Halafu shirika limeingiza hasara.Pesa za harambee wanazitoa wapi?
Ajabu hii..Halafu shirika limeingiza hasara.
Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Reli Tanzania Masanja Kadogosa ameahidi kutoa milioni 10 kwenye harambee iliyoandaliwa na Muhashamu Askofu Flaviani Katindi Kasala wa Jimbo Katoliki la Geita, kwa kushirikiana na Baba Paroko Padri Japheth Masalu wa Parokia ya Bikira Maria Msaada wa Daima Kome kwa ajili ya ukarabati wa jengo la parokia hiyo.
Mshahara na mengineyo, usitake kila kitu ujue.Chanzo cha mapato hayo ni wapi hasa?
Unapewa kadi moja yenye fomu ukachangishe kwa marafiki zakoPesa za harambee wanazitoa wapi?
Mshahara na mengineyo, usitake kila kitu ujue.
Mwambini Lisu wenu aache ubahili hizo hela za tonetone aende achangie huo ujenzi wa kanisaYawezekana kabisa Mambo kama haya ya kuchangia harambee nyuma yake kuna 'mchezo mchafu' wa masuala ya Rushwa, Ufisadi, na biashara haramu ya Utakatishaji wa Fedha
Hela zake binafsi unataka zitumike kulips mafao? Mjinga weweMshenzi tu huyu Kuna watu wanadai mamilioni trc wastaafu mpaka wanakufa hawajawahi kulipwa chochote Leo masanja anajidai kusaidia makanisa
Kwanini asiwachangishe watu ili wafidie hasara iliyoingiza shirika lake?Unapewa kadi moja yenye fomu ukachangishe kwa marafiki zako
Hujawahi shiriki harambee wewe?
Mshamba wa Harambee wewe
Yeye kwenye fomu aweza changia milioni moja hizo zingine akachangisha watu wengine lakini anahesabika yeye ndie katoa
Wanapaka rangi mabehewa makuukuuPesa za harambee wanazitoa wapi?
We Kwa haraka haraka tu unadhani analipwa shilingi Kwa mwezi?Pesa za harambee wanazitoa wapi?