Mkurugenzi wa Rita Tunaomba uchunguzi cheti cha kifo No 100000203415(MOSHI)/ tangazo la kifo BD 0668249(Dar)Marehemu kafia dar kaishi dar +mirathi mo

Wachaga na kugombea urithi mnalitia taifa aibu,nyie mnachowaza ni hela tu,hapo watoto wengine wa marehemu wamekataliwa kisa mali,aibu sana 🤔
Mkuu
Huku siyo kugombea mirathi. Ni haki ya warithi tena ya kisheria kupata kile wanachostahili kurithi.

Msimamizi wa mirathi anaonekana kukuvutia sana kwa mwenendo wake.

Hii ni kesi ya kugushi na pia jinai
 
Ndugu Mkurugenzi wa Ritta
Huyu ninayemwongelea ni mmoja wa ndugu zangu aliefariki 2019
Marehemu Edwin Moshi mwenye Kitambulisho cha Nida No 19450805-14115-00001-29
alifariki tar 19-2-2019 Hosptial ya Kinondoni hospital na ugonjwa wa kansa ya kibofu

Marehemu ameacha jumla ya watoto wanne wawilli wa Ndoa na wawili wa nje na wote wana umri zaidi ya miaka 18

Baada ya kufariki alipata tangazo la kifo no BD 0668249(idara ya msajili wa vizazi na vifo)
Tangu afariki msimamizi wa mirathi za marehemu aliwasumbua sana watoto ndani ya miaka mitatu na nusu aligoma kufungua mirathi akiogopa baadhi ya watoto wa ndoa walipingana na e wakati wa matanga hasa upande wa mgao

Marehemu alizikwa makaburi ya Mbweni chini ya Ruhusa ya Serikali za mtaa mbweni
Marehemu aliishi maeneo ya karakata -airport dsm

Baada ya kuona adhma yake haiwezekani akifungua mirathi dar akaenda Moshi Kilimanjaro
Kama tujuavyo kupatikana kwa cheti cha kifo kunahitaji
-Tangazo la kifo
-Barua ya serikali za mtaa anapoishi marehemu na muhtasari......

Kwa kuogopa watoto kutosoma muhtasari alikuja Moshi akaghushi nyaraka pendwa hapo juu zikionyesha marehemu alifia Moshi -Mamba kotela /Na alikuwa akiishi Mamba kotela na huku akijua marehemu hajawahi kuwa na nyumba wala kuishi mmamba kotela wala kufa Moshi mamba kotela

June 16 2022
Msimamizi aliweza kuidanganya ofisi yako tukufu na kufanikiwa kupata cheti cha kifo no 100000293415 Moshi kikionyesha
-Marehemu amefia Mamba kotela
-marehemu alikuwa akiishi mamba kotelaa
-marehemu amekufa na natural death
na sio kansa ya kibofu kama tangazo la kifo la kinondon hospitali linavyosoma

Haitoshi akaenda mahakama ya moshi mamba akaidanganya mahakama kwa kuwaonyesha chti cha kifo cha rita toka moshi huku akijua marehemu amefia dar es salaam ameishi dar na amezikwa dar bila ya kujumuisha watoto wote mahakamani na mirathi ikatolewa bila ya baadhi ya watooto kujumuishwa(hili la mahakama wako nalo ngazi za juu)

Baada ya kuoomba nyaraka alizotumia mahakaman kuidhinisha mirathi anayoijua toka sept2022 alikubali kukabidhi nyaraka za mirathi march mbele ya wanasheria
march 2023

Ndugu Mkurugenzi hawa Yatima wanateseka sana kwa sababu ya mali za baba yao yapo mengi uwezi elza yote hata baadhi ya viwanja vya marehemu amegoma kuviingiza kwenye muhtasari huku akijua n mali ya marehemu(liko mahakaman)na ni kosa mojawapo la kutaka kutpanya mali za marehemu

Tunaomba uchunguzi wako kwa yoote hayo juu na kwa kuwa iko wazi cheti ch kifo kinatoka pale maarehemu alipofia tunaomba baada ya uchunguzi cheti hiki kiidhinishwe ni batili na kutohusika popote mpaka kitakapopatikana cheti halisi cha kifo cha marehemu mpendwa baba yao dar es salaa,m

tumeona kuweeka wazi kwa kuwa swala hili linajulikana sasa pale moshi na msimamizi ameoneakana mara kwa mara ofisi za moshi rita

Kama taasisi ya kusaidia wenye shida za mirathi hasa yatima na wajane tunaimani offisi yako italifanyia kazi kama maombi ya barua yatakayoletwa

ahsante
Kuna mijitu ni minyama sana vipi unakula mali ya yatima? Naamini sheria itafuata mkondo wake
 
Wasimamizi wa mirathi wengi hujiweka karibu na familia kwa malengo flani,mali sio yao unaitaka ya nini...tena ukikuta msimamizi ana njaa ndio atauza mali kwa kugushi
 
Chako lazima kiwe chako, nadhani kwenye maombi 12 kwenye mkesha na hili umeliweka.
yaaaaan kwa maombi ya jana nasubiria wakate moto sio kurudi asbh hii kirahisi

nimewaambia wahusika wajiandae na kuzika kabisa kazi zetu tunafanya na maombi pia
 
shida nyinginr n hizi mahakama za mwanzo shida sana tumekuwa tunapambana na kesi kama tatu moja arusha mbili dar yaan wasimamizi wanajidanganya sana na pesa mahakaman wakikukuta umesimamaa unaepambana nao hawaamini matokeo ila mahakaman kuna shida sana pia
 
Relation ya Huyo msimamizi Na marehemu ni ipi?
 
Ndugu Mkurugenzi wa Ritta
Huyu ninayemwongelea ni mmoja wa ndugu zangu aliefariki 2019
Marehemu Edwin Moshi mwenye Kitambulisho cha Nida No 19450805-14115-00001-29
alifariki tar 19-2-2019 Hosptial ya Kinondoni hospital na ugonjwa wa kansa ya kibofu

Marehemu ameacha jumla ya watoto wanne wawilli wa Ndoa na wawili wa nje na wote wana umri zaidi ya miaka 18

Baada ya kufariki alipata tangazo la kifo no BD 0668249(idara ya msajili wa vizazi na vifo)
Tangu afariki msimamizi wa mirathi za marehemu aliwasumbua sana watoto ndani ya miaka mitatu na nusu aligoma kufungua mirathi akiogopa baadhi ya watoto wa ndoa walipingana na e wakati wa matanga hasa upande wa mgao

Marehemu alizikwa makaburi ya Mbweni chini ya Ruhusa ya Serikali za mtaa mbweni
Marehemu aliishi maeneo ya karakata -airport dsm

Baada ya kuona adhma yake haiwezekani akifungua mirathi dar akaenda Moshi Kilimanjaro
Kama tujuavyo kupatikana kwa cheti cha kifo kunahitaji
-Tangazo la kifo
-Barua ya serikali za mtaa anapoishi marehemu na muhtasari......

Kwa kuogopa watoto kutosoma muhtasari alikuja Moshi akaghushi nyaraka pendwa hapo juu zikionyesha marehemu alifia Moshi -Mamba kotela /Na alikuwa akiishi Mamba kotela na huku akijua marehemu hajawahi kuwa na nyumba wala kuishi mmamba kotela wala kufa Moshi mamba kotela

June 16 2022
Msimamizi aliweza kuidanganya ofisi yako tukufu na kufanikiwa kupata cheti cha kifo no 100000293415 Moshi kikionyesha
-Marehemu amefia Mamba kotela
-marehemu alikuwa akiishi mamba kotelaa
-marehemu amekufa na natural death
na sio kansa ya kibofu kama tangazo la kifo la kinondon hospitali linavyosoma

Haitoshi akaenda mahakama ya moshi mamba akaidanganya mahakama kwa kuwaonyesha chti cha kifo cha rita toka moshi huku akijua marehemu amefia dar es salaam ameishi dar na amezikwa dar bila ya kujumuisha watoto wote mahakamani na mirathi ikatolewa bila ya baadhi ya watooto kujumuishwa(hili la mahakama wako nalo ngazi za juu)

Baada ya kuoomba nyaraka alizotumia mahakaman kuidhinisha mirathi anayoijua toka sept2022 alikubali kukabidhi nyaraka za mirathi march mbele ya wanasheria
march 2023

Ndugu Mkurugenzi hawa Yatima wanateseka sana kwa sababu ya mali za baba yao yapo mengi uwezi elza yote hata baadhi ya viwanja vya marehemu amegoma kuviingiza kwenye muhtasari huku akijua n mali ya marehemu(liko mahakaman)na ni kosa mojawapo la kutaka kutpanya mali za marehemu

Tunaomba uchunguzi wako kwa yoote hayo juu na kwa kuwa iko wazi cheti ch kifo kinatoka pale maarehemu alipofia tunaomba baada ya uchunguzi cheti hiki kiidhinishwe ni batili na kutohusika popote mpaka kitakapopatikana cheti halisi cha kifo cha marehemu mpendwa baba yao dar es salaa,m

tumeona kuweeka wazi kwa kuwa swala hili linajulikana sasa pale moshi na msimamizi ameoneakana mara kwa mara ofisi za moshi rita

Kama taasisi ya kusaidia wenye shida za mirathi hasa yatima na wajane tunaimani offisi yako italifanyia kazi kama maombi ya barua yatakayoletwa

ahsante
Kuna mambo mengi naona kama unayaficha kwa nia ovu. Nina maswali mengi sana juu ya hili suala lako. Kama uko serious kabisa na Jambo hili na kwa hakika/dhati kabisa unahitaji msaada, uje inbox kwangu endapo kama unaogopa kuweka wazi details zote hapa Jf
 
Kwanza kuna wanawake pia wana mali ila hawataki kurithisha.
La pili ukirithisha mapema unaweza kutangulizwa kwa Bwana kabla ya muda halali.
Kama umezaa naye watoto wa kutosha kuanzia 4+ hakuna shida, muhimu aweze kukutimizia mahitaji yako tu; mara nyingi kwenye kurithi mali,wanaoumia zaidi huwa ni wanawake na watoto.​
 
God is Good all the tym
 
Back
Top Bottom