Mkurugenzi wa Safaricom, Sylvia Mulinge ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania

She's coming because in Tz you don't have enough of local expertise to steer such a blue chip outfit like Vodacom! See who she's replacing,another foreigner!
Do you want JPM to appoint you after rejecting her?
This lady will bring more kenyans. Mark my words
 
This lady will bring more kenyans. Mark my words
Wakenya wanapiga kazi ila usipo kuwa makini nao, kampuni ya voda tz ataleta wafanyakazi wakenya hadi mlinzi wa getini, wanashikana mkono tofauti na watanzania kubaniana kwenye fursa...
 
Dah, hakukuwa na mTz mwenye sifa, hii aibu.
 
Hakuna Mtanzania mwenye sifa! Nitauza share zangu.
 
hana hata masters.. ila anakuja kuongoza wazawa na masters zao za mzumbe na udsm.. hata ceo wa voda aliepita hana hata masters...

hivi vyuo vyetu hivi vibadili sylabus
 
Ni kifaa kweli kweli nadhani si sura tu hadi kichwani ni mzuri vile vile

first class ya university of nairobi mkuu. angalua nairobi na udsm kwenye rankings utaona why hana hata masters ila vodacom wanahisi anafaa kuliko masters zilizojaa za udsm na mzumbe bongo
 
Wakenya wanapiga kazi ila usipo kuwa makini nao, kampuni ya voda tz ataleta wafanyakazi wakenya hadi mlinzi wa getini, wanashikana mkono tofauti na watanzania kubaniana kwenye fursa...
Mna panik as if ni mkenya wa kwanza hapo Voda !
 
first class ya university of nairobi mkuu. angalua nairobi na udsm kwenye rankings utaona why hana hata masters ila vodacom wanahisi anafaa kuliko masters zilizojaa za udsm na mzumbe bongo
Hapana hoja ya chuo nakukatalia,, ila kama ana akili basi ni za kwake za kuzaliwa na angeweza kufanya vizuri chuo chochote. Hata kama utasema chuo lakini hata ukichkulia darasa lake waliomaliza pamoja sii wote wamepata maisha ama kazi bora ya kuonyesha mafanikio. Kuna makinikia kibao wamemaliza naye na wanazurura huko kariobangi, machakosi nyeri kiambuu na Kibera hawana mbele wala nyuma
 
Still remember the former Precisionair CEO..somebody Kioko. I hope Voda TZ will not travel the same root as PW did under Kioko.
 
Kiingereza kilishawapiga chenga,ndo maana wakenya halisi wanateuliwa kusimamia vigezo vikubwa vya kampuni kwenye nchi zenu.
Someni namba kabisa kabisa
Kwahiyo amechaguliwa kwakuwa anajua kiingereza na sio kwa weledi wa kazi husika?

Jibu kinagaubaga
 
Kiingereza kilishawapiga chenga,ndo maana wakenya halisi wanateuliwa kusimamia vigezo vikubwa vya kampuni kwenye nchi zenu.
Someni namba kabisa kabisa
Unajikuta na lugha ya mwenzio, si bora hata ungejivunia sheng yako?
 
Nimefanya kazi nao sana. Wanazalisha na kuiba ila sisi tunaiba bila kujali uzalishaji.
Nakubaliana nawewe

Kwanza watanzania wengi ni wavivu wavivu tu na wezi kwasababu ya ccm.
 
Mmeshindwa kutia wenu pale mpakani karibu na Taveta sasa Mkenya mtamuweza?
Wanaume wa Tz ni hao wa mpakani tu? [emoji23]

Msubirini mtamwona

Huyo akiwa Kenya si ndio anaoa wanaume?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…