote ni vibaraka wa Mtu mmoja?!
 
Kuna ugumu gani kufanya kampeni za kistaarabu bila kukejeliana?
Wewe na genge lenu ndio mnatuharibia Nchi, hamuwezi kutulazimisha tufate mtakavyo nyie tu!
Uchaguzi utapita na Tanzania itabaki salama which is against your wishes!
Kamwambie mgombea wako afanye kampeni za kistaarabu. Maana hakuna anayemzidi kwa kuvunja kanuni na sheria.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yule mahera ni kada mtiifu sana wa chama, ccm.mwenye ile clip yake akizungumza na wanaccm atuwekee humu.
Pale haongozi kwa ukada, anaongoza kwa Sheria zinzotokana na Katiba yetu ya JMT
 
Humjui Jaji wewe!
Ile team iko very smart!
Shida ni nyie na ulevi wa wagombea, maana hamuoni wanapokosea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…