Mkurugenzi wa Temeke, Mwakabibi awasweka ndani waandishi wa habari ili wasihudhurie kikao chake na wafanyabiashara

Huyu dogo hajitambui kabisa. Hata wananchi wa Temeke hawawezi kufanya appointment kuonana nae. Makalani wake wanamlinda sana amekuwa Mungu mtu. Ana majivuno na kudharau wengine. Nadhani hata DC wa Temeke hamtaki aendelee pale. Gondwe ni mstaraabu na ni muelewa sana. Anaharibiwa na Risubilo Mwakabibi
 
Kwamba utawala wa mwendazake ilikua ni sawa kuwaweka watu ndani bila sababu?
 
Mama akishangaa atapandwa kichwani hyu huku tmk tunamwita kajimungu ndan ya muhimili uliojificha
 
Haya mabaki ya mwendazake ndio yatamuharibia Samia
Haya Ni Magugu Yaliyomea Na Ngano Sasa Ni Muda Wa Kuyang'oa Haraka Sana.
DC Asifumbie Macho Hilo Akumbuke Hilo Ni Bango Moja
😆😃😂😁😀😅🚮
 
Dr. Magufuli kaondoka nchi ishaanza kuchezewa na akina 'Unanijua Mimi Nani Nitakuweka Ndani'
 
Binadamu wa ajabu huyu anageuza ofisi ya uma kuwa mali yake binafsi,kulikuwa na haja gani ya kuwafukuza wanahabari wakati umetuhumiwa kutoa stakabadhi bandia?Haukuwa wakati muafaka kutoa ufafanuzi ili hata hao wanahabari unaowatuhumu kuandika uongo na kukusingizia waujue ukweli?Kuna jambo haliko sawa.Ama hujitambui,umeshindwa kusoma alama za nyakati au ulimbukeni cheo umekuzonga
 
waandishi wa Tanzania wanaongoza kwa habari za uongo
 
Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke, Dkt. Mwakibibi leo aliwaweka chini ya ulinzi waandishi wa habari waliofika ofisini kwake kuripoti yanayojiri katika kikao cha mkurugenzi huyo na wafanyabiashara.

Waandishi hao walifika ili kupata ukweli wa madai ya wafamyabiashara hao kwamba Dkt. Mwakibibi anawakatia risiti feki wanapolipia kodi za vibanda vyao.

Waandishi wamedai kuwekwa ndani hadi mkutano ulipokwisha ndipo wakaachiliwa huru.

Chanzo: ITV habari

My take; Mwakibibi anajisahau sana utawala huu siyo wa mwendazake!
hawa ni wale remnants wa late president. watakiwa kuondolewa kabisa. SSH asipokuwa makin watamchafulia uongozi wake.
 
Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke, Dkt. Mwakibibi leo aliwaweka chini ya ulinzi waandishi wa habari waliofika ofisini kwake kuripoti yanayojiri katika kikao cha mkurugenzi huyo na wafanyabiashara.

Waandishi hao walifika ili kupata ukweli wa madai ya wafamyabiashara hao kwamba Dkt. Mwakibibi anawakatia risiti feki wanapolipia kodi za vibanda vyao.

Waandishi wamedai kuwekwa ndani hadi mkutano ulipokwisha ndipo wakaachiliwa huru.

Chanzo: ITV habari

My take; Mwakibibi anajisahau sana utawala huu siyo wa mwendazake!
Huyu udaktari kaupata wapi? Tanzania kila mtu ni daktari?
 
Hivi bado hawasomi alama za nyakati? Si ndiye huyo huyo Mkurugenzi wa Temeke alimjibu mwandishi kuwa si hadhi yake kuonana labda Mkurugenzi wa chombo husika. Km huwahitaji waandishi wa habari kwenye kikao chako, ni kiasi cha kuwaelekeza tu.

This is too much, wanawachafua hata waliowateua. Nafikiri huyu DED atakuwa wa kwanza kuyumbuliwa ktk hizo nafasi za Ukurugenzi.

Viongozi wasome alama za nyakati, Wamwelewe Mh. Rais SSH.
Kama ni kweli na huyu jamaa akiendelea hivi, atarudishwa “field” aendelee na kazi yake ile nyingine. Zama zimebadilika.
Huyu ndugu sijui kama atatoboa, kama kumbukumbu zangu zipo sawa kama siyo mwaka huu ni last year mwishoni alimjibu vibaya mwandishi wa aitivi
Ukiona wanakuwa na uadui na vyombo vya Habari basi ujue kuna uozo wanaouficha na ni Wezi wa Mali za Umma
Huyu dogo hajitambui kabisa. Hata wananchi wa Temeke hawawezi kufanya appointment kuonana nae. Makalani wake wanamlinda sana amekuwa Mungu mtu. Ana majivuno na kudharau wengine. Nadhani hata DC wa Temeke hamtaki aendelee pale. Gondwe ni mstaraabu na ni muelewa sana. Anaharibiwa na Risubilo Mwakabibi
Dr. Magufuli kaondoka nchi ishaanza kuchezewa na akina 'Unanijua Mimi Nani Nitakuweka Ndani'
Binadamu wa ajabu huyu anageuza ofisi ya uma kuwa mali yake binafsi,kulikuwa na haja gani ya kuwafukuza wanahabari wakati umetuhumiwa kutoa stakabadhi bandia?Haukuwa wakati muafaka kutoa ufafanuzi ili hata hao wanahabari unaowatuhumu kuandika uongo na kukusingizia waujue ukweli?Kuna jambo haliko sawa.Ama hujitambui,umeshindwa kusoma alama za nyakati au ulimbukeni cheo umekuzonga
Huyu mkurugenzi alishawahi sababisha kifo cha mkuu wa shule,he is not a good person at all,hayo anayofanya ndo kariba yake huyo.Hatua za kisheria zichukuliwe dhidi yake,by the way he is walking at the edge of thim.
 
Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke, Dkt. Mwakibibi leo aliwaweka chini ya ulinzi waandishi wa habari waliofika ofisini kwake kuripoti yanayojiri katika kikao cha mkurugenzi huyo na wafanyabiashara.

Waandishi hao walifika ili kupata ukweli wa madai ya wafamyabiashara hao kwamba Dkt. Mwakibibi anawakatia risiti feki wanapolipia kodi za vibanda vyao.

Waandishi wamedai kuwekwa ndani hadi mkutano ulipokwisha ndipo wakaachiliwa huru.

Chanzo: ITV habari

My take; Mwakibibi anajisahau sana utawala huu siyo wa mwendazake!
Mwite Mtukufu Mwakabibi , alinunua gari kwa zaidi ya mil 470 Jiwe akaufyata kudadeki !
 
Huyu mkurugenzi alishawahi sababisha kifo cha mkuu wa shule,he is not a good person at all,hayo anayofanya ndo kariba yake huyo.Hatua za kisheria zichukuliwe dhidi yake,by the way he is walking at the edge of thim.
Aisee kumbe anamajanga mengi
 
Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke, Dkt. Mwakibibi leo aliwaweka chini ya ulinzi waandishi wa habari waliofika ofisini kwake kuripoti yanayojiri katika kikao cha mkurugenzi huyo na wafanyabiashara.

Waandishi hao walifika ili kupata ukweli wa madai ya wafamyabiashara hao kwamba Dkt. Mwakibibi anawakatia risiti feki wanapolipia kodi za vibanda vyao.

Waandishi wamedai kuwekwa ndani hadi mkutano ulipokwisha ndipo wakaachiliwa huru.

Chanzo: ITV habari

My take; Mwakibibi anajisahau sana utawala huu siyo wa mwendazake!
Nataka kujua nini yule dk uchwara abbas atafanya
 
Tusubiri Mjazake atafanyaje
Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke, Dkt. Mwakibibi leo aliwaweka chini ya ulinzi waandishi wa habari waliofika ofisini kwake kuripoti yanayojiri katika kikao cha mkurugenzi huyo na wafanyabiashara.

Waandishi hao walifika ili kupata ukweli wa madai ya wafamyabiashara hao kwamba Dkt. Mwakibibi anawakatia risiti feki wanapolipia kodi za vibanda vyao.

Waandishi wamedai kuwekwa ndani hadi mkutano ulipokwisha ndipo wakaachiliwa huru.

Chanzo: ITV habari

My take; Mwakibibi anajisahau sana utawala huu siyo wa mwendazake!
 
Kumekucha ..unanijua mimi nani imerudi tena?subiri mwenyekiti wa ulinzi na usalama wa wilaya mwenye mamlaka amweke naye ndani.mkurugenzi anapata wapi mmlaka hiyo?
 
Lusubilo Mwakabibi kafanya haya kweliii !! My former boss
 
Back
Top Bottom