CONTRARIAN
JF-Expert Member
- Jun 21, 2023
- 982
- 3,137
Ili? Unataka useme na wewe ni mtoto wake?Marehemu aliacha mali kiasi gani
Haya kaacha bucha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ili? Unataka useme na wewe ni mtoto wake?Marehemu aliacha mali kiasi gani
Kwa hiyo unataka waache mali zichukuliwe na huyo msimamizi?Wachaga na kugombea urithi mnalitia taifa aibu,nyie mnachowaza ni hela tu,hapo watoto wengine wa marehemu wamekataliwa kisa mali,aibu sana 🤔
Poleni sana.Ndugu Mkurugenzi wa Ritta
Huyu ninayemwongelea ni mmoja wa ndugu zangu aliefariki 2019
Marehemu Edwin Moshi mwenye Kitambulisho cha Nida No 19450805-14115-00001-29
alifariki tar 19-2-2019 Hosptial ya Kinondoni hospital na ugonjwa wa kansa ya kibofu
Marehemu ameacha jumla ya watoto wanne wawilli wa Ndoa na wawili wa nje na wote wana umri zaidi ya miaka 18
Baada ya kufariki alipata tangazo la kifo no BD 0668249(idara ya msajili wa vizazi na vifo)
Tangu afariki msimamizi wa mirathi za marehemu aliwasumbua sana watoto ndani ya miaka mitatu na nusu aligoma kufungua mirathi akiogopa baadhi ya watoto wa ndoa walipingana na e wakati wa matanga hasa upande wa mgao
Marehemu alizikwa makaburi ya Mbweni chini ya Ruhusa ya Serikali za mtaa mbweni
Marehemu aliishi maeneo ya karakata -airport dsm
Baada ya kuona adhma yake haiwezekani akifungua mirathi dar akaenda Moshi Kilimanjaro
Kama tujuavyo kupatikana kwa cheti cha kifo kunahitaji
-Tangazo la kifo
-Barua ya serikali za mtaa anapoishi marehemu na muhtasari......
Kwa kuogopa watoto kutosoma muhtasari alikuja Moshi akaghushi nyaraka pendwa hapo juu zikionyesha marehemu alifia Moshi -Mamba kotela /Na alikuwa akiishi Mamba kotela na huku akijua marehemu hajawahi kuwa na nyumba wala kuishi mmamba kotela wala kufa Moshi mamba kotela
June 16 2022
Msimamizi aliweza kuidanganya ofisi yako tukufu na kufanikiwa kupata cheti cha kifo no 100000293415 Moshi kikionyesha
-Marehemu amefia Mamba kotela
-marehemu alikuwa akiishi mamba kotelaa
-marehemu amekufa na natural death
na sio kansa ya kibofu kama tangazo la kifo la kinondon hospitali linavyosoma
Haitoshi akaenda mahakama ya moshi mamba akaidanganya mahakama kwa kuwaonyesha chti cha kifo cha rita toka moshi huku akijua marehemu amefia dar es salaam ameishi dar na amezikwa dar bila ya kujumuisha watoto wote mahakamani na mirathi ikatolewa bila ya baadhi ya watooto kujumuishwa(hili la mahakama wako nalo ngazi za juu)
Baada ya kuoomba nyaraka alizotumia mahakaman kuidhinisha mirathi anayoijua toka sept2022 alikubali kukabidhi nyaraka za mirathi march mbele ya wanasheria
march 2023
Ndugu Mkurugenzi hawa Yatima wanateseka sana kwa sababu ya mali za baba yao yapo mengi uwezi elza yote hata baadhi ya viwanja vya marehemu amegoma kuviingiza kwenye muhtasari huku akijua n mali ya marehemu(liko mahakaman)na ni kosa mojawapo la kutaka kutpanya mali za marehemu
Tunaomba uchunguzi wako kwa yoote hayo juu na kwa kuwa iko wazi cheti ch kifo kinatoka pale maarehemu alipofia tunaomba baada ya uchunguzi cheti hiki kiidhinishwe ni batili na kutohusika popote mpaka kitakapopatikana cheti halisi cha kifo cha marehemu mpendwa baba yao dar es salaa,m
tumeona kuweeka wazi kwa kuwa swala hili linajulikana sasa pale moshi na msimamizi ameoneakana mara kwa mara ofisi za moshi rita
Kama taasisi ya kusaidia wenye shida za mirathi hasa yatima na wajane tunaimani offisi yako italifanyia kazi kama maombi ya barua yatakayoletwa
ahsante
Hapa hakuna udanganyifu uliofanyika. Natural death ni kifo chochote kilichotokea kwa ugonjwa, ghafla nk pasipo sababu za nje. Ikiwa mtu atafariki dunia kwa ajali, kuuawa basi sababu ya kifo itakuwa ni UNNATURAL, maana sio kifo cha njia ya kawaida. Hawaandiki ugonjwa wa marehemu au details za kilichosababisha kifo katika cheti cha kifo bali katika Tangazo la kifo. Kwa kuandika NATURAL, RITA wapo sahihi mkuu.-marehemu amekufa na natural death
na sio kansa ya kibofu kama tangazo la kifo la kinondon hospitali linavyosoma
well advs ntakucheki mkuu nikishakutananao jtatu asbhPoleni sana.
Kwa sasa, japo hujazungumzia, inawezekana huyo bwana alikwishateuliwa na Mahakama kuwa msimamizi wa mirathi. Kama jibu ni NDIYO, basi cha kufanya ni rahisi tu, ni kufanya maombi mahakamani ya kuomba utenguzi wake kama msimamizi wa mirathi. Sababu za utenguzi ni kukosa uaminifu na kupata usimamizi wa mirathi kwa udanganyifu.
Nani afanye hayo maombi ya kupinga uteuzi? Mtu yoyote yule mwenye maslahi na mali za marehemu, hapa anaweza kuwa mtoto yoyote au watoto wote kwa pamoja. Wataomba jamaa atenguliwe na wawekwe wao, au wawekwe wao pamoja na huyo msimamizi au awekwe KABIDHI WASII MKUU WA SERIKALI (Administrator General).
Suala la kuweka caveat ni muhimu, ingawa kisheria hata msipoweka caveat, jamaa hataweza kuuza mali (viwanja vilivyosajiliwa) pasipo uwepo wa fomu ya warithi kukubali kuuza kiwanja hicho (Heir Consent form) ama sivyo aghushi saini zao, hata mnunuzi atakua mjinga kununua kiwanja bila muhtasari na kuona ridhaa ya wanufaika wa mirathi (warithi).
Kwa kuwa haya ni mambo ya kisheria ni muhimu kuyashughulikia kisheria kuliko kiutawala (administratively) kama hivi. Wasiliana nami kwa 0713368153 nikupe huduma ya kisheria warithi wapate haki zao.
Pia soma andiko langu hili kuhusu mirathi na wosia, Kwa nini mtoane Roho kwa mali alizoacha baba? Ijue Sheria ya MIRATHI, WOSIA na Usimamizi wa mali zitokanazo na Mirathi
Mkuu thx much for advs Jtatu tunaanza naki kote naamini Mungu atawasimamiaNi mahakama tu ndio inaweza kusema Fulani hana kesi ya kujibu.
Kujibu si lazima uwe mshtakiwa, unaweza kuwa shahidi muhimu wa kuthibitisha forgery.
Tena inatakiwa barua atakayoandikiwa DCI copy ipekekwe Takukuru DSM upanga upande wa Ilala.
Sidhani kama ni yeye huyu. Kuna mtu ametumia ID yake.Pow mkuu,kumbe ukiamua kuandika unaandika vizuri enhee
wako wengi wanateseka haswa na hizi mahakama ndogo hawana msaada pa kuanzia unaishia msimamzi kuenjoy moaka anakufa ndio maana kyna kabila moja yaan uinyeshe dalili ya dharau mali za marehemu miezi mitatu mingi unajifia mwenyewe wala awakugusiKwel Jf kisima Cha maarifa 🤓 naona nondo zinashushwa balaa thanks 🙏🙏
naweza kuwa sikupingiHapa hakuna udanganyifu uliofanyika. Natural death ni kifo chochote kilichotokea kwa ugonjwa, ghafla nk pasipo sababu za nje. Ikiwa mtu atafariki dunia kwa ajali, kuuawa basi sababu ya kifo itakuwa ni UNNATURAL, maana sio kifo cha njia ya kawaida. Hawandiki ugonjwa wa marehemu au details za kilichosababisha kifo katika cheti cha kifo bali katika Tangazo la kifo. Kwa kuandika NATURAL, RITA wapo sahihi mkuu.
Hili Suala ni simple sana na huko kwa mkurugenzi wa RITA unazunguka bila ulazima. Tafuta mwanasheria mzuri hapo Moshi nq ushahidi/vielelezo mkalimalize mahakamani. Huyo msimamizi atasimamishwa/ kutenguliwa na kisha taratibu zitaanza upya.Ndugu Mkurugenzi wa Ritta
Huyu ninayemwongelea ni mmoja wa ndugu zangu aliefariki 2019
Marehemu Edwin Moshi mwenye Kitambulisho cha Nida No 19450805-14115-00001-29
alifariki tar 19-2-2019 Hosptial ya Kinondoni hospital na ugonjwa wa kansa ya kibofu
Marehemu ameacha jumla ya watoto wanne wawilli wa Ndoa na wawili wa nje na wote wana umri zaidi ya miaka 18
Baada ya kufariki alipata tangazo la kifo no BD 0668249(idara ya msajili wa vizazi na vifo)
Tangu afariki msimamizi wa mirathi za marehemu aliwasumbua sana watoto ndani ya miaka mitatu na nusu aligoma kufungua mirathi akiogopa baadhi ya watoto wa ndoa walipingana na e wakati wa matanga hasa upande wa mgao
Marehemu alizikwa makaburi ya Mbweni chini ya Ruhusa ya Serikali za mtaa mbweni
Marehemu aliishi maeneo ya karakata -airport dsm
Baada ya kuona adhma yake haiwezekani akifungua mirathi dar akaenda Moshi Kilimanjaro
Kama tujuavyo kupatikana kwa cheti cha kifo kunahitaji
-Tangazo la kifo
-Barua ya serikali za mtaa anapoishi marehemu na muhtasari......
Kwa kuogopa watoto kutosoma muhtasari alikuja Moshi akaghushi nyaraka pendwa hapo juu zikionyesha marehemu alifia Moshi -Mamba kotela /Na alikuwa akiishi Mamba kotela na huku akijua marehemu hajawahi kuwa na nyumba wala kuishi mmamba kotela wala kufa Moshi mamba kotela
June 16 2022
Msimamizi aliweza kuidanganya ofisi yako tukufu na kufanikiwa kupata cheti cha kifo no 100000293415 Moshi kikionyesha
-Marehemu amefia Mamba kotela
-marehemu alikuwa akiishi mamba kotelaa
-marehemu amekufa na natural death
na sio kansa ya kibofu kama tangazo la kifo la kinondon hospitali linavyosoma
Haitoshi akaenda mahakama ya moshi mamba akaidanganya mahakama kwa kuwaonyesha chti cha kifo cha rita toka moshi huku akijua marehemu amefia dar es salaam ameishi dar na amezikwa dar bila ya kujumuisha watoto wote mahakamani na mirathi ikatolewa bila ya baadhi ya watooto kujumuishwa(hili la mahakama wako nalo ngazi za juu)
Baada ya kuoomba nyaraka alizotumia mahakaman kuidhinisha mirathi anayoijua toka sept2022 alikubali kukabidhi nyaraka za mirathi march mbele ya wanasheria
march 2023
Ndugu Mkurugenzi hawa Yatima wanateseka sana kwa sababu ya mali za baba yao yapo mengi uwezi elza yote hata baadhi ya viwanja vya marehemu amegoma kuviingiza kwenye muhtasari huku akijua n mali ya marehemu(liko mahakaman)na ni kosa mojawapo la kutaka kutpanya mali za marehemu
Tunaomba uchunguzi wako kwa yoote hayo juu na kwa kuwa iko wazi cheti ch kifo kinatoka pale maarehemu alipofia tunaomba baada ya uchunguzi cheti hiki kiidhinishwe ni batili na kutohusika popote mpaka kitakapopatikana cheti halisi cha kifo cha marehemu mpendwa baba yao dar es salaa,m
tumeona kuweeka wazi kwa kuwa swala hili linajulikana sasa pale moshi na msimamizi ameoneakana mara kwa mara ofisi za moshi rita
Kama taasisi ya kusaidia wenye shida za mirathi hasa yatima na wajane tunaimani offisi yako italifanyia kazi kama maombi ya barua yatakayoletwa
ahsante
Caveat ina muda gani kuisha?Au haina mda kuisha mda wake?Kama upo serious kuwasaidia Watoto wa marehemu peleka hii barua makao makuu ya Polisi Dar kitengo cha fraud, peleka barua nyingine kwa DCI.
Kisha nenda wizara ya Ardhi Dar omba kuonana na kamishna wa Ardhi, mueleze hii scenario yote na mumpe maombi ya kufunguwa CAVEATE.
Hiyo CAVEAT ikitolewa hakuna Nyumba wala Ardhi ya marehemu inayoruhusiwa kuuzwa mpaka mkae sawa.
Mwisho kaeni kikao cha familia badilisheni Msimamizi wa mirathi andaeni muhktasari pelekeni hiyo Mirathi mahakama ya juu pale Temeke Chang'ombe one stop center, kuna majaji kabisa pale.
Chako lazima kiwe chako, nadhani kwenye maombi 12 kwenye mkesha na hili umeliweka.Mkuu thx much for advs Jtatu tunaanza naki kote naamini Mungu atawasimamia