Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,474
- 4,007
- Thread starter
- #21
Vyuma vinakaza mke anapatwa na saratani ya matiti chagua mojaVyuma vinazidi kukaza
Vyuma vinakaza mke anapatwa na saratani ya matiti chagua mojaVyuma vinazidi kukaza
Ipinge basi elimu yake kuwa sio.
Yeye kafanya tafiti kutokana na elimu yake, huwezi tenganisha elimu ya mtu na tafiti anazofanya kutokana na elimu yake vinginevyo upinge elimu yake ndio itaonyesha tafiti yake sio.Kwa nini niipinge elimu yake?
Kwani siwezi kuikubali elimu ya mtu halafu nikampinga mtu huyo kwenye mambo mengine?
Yeye kafanya tafiti kutokana na elimu yake, huwezi tenganisha elimu ya mtu na tafiti anazofanya kutokana na elimu yake vinginevyo upinge elimu yake ndio itaonyesha tafiti yake sio.
mfumo wa uzazi haupo na huo ndio huwasiliana na matiti saratani wataipataje huku kukiwa hakuna mawasiliano ya uzazi na matiti (hii inahitaji ufafanuzi zaidi tena wa kina).Nawaza kwa sauti japo si sauti ya juu. Inamaana wanawake tasa(wasio na uwezo wa kushika mimba, hivyo hawawezi kupata watoto wa kunyonya nyonyo zao) watakuwa wana hiyo saratani?
Mpaka hapa umeelewa na uamue sasa kuongeza idadi ya watoto ili kukwepa saratani ila kumbuka ukichaa wa kuongea hovyo barabarani upo sijui utachagua kipDuh!
Haya, sawa!!!!
Na wale waliopata mtoto mmoja au wawili pekee, uzazi ukagoma(hawakufunga kizazi) na hawakupata hiyo saratani, unawazungumziaje?mfumo wa uzazi haupo na huo ndio huwasiliana na matiti saratani wataipataje huku kukiwa hakuna mawasiliano ya uzazi na matiti (hii inahitaji ufafanuzi zaidi tena wa kina).
Hujawahi nyonya? kama umewahi mara ngapWanaume nao waruhusiwe kunyonya baada ya mtoto kuachishwa ili kupunguza risk ya kupata hyo saratani ya matiti
Kina dada wameshakutwa na saratani unasema uchwara kweli, pangekuwa hamna matokeo ndio ingekuwa uchwaraYaani hizi tafiti zingine ni uchwara tu.
Umewahi nyonyaNaunga hoja!!
Nawaza kwa sauti japo si sauti ya juu. Inamaana wanawake tasa(wasio na uwezo wa kushika mimba, hivyo hawawezi kupata watoto wa kunyonya nyonyo zao) watakuwa wana hiyo saratani?
Mimi nazaa watoto ninaoweza kuwaleaVyuma vinakaza mke anapatwa na saratani ya matiti chagua moja
Inabidi nirudi tu darasani, maana najiona bonge la kilaza. Unamaanisha sentesi zifuatazo, sikuzisoma kwa kuelewa?Kumbuka hapo ishu ni kunyonywa maziwa...so haijalishi yananyonywa na mtu mzima au mtoto
Mimi nazaa watoto ninaoweza kuwalea