Uchaguzi 2020 Mkurugenzi wa NEC, Dkt. Mahera apumzishwe haraka, anaweza kutupeleka kwenye matatizo makubwa

Wapinzani naona wanamtega asivuruge ili ashitakiwe vizuri mahakama ya kimataifa
 
Huyo jaji kibaraka na wewe mbona hamuoni makosa makubwa ya magu kila mkutano kuanzia kutisha watu, kutoa amri miradi ifanywe, kulugha, nk
tatizo kauli ni zile zile tu kila siku, kwasababu mmepandikizwa HAYO!
 
Wameshajua Mzee Baba pamoja na majisifu yake yote kwa miaka mitano, HAUZIKI. Iliyobaki ni kujaribu kulazimisha kumsafishia njia. Watashindwa vibaya.
Sasa hivi wanagawa mbolea mifuko mitatu bure baada ya miaka mitano kuwasahau wakulima
 
Mwenye kutaka kuipeleka Tanzania yetu kwenye matatizo ni Tundu Lissu, huyu ndio inabidi ashughulikiwe na NEC mapema iwezekanavyo. Kwa vile kaachiwa aropoke ropoke kwa muda sasa anadhani yuko juu ya sheria. Akiendelea hivyo sheria itachukua mkondo wake na hapo ndipo hao akina AMSTERDAM watakaposhangaa na wasijue la kufanya!
 
Kama wewe ni professor basi ni professor mufilisi yaani swala la nchi swala la maisha yako na vizazi vijavyo swala la Tanzania kwanza la ubovu na ushenzi wa tume unasema. Ni la wapinzani tume hii si huru inapaswa kulaaniwa na kila mtanzania mwenye mapenzi mema na nchi sio wapinzani tu
 
Kweli kabisa aisee! Alichoanza kufanya sio kazi yake kabisa na kinyume na utaratibu! Ila wajue watanzania wa sasa sio wale wa mwaka 1960 !
 
Mgombea Lissu akitoa maneno ya dharau na kebehi, kwa upinzani ni sahihi, ati kasema ukweli. Akiambiwa maneno na vitendo, vya aina hiyo, ni kinyume cha MAADILI YA UCHAGUZI WA RAIS, WABUNGE NA MADIWANI YA MWAKA 2020 (Chini ya Kifungu cha 124.A cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343, Tume inashutumiwa.

Hadi sasa hakuna mgombea aliyechukuliwa hatua za kisheria kwa kukiuka, kwa makusudi, hayo maadili, zaidi ya kuonywa. Tukumbuke na tutambue kuwa Kuna maisha baada ya Uchaguzi,
 
Jamaa yuko biased vibaya mno.
 
Huyu MPUUZI ni janga kubwa la Taifa.


 
aiseee uyu jamaa ata ukimuangalia tu ongea yake ana wasiwasi inaonekana kama anachokitegemea hakiendani na uhalisia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…