Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana first class (hon) ya food science UoN. Kapitia Unilever ndiko aliko Tengenezwa kimasoko. Mie pia nimefanya huko miaka 7 !Ni kifaa kweli kweli nadhani si sura tu hadi kichwani ni mzuri vile vile
This lady will bring more kenyans. Mark my wordsShe's coming because in Tz you don't have enough of local expertise to steer such a blue chip outfit like Vodacom! See who she's replacing,another foreigner!
Do you want JPM to appoint you after rejecting her?
Wakenya wanapiga kazi ila usipo kuwa makini nao, kampuni ya voda tz ataleta wafanyakazi wakenya hadi mlinzi wa getini, wanashikana mkono tofauti na watanzania kubaniana kwenye fursa...This lady will bring more kenyans. Mark my words
This lady will bring more kenyans. Mark my words
Dah, hakukuwa na mTz mwenye sifa, hii aibu.Mkenya Sylvia Mulinge ameteuliwa kuwa Mkurungezi Mkuu wa Vodacom ya Tanzania. Bi. Sylvia alikuwa Director of Consumer Business wa Safaricom alipofanya kazi tangu 2006.
---------------------------------------------
![]()
Safaricom's Director of Consumer Business Sylvia Mulinge has been appointed the head of Tanzania's Vodacom.
Bob Collymore, the company's Chief Executive Officer, made the announcement on Monday.
"Mulinge has been appointed Managing Director effective June 1, 2018. She will be taking over from Ian Ferrao," Collymore said.
"Throughout her 17-year career, she has built a reputation as one of Kenya’s outstanding business leaders. She will leave behind a very strong team."
Mulinge has more than 10 years' experience in marketing, half of it being in the telecoms industry.
She is keen on consumer marketing and brand activation.
Mulinge joined Safaricom in February 2006 from Unilever and rose from the role of Prepay Product Manager to Head of Retail.
She is a first class honours graduate in Food Science and Technology from the University of Nairobi.
The director was recently voted one of the top 40 under 40 most influential women in Kenya by Business Daily.
Collymore also announced that Charles Wanjohi will act as the Interim Director of the Consumer Business Unit and report directly to him.
Wanjohi, who has joined Safaricom's executive committee, has over 15 years' experience in the telecommunications industry.
He joined Safaricom in June 2015 as Head of Consumer Segments Marketing and was responsible for insights that led to the creation of propositions such as Stori Ibambe, Tunukiwa, Safaricom Platinum and BLAZE.
Prior to joining Safaricom, he worked at Eastman Kodak, Celtel Kenya, Zain and Airtel Group.
Source: Safaricom's Sylvia Mulinge named boss of Tanzania's Vodacom
Hizi posts zina mambo mengi sana mkuu.. una eza ukahisi hivyo ila si hivyo. Ambao wapo kwenye multinationals wana elewaDah, hakukuwa na mTz mwenye sifa, hii aibu.
Ni kifaa kweli kweli nadhani si sura tu hadi kichwani ni mzuri vile vile
Mna panik as if ni mkenya wa kwanza hapo Voda !Wakenya wanapiga kazi ila usipo kuwa makini nao, kampuni ya voda tz ataleta wafanyakazi wakenya hadi mlinzi wa getini, wanashikana mkono tofauti na watanzania kubaniana kwenye fursa...
Mmeshindwa kutia wenu pale mpakani karibu na Taveta sasa Mkenya mtamuweza?
Ni kifaa kweli kweli nadhani si sura tu hadi kichwani ni mzuri vile vile
Hapana hoja ya chuo nakukatalia,, ila kama ana akili basi ni za kwake za kuzaliwa na angeweza kufanya vizuri chuo chochote. Hata kama utasema chuo lakini hata ukichkulia darasa lake waliomaliza pamoja sii wote wamepata maisha ama kazi bora ya kuonyesha mafanikio. Kuna makinikia kibao wamemaliza naye na wanazurura huko kariobangi, machakosi nyeri kiambuu na Kibera hawana mbele wala nyumafirst class ya university of nairobi mkuu. angalua nairobi na udsm kwenye rankings utaona why hana hata masters ila vodacom wanahisi anafaa kuliko masters zilizojaa za udsm na mzumbe bongo
Kwahiyo amechaguliwa kwakuwa anajua kiingereza na sio kwa weledi wa kazi husika?Kiingereza kilishawapiga chenga,ndo maana wakenya halisi wanateuliwa kusimamia vigezo vikubwa vya kampuni kwenye nchi zenu.
Someni namba kabisa kabisa
Unajikuta na lugha ya mwenzio, si bora hata ungejivunia sheng yako?Kiingereza kilishawapiga chenga,ndo maana wakenya halisi wanateuliwa kusimamia vigezo vikubwa vya kampuni kwenye nchi zenu.
Someni namba kabisa kabisa
Nakubaliana naweweNimefanya kazi nao sana. Wanazalisha na kuiba ila sisi tunaiba bila kujali uzalishaji.
Wanaume wa Tz ni hao wa mpakani tu? [emoji23]Mmeshindwa kutia wenu pale mpakani karibu na Taveta sasa Mkenya mtamuweza?