Uchaguzi 2020 Mkurugenzi wa NEC, Dkt. Mahera apumzishwe haraka, anaweza kutupeleka kwenye matatizo makubwa

Yule mahela, unaona kabisa, hata ile akili ya kawaida hana. Ni wale wanaosoma kwa kukariri lakini wanamaliza masomo bila ya kuwa na maarifa yoyote.

Sent using Jamii Forums mobile app
Atakuwa alisoma sayansi au hesabu kule kunahitaji kukariri ameshindwa hata kuedit hio barua aliyiandikiwa na polepole
 
Kuna ugumu gani kufanya kampeni za kistaarabu bila kukejeliana?
Wewe na genge lenu ndio mnatuharibia Nchi, hamuwezi kutulazimisha tufate mtakavyo nyie tu!
Uchaguzi utapita na Tanzania itabaki salama which is against your wishes!
Hakuna kejeli nadhani kuna matusi mf. Polepole kumuita mtu “msukule”
 
Tume huru ni nzuri, lakini ccm hawaitaki! Tutawatoa na litume Lao, alafu tuijenge nchi yetu! Mahera na Polepole wana ujinga unaofanana, sijui ni kwa kuwa wote ni vibaraka wa Mtu mmoja?!
Kwa muundo wa tume ulivyo mwenyekiti wa NEC ni Magufuli!
 
Humjui Jaji wewe!
Ile team iko very smart!
Shida ni nyie na ulevi wa wagombea, maana hamuoni wanapokosea
Huyo jaji kibaraka na wewe mbona hamuoni makosa makubwa ya magu kila mkutano kuanzia kutisha watu, kutoa amri miradi ifanywe, kulugha, nk
 
Kila ninapomsikiliza huyu mkurugenzi napata wasi wasi kabisa na uwezo wake wa kuifanya tume ya uchaguzi ikafanya haki. Kwanini isichukuliwe kua yeye ndiye chanzo cha hizi engua engua?...
CHADEMA, jiandaeni kuishi bila ruzuku
 
Kila ninapomsikiliza huyu Mkurugenzi napata wasiwasi kabisa na uwezo wake wa kuifanya tume ya uchaguzi ikafanya haki. Kwanini isichukuliwe kua yeye ndiye chanzo cha hizi engua engua?...
Hii tume ambayo msingi wake mkubwa ni double standards...Tundu Lissu asiende tuone kitakochofanyika. Hii tume ambayo yenyewe haina maadili...ninewupe kama pamba. Wametoa hukumu gani kwa wagombea ubunge na udiwani wa chadema kwa muda huu wote. There are all working in tandem with all the deds to ensure that winner is Magufuli.

A bunch of sycophants dancing at magufuli's tune all the time. Magufuli has breached all the codes or regulations of this election and nothing has been said or done against him.

He has not followed the timetable during the electioneering, speaking in the local dialect as he pleases during this campaign, dealing with construction of road projects during the campaign, giving money to people.

This is absurd and yet no significant statement has come from NEC to condemn what Magufuli is doing. The only help we need is ICC at the Haque. When was the last time magufuli was in the campaign trail..
 
Kila ninapomsikiliza huyu Mkurugenzi napata wasiwasi kabisa na uwezo wake wa kuifanya tume ya uchaguzi ikafanya haki. Kwanini isichukuliwe kua yeye ndiye chanzo cha hizi engua engua?...
Kwenye matatizo hatupeleki ataenda Yeye. Hivi Mungu ameumba watu kama hawa kweli au wemginr wameumbwa na shetani
 
Kuna ugumu gani kufanya kampeni za kistaarabu bila kukejeliana?
Wewe na genge lenu ndio mnatuharibia Nchi, hamuwezi kutulazimisha tufate mtakavyo nyie tu!
Uchaguzi utapita na Tanzania itabaki salama which is against your wishes!
Kwahiyo nikisema umepora ardhi ya wananchi ni kejeli ??
 
Kama NEC inaongozwa na watu kama akina wilson mahera basi TL anashinda asubuhi mapema. Wanazidi kuonesha Lissu ni Hero.
 
Kila ninapomsikiliza huyu Mkurugenzi napata wasiwasi kabisa na uwezo wake wa kuifanya tume ya uchaguzi ikafanya haki. Kwanini isichukuliwe kuwa yeye ndiye chanzo cha hizi engua engua?...
Wa hivyo ndio Magufuli anapenda na amemuweka hapo kwa makusudi na usishangae yeye ndio anamuagiza ayaseme hayo na huyo mkurugenzi akawa anatumika kama kipaza sauti tu.
 
Huyu mkurugenzi si ndo yule akiwa mkurugenzi arusha alikoromewa na Jerry Muro.atamweza Mwamba kweli.
 
Sio kwamba inasemekana, huyo jamaa ni kada kindaki ndaki wa CCM.
Hii tume ambayo msingi wake mkubwa ni double standards...Tundu Lissu asiende tuone kitakochofanyika. Hii tume ambayo yenyewe haina maadili...ninewupe kama pamba. Wametoa hukumu gani kwa wagombea ubunge na udiwani wa chadema kwa muda huu wote. There are all working in tandem with all the deds to ensure that winner is Magufuli.

A bunch of sycophants dancing at magufuli's tune all the time. Magufuli has breached all the codes or regulations of this election and nothing has been said or done against him.

He has not followed the timetable during the electioneering, speaking in the local dialect as he pleases during this campaign, dealing with construction of road projects during the campaign, giving money to people.

This is absurd and yet no significant statement has come from NEC to condemn what Magufuli is doing. The only help we need is ICC at the Haque. When was the last time magufuli was in the campaign trail..
 
Mkuu leo Magufuli asingekuwa rais.. tulishaahidiwa IST zile za makinikia, achilia mbali laptop.. lakin tupo tunafanya kazi. Kuna 50m kila kijiji lakini kwenye mikutano yetu wala yake hatujawahi kumuuliza. Maana alichomekea tu.

Tusiwe ni mihemko hemko tu ya mambo madogo, wakurugenzi kuitwa dodoma hata kama ni kweli wale si waajiriwa wa serikali,kama rais anaongea na wafanya kazi wake tatizo ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…