Wewe ndio nimekuelewa sio wale wanaosema haipoWewe haupo Tanzania lakini ni kimbelembele tu na Covid-19 yako. Kwani watz hawajui kuwa kuna corona. Sisi tulishakubali kuishi nayo kama ilivyo kwa HIV na magonjwa mengine. Wewe endelea kubeba mabox huko Ulaya.
Nanukuu:"Kwenye chakula wamekaa pamoja na hakuna tuliyemuona amevaa barakoa"
Nashangaa sana,hivi inawezekana vipi kiongozi mmoja mwendawazimu na Juha ambae ameingia madarakani kwa kuiba kura afanye watu wote kuwa wajinga na wapumbavu?!Tanzania kuna kitu hakiko sawa!
Maelezo yanaonesha wanafunzi wa kutwa hawapo shuleni ni wanafunzi wa bweni ndio waliopo, isingewezekana kuwarudisha nyumbani siku hiyohiyo.Chukua tahadhari COVID19 ipo Tanzania na inaua haraka sana.
Askofu Amani awataka mapadri, watawa kuchukua tahadhari ya corona
Thursday January 21 2021
Askofu wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha, Isaac Amani ametoa waraka akiwataka waumini kuendelea kuchukua tahadhari ya ugonjwa wa Covid-19 ikiwa ni pamoja na kunawa mikono kwa maelezo kuwa ugonjwa huo bado upo na unayasumbua mataifa mbalimbali duniani...
TusitishaneChukua tahadhari COVID19 ipo Tanzania na inaua haraka sana...
Kwahiyo tufe kimya kimyaa na covid 19 siyo.
View attachment 1682801
Ukweli ni kuwa Corona ipo hapo Moshi International School, na shule imefungwa. Kuna mpwa wangu anasoma kwenye hiyo shule na jana jioni amerejea Dar akitokea moshi.
Kilichofanyika ni funika Kombe ili mwanaharamu apite.
Acha upumbavu wakoEndeleza tu upumbavu wako.
Anakaa nae ofisini kwakeAnakuja naye kazini ili aje awaambukize na nyinyi au?
Acha upumbavu wako
Fahamu kwa undani nadharia ya ‘Lockdown YOYO effect’ , mchezo wa kujaza maji ndoo ilitoboka
YOYO ni kidude cha kuchezea ambacho kinakuwa na kamba kama ya spring ambacho kinashikwa mkononi na kuchezewa ambapo kinashuka chini na kupanda juu chenyewe. Nadharia ya ‘Lockdown YOYO effect’ ni kwamba, ni either uweke lockdown hadi wagonjwa wafike 0 kabisa (practically impossible) au usiweke...www.jamiiforums.com
Unaishiwa hoja unaanza kuharisha uharo kupitia mdomoni, toa hojaWapumbavu kama wewe ni tatizo sana Nchini bora tu ndom ingetumika.