Haya Ni Magugu Yaliyomea Na Ngano Sasa Ni Muda Wa Kuyang'oa Haraka Sana.Haya mabaki ya mwendazake ndio yatamuharibia Samia
hawa ni wale remnants wa late president. watakiwa kuondolewa kabisa. SSH asipokuwa makin watamchafulia uongozi wake.Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke, Dkt. Mwakibibi leo aliwaweka chini ya ulinzi waandishi wa habari waliofika ofisini kwake kuripoti yanayojiri katika kikao cha mkurugenzi huyo na wafanyabiashara.
Waandishi hao walifika ili kupata ukweli wa madai ya wafamyabiashara hao kwamba Dkt. Mwakibibi anawakatia risiti feki wanapolipia kodi za vibanda vyao.
Waandishi wamedai kuwekwa ndani hadi mkutano ulipokwisha ndipo wakaachiliwa huru.
Chanzo: ITV habari
My take; Mwakibibi anajisahau sana utawala huu siyo wa mwendazake!
Huyu udaktari kaupata wapi? Tanzania kila mtu ni daktari?Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke, Dkt. Mwakibibi leo aliwaweka chini ya ulinzi waandishi wa habari waliofika ofisini kwake kuripoti yanayojiri katika kikao cha mkurugenzi huyo na wafanyabiashara.
Waandishi hao walifika ili kupata ukweli wa madai ya wafamyabiashara hao kwamba Dkt. Mwakibibi anawakatia risiti feki wanapolipia kodi za vibanda vyao.
Waandishi wamedai kuwekwa ndani hadi mkutano ulipokwisha ndipo wakaachiliwa huru.
Chanzo: ITV habari
My take; Mwakibibi anajisahau sana utawala huu siyo wa mwendazake!
Hivi bado hawasomi alama za nyakati? Si ndiye huyo huyo Mkurugenzi wa Temeke alimjibu mwandishi kuwa si hadhi yake kuonana labda Mkurugenzi wa chombo husika. Km huwahitaji waandishi wa habari kwenye kikao chako, ni kiasi cha kuwaelekeza tu.
This is too much, wanawachafua hata waliowateua. Nafikiri huyu DED atakuwa wa kwanza kuyumbuliwa ktk hizo nafasi za Ukurugenzi.
Viongozi wasome alama za nyakati, Wamwelewe Mh. Rais SSH.
Kama ni kweli na huyu jamaa akiendelea hivi, atarudishwa “field” aendelee na kazi yake ile nyingine. Zama zimebadilika.
Huyu ndugu sijui kama atatoboa, kama kumbukumbu zangu zipo sawa kama siyo mwaka huu ni last year mwishoni alimjibu vibaya mwandishi wa aitivi
Ukiona wanakuwa na uadui na vyombo vya Habari basi ujue kuna uozo wanaouficha na ni Wezi wa Mali za Umma
Huyu dogo hajitambui kabisa. Hata wananchi wa Temeke hawawezi kufanya appointment kuonana nae. Makalani wake wanamlinda sana amekuwa Mungu mtu. Ana majivuno na kudharau wengine. Nadhani hata DC wa Temeke hamtaki aendelee pale. Gondwe ni mstaraabu na ni muelewa sana. Anaharibiwa na Risubilo Mwakabibi
Dr. Magufuli kaondoka nchi ishaanza kuchezewa na akina 'Unanijua Mimi Nani Nitakuweka Ndani'
Huyu mkurugenzi alishawahi sababisha kifo cha mkuu wa shule,he is not a good person at all,hayo anayofanya ndo kariba yake huyo.Hatua za kisheria zichukuliwe dhidi yake,by the way he is walking at the edge of thim.Binadamu wa ajabu huyu anageuza ofisi ya uma kuwa mali yake binafsi,kulikuwa na haja gani ya kuwafukuza wanahabari wakati umetuhumiwa kutoa stakabadhi bandia?Haukuwa wakati muafaka kutoa ufafanuzi ili hata hao wanahabari unaowatuhumu kuandika uongo na kukusingizia waujue ukweli?Kuna jambo haliko sawa.Ama hujitambui,umeshindwa kusoma alama za nyakati au ulimbukeni cheo umekuzonga
Mwite Mtukufu Mwakabibi , alinunua gari kwa zaidi ya mil 470 Jiwe akaufyata kudadeki !Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke, Dkt. Mwakibibi leo aliwaweka chini ya ulinzi waandishi wa habari waliofika ofisini kwake kuripoti yanayojiri katika kikao cha mkurugenzi huyo na wafanyabiashara.
Waandishi hao walifika ili kupata ukweli wa madai ya wafamyabiashara hao kwamba Dkt. Mwakibibi anawakatia risiti feki wanapolipia kodi za vibanda vyao.
Waandishi wamedai kuwekwa ndani hadi mkutano ulipokwisha ndipo wakaachiliwa huru.
Chanzo: ITV habari
My take; Mwakibibi anajisahau sana utawala huu siyo wa mwendazake!
Ngoja tuone mwisho wakeNadhani ana aleji na waandishi wa habari!
Aisee kumbe anamajanga mengiHuyu mkurugenzi alishawahi sababisha kifo cha mkuu wa shule,he is not a good person at all,hayo anayofanya ndo kariba yake huyo.Hatua za kisheria zichukuliwe dhidi yake,by the way he is walking at the edge of thim.
KIGOMA: Mkuu wa Shule ya Sekondari Kakonko ajinyonga, asema Mkurugenzi wa Kakonko asipodhibitiwa ataua wengi
MKUU wa Shule ya Sekondari Kakonko wilayani Kakonko mkoani Kigoma,Peter Rubonya amefariki dunia baada ya kujinyonga kwa kamba ofisini kwake mapema leo asubuhi. Akielezea tukio hilo,Mwalim wa zamu wa shule hiyo Isaac Japhet amesema yeye alifika shuleni hapo saa 12:30 asubuhi ili kuwafundisha...www.jamiiforums.com
Nataka kujua nini yule dk uchwara abbas atafanyaMkurugenzi wa Manispaa ya Temeke, Dkt. Mwakibibi leo aliwaweka chini ya ulinzi waandishi wa habari waliofika ofisini kwake kuripoti yanayojiri katika kikao cha mkurugenzi huyo na wafanyabiashara.
Waandishi hao walifika ili kupata ukweli wa madai ya wafamyabiashara hao kwamba Dkt. Mwakibibi anawakatia risiti feki wanapolipia kodi za vibanda vyao.
Waandishi wamedai kuwekwa ndani hadi mkutano ulipokwisha ndipo wakaachiliwa huru.
Chanzo: ITV habari
My take; Mwakibibi anajisahau sana utawala huu siyo wa mwendazake!
Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke, Dkt. Mwakibibi leo aliwaweka chini ya ulinzi waandishi wa habari waliofika ofisini kwake kuripoti yanayojiri katika kikao cha mkurugenzi huyo na wafanyabiashara.
Waandishi hao walifika ili kupata ukweli wa madai ya wafamyabiashara hao kwamba Dkt. Mwakibibi anawakatia risiti feki wanapolipia kodi za vibanda vyao.
Waandishi wamedai kuwekwa ndani hadi mkutano ulipokwisha ndipo wakaachiliwa huru.
Chanzo: ITV habari
My take; Mwakibibi anajisahau sana utawala huu siyo wa mwendazake!
Huyu sio wale watembeaji wa K'nyama?hawa ni wale remnants wa late president. watakiwa kuondolewa kabisa. SSH asipokuwa makin watamchafulia uongozi wake.