TANZIA Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC), Profesa Damian Gabagambi afariki dunia

Alikuwa anasumbuliwa na nini!?
 
Sasa wewe unajua Nini? Hata NDC hujui? Wewe ungekua mti Basi ungekua mpapai dume. Hufai hata kua gogo la choo
I think it was a matter of answering my question rather than speaking a lot of things here because it does not help anyone. I thought you're smart but now I know you're not.
 
It should be Agricultural Economics and Agribusiness.
Yaani wewe unajifanya umepitia chuo kumbe hata long form ya course abbreviation hujui......halafu mnasema Magufuli hatoi ajira. Atoe ajira kwa pimbi?
Upo sahihi kabisa. Nmefurahi kuona umeipata overall meaning ya sentensi yangu mattercall wewe.
 
Jiwe alituaminisha kuwa corona imeshindwa kwa jina la BWANA lakini sasa watu wameanza kuvunwa kwa kasi kubwa!!! TWAFA!!!!
Corona imebaki kuwa ugonjwa kama malaria. Maiti hazijatapakaa barabarani kama wapinzani walivyokua wakiomba iwe
Mungu aendelee kutulinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…