Mkurugenzi wa Rita Tunaomba uchunguzi cheti cha kifo No 100000203415(MOSHI)/ tangazo la kifo BD 0668249(Dar)Marehemu kafia dar kaishi dar +mirathi mo

Wachaga na kugombea urithi mnalitia taifa aibu,nyie mnachowaza ni hela tu,hapo watoto wengine wa marehemu wamekataliwa kisa mali,aibu sana 🤔
Mkuu
Huku siyo kugombea mirathi. Ni haki ya warithi tena ya kisheria kupata kile wanachostahili kurithi.

Msimamizi wa mirathi anaonekana kukuvutia sana kwa mwenendo wake.

Hii ni kesi ya kugushi na pia jinai
 
Kuna mijitu ni minyama sana vipi unakula mali ya yatima? Naamini sheria itafuata mkondo wake
 
Mkuu
Huku siyo kugombea mirathi. Ni haki ya warithi tena ya kisheria kupata kile wanachostahili kurithi.

Msimamizi wa mirathi anaonekana kukuvutia sana kwa mwenendo wake.

Hii ni kesi ya kugushi na pia jinai
Ni haki yao kisheria acheni wosia
 
Wasimamizi wa mirathi wengi hujiweka karibu na familia kwa malengo flani,mali sio yao unaitaka ya nini...tena ukikuta msimamizi ana njaa ndio atauza mali kwa kugushi
 
Chako lazima kiwe chako, nadhani kwenye maombi 12 kwenye mkesha na hili umeliweka.
yaaaaan kwa maombi ya jana nasubiria wakate moto sio kurudi asbh hii kirahisi

nimewaambia wahusika wajiandae na kuzika kabisa kazi zetu tunafanya na maombi pia
 
shida nyinginr n hizi mahakama za mwanzo shida sana tumekuwa tunapambana na kesi kama tatu moja arusha mbili dar yaan wasimamizi wanajidanganya sana na pesa mahakaman wakikukuta umesimamaa unaepambana nao hawaamini matokeo ila mahakaman kuna shida sana pia
 
Relation ya Huyo msimamizi Na marehemu ni ipi?
 
Kuna mambo mengi naona kama unayaficha kwa nia ovu. Nina maswali mengi sana juu ya hili suala lako. Kama uko serious kabisa na Jambo hili na kwa hakika/dhati kabisa unahitaji msaada, uje inbox kwangu endapo kama unaogopa kuweka wazi details zote hapa Jf
 
kaka mkubwa na mdogo shida awakuwa na mahusiano mazuri pia
Nani alimchagua awe msimamizi ilihali watoto ni zaidi ya miaka 18? Au mwaka 2019 hawakuwa of age?
 
Kwanza kuna wanawake pia wana mali ila hawataki kurithisha.
La pili ukirithisha mapema unaweza kutangulizwa kwa Bwana kabla ya muda halali.
Kama umezaa naye watoto wa kutosha kuanzia 4+ hakuna shida, muhimu aweze kukutimizia mahitaji yako tu; mara nyingi kwenye kurithi mali,wanaoumia zaidi huwa ni wanawake na watoto.​
 
God is Good all the tym
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…