TANZIA Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC), Profesa Damian Gabagambi afariki dunia

TANZIA Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC), Profesa Damian Gabagambi afariki dunia

Tutammiss Sana prof , kipindi chake nilikua nakaa mbele pale SUA mazimbu campus ili niienjoy economics vizuri .
 
Agricultural Economics au Agriculture Economics? Sidhani kama ulisoma hiyo course
Typo. Nimesoma tatizo sijaitumia katika maisha yangu ya mtaani tangu nimemaliza chuo. To add, it was an elective course so i never gave a $#!+ about it.
 
Pumzika kwa Amani mzee wetu, Daah SUA inapoteza hazina zake
 
Kwamba kuna maprofesa ambao hawana cash 100M?
 
Naona umeng'ang'ana na 'jamaa yako' ukidhani labda itakuwa ni code.

Sina uhakika wa mtu yeyote kuwa na ubongo.
Yani waliomfahamu marehemu wamemuongelea positively,

ila wewe tu na hiyo stori yako ya kusikia(?)


Wewe na huyo jamaa yako,walewale tu!
 
Yani waliomfahamu marehemu wamemuongelea positively,

ila wewe tu na hiyo stori yako ya kusikia(?)


Wewe na huyo jamaa yako,walewale tu!
Mkuu Mimi sikuwahi kumuona ila kumsikia tu.
Sina baya na yeyote aliye hai ama aliyetangulia, ndio maana niliandika RIP PROF.
 
The late Ashimogo, Suma Mwaitulo, Gabagambi, Mafu, etc makes me cry
Rest in peace waalimu wangu. Dr. Ashimogo mzee wa agricultural marketing, Mwaitulo na horticulture yake now Gabagambi mzee wa macro economics! Duh [emoji24][emoji24][emoji24]

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
 
Daah . . . nimeshtuka sana upata taarifa za kifo chake. Ni jamaa mmoja ambaye alikuwa poa sana. Very brainy na mkarimu sana. Nilipomtafuta siku fulani nilipokuwa na shida nilipata msaada stahiki kabisa. He was one of my inspirational figures kwenye academia. Na sio siri, taifa limepoteza mtu muhimu sana kwa maendeleo yake. Alikuwa msaada sana kwa kila aliyemhitaji. Nina mengi sana ya kumzungumzia huyu Profesa. Anyway, apumzike kwa amani
 
MKURUGENZI wa Shirika la
Maendeleo la Taifa (NDC), Profesa
Damian Gabagambi amefariki dunia hospitali ya Taifa ya Muhimbili leo.

Awali kabla ya kuteuliwa kuwa Mkurugenzi wa NDC alikua Muadhiri,Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine(SUA).

Msiba upo nyumbani kwake Masaki

RIP prof ,mwalimu wangu wa Tumaini University, mstaarabu ,very social, humble, intelligent.
 
Back
Top Bottom