Jibu lako haliridhushi, nataka kujua kama kuna tax planning au avoidance. Au ni nini hawa jamaa wanacho cha ziada, either income generation au cost of production. Wasije wakawa wanaplan ya kuuza safaricom?
Si ndo maana Magu akawalazimisha ku-list DSE! Hakuna kuruhusu Vodacom kunuliwa na Safaricom.