PreGE2025 Mkurugenzi wa TRC Masanja Kadogosa aahidi milioni 10 kwa ukarabati wa Kanisa Parokia ya Kome

PreGE2025 Mkurugenzi wa TRC Masanja Kadogosa aahidi milioni 10 kwa ukarabati wa Kanisa Parokia ya Kome

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwanini asiwachangishe watu ili wafidie hasara iliyoingiza shirika lake?
Umesoma mahesabu hasara ilivyopatikana?

Kuna vitu ni vya kitaalamu ambavyo hiyo ripoti ya CAG haikuzingatia utaalamu

Mfano kila tiketi ya treni au ndege unayokata Tra hupata mgao hapo hapo kupitia kodi ya VAT ambayo ni asilimia 18

Ina maana serikali ilipata mapato asilimia 18 kama mgao toka mashirika hayo mawili ya reli na ndege
Zilizobaki wakatumia kuendeshea gharama za uendeshaji

Huo mgao wa kwanza walishapata gawio
 
Hasara ni hasara tu.
 
Mashirika yanayoitia hasara Serikali bora yangeendeeshwa na Interns tu. Unaitwa mkurugenzi wa super loss making machine 😂😂
Ile loss sio loss hasa kuna mengine kwenye hiyo ripoti sio loss hasa kuna kitu kinaitwa depreciation ya reli,treni mabehewa nk yanakuwa mapesa mengi ukisoma ripoti Kienyeji waweza dhani shirika linapata hasara lina matumizi makubwa kumbe mengine ni hayo ma depreciation nk
 
Mwambini Lisu wenu aache ubahili hizo hela za tonetone aende achangie huo ujenzi wa kanisa

Hawezi kupiga yowe tu ohh maaskofu hawaniskilizi nikiongea

Wakati maaskofu wakiongea kuwa tuna harambee anajifanya kuziba masikio kama hasikii kabisa anakuwa kiziwi ghafla

Anataka wao wamsikilize yeye ila yeye asiwasikilize wao ikiwemo harambee zao

Kwanza hivi huko kwenye tone tone.Lisu kachangia shilingi ngapi?
hakika ujumbe wa lisu wa NO REFORMS NO ELECTIONS unawafikia
 
hakika ujumbe wa lisu wa NO REFORMS NO ELECTIONS unawafikia
Yeye mwenyewe anatakiwa a reform kwa kuchangia pesa tonetone na kuchangia harambee za kanisa

Badala tu ya kuzunguka akipiga mayowe tu na kutumia tu pesa za tonetone wachangazo wengine
 
Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Reli Tanzania Masanja Kadogosa ameahidi kutoa milioni 10 kwenye harambee iliyoandaliwa na Muhashamu Askofu Flaviani Katindi Kasala wa Jimbo Katoliki la Geita, kwa kushirikiana na Baba Paroko Padri Japheth Masalu wa Parokia ya Bikira Maria Msaada wa Daima Kome kwa ajili ya ukarabati wa jengo la parokia hiyo.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

million 10 zipo kwenye uwigo wa kipato chake halali
 
Unapewa kadi moja yenye fomu ukachangishe kwa marafiki zako

Hujawahi shiriki harambee wewe?

Mshamba wa Harambee wewe

Yeye kwenye fomu aweza changia milioni moja hizo zingine akachangisha watu wengine lakini anahesabika yeye ndie katoa
Acha kuona watu wajinga kuna kupledge wewe kama wewe na hiyoo kadi yakuchangisha kwa ndugu jamaa na marafiki, yeye kapledge yeye kama yeye.

Kwangu naona sio mbaya ishu ni kwasababu ni mtu maarufu tuu. Watu tunakipato cha kawaida tuu lakini kanisani kwenye harambee tunachangia mil2, na sio kwamba unatoa cash unatoa kidogo kidogo mwaka mzima labda kila mwezi unatoa laki 2 kwa mwaka unakuta ushatoa 2.4m.

Kama yeye kapledge hiyoo mil 10, anaweza akaamua kutoa 1mil kila mwezi. Baada ya miezi 10 kamaliza.

Kutoa kwa mkupuo hapo ndo maswali yanakuwa mengi fedha kapata wapi.
 
million 10 zipo kwenye uwigo wa kipato chake halali
Ila katika wakurugenzi ambao binafsi ningekuwa mkurugenzi TRC mshahara ningedai wanilipe milioni 300 kwa mwezi

Yaani kashikiria kazi kubwa nchi nzima
Hizi

Ya kwanza kusimamia ujenzi wa reli zote Tanzania

Pili Kusimamia uendeshaji wa biashara wa treni zote Tanzania za abiria na mizigo

Tatu kusimamia ujenzi wa mabehewa toka nje ya nchi

Nne kusimamia ujenzi wa Meli zote za TRC zilizoko maziwa yote Tanzania

Tano kusimamia uendeheji wa biashara wa meli zote za TRC

Sita kusimamia maintainance ya reli na meli nchi nzima

Saba kujenga na kusimamia miundo mbinu ya umeme wa reli nchi nzima

Saba kusimamia uendeshaji wa shirika wa idara zote za shirika

Binafsi bila kulipwa milioni 300 kila mwezi hiyo kazi nisingefanya ya ukurugenzi mkuu
 
TRC waliacha kumpa tenda ya kipande cha Tabora - Kigoma aliyetaka kulipwa billions wakamchukua aliyetaka trillions
 
Ile loss sio loss hasa kuna mengine kwenye hiyo ripoti sio loss hasa kuna kitu kinaitwa depreciation ya reli,treni mabehewa nk yanakuwa mapesa mengi ukisoma ripoti Kienyeji waweza dhani shirika linapata hasara lina matumizi makubwa kumbe mengine ni hayo ma depreciation nk
mkuu Juzi tu nimetoka kutuma Mzigo kwenda Kigoma, Kilo zilikua above 200 wakaniambia... Waweke kilo chache niliipie kwa control number halafu zilizobaki niwape cash watanipa Punguzo...shirika la hivi unadhani litakaa lipate faida ?
 
Mie nilizani milioni 100 mbona hizo milioni 10 watu huwa wanaochangia sana tena bila kelele? Sasa kwenye harambee mgeni asiposema kiasi wale wengine watachangia kweli? Umuhimu hachangii nyumba ya mtu na akichangia Kwa pesa zake baraka atazipata mwenyewe.
 
mkuu Juzi tu nimetoka kutuma Mzigo kwenda Kigoma, Kilo zilikua above 200 wakaniambia... Waweke kilo chache niliipie kwa control number halafu zilizobaki niwape cash watanipa Punguzo...shirika la hivi unadhani litakaa lipate faida ?
Ungekataa kuwa nalipa zote kwenye control number

Na wewe unachangia kufa shirika
 
Acha kuona watu wajinga kuna kupledge wewe kama wewe na hiyoo kadi yakuchangisha kwa ndugu jamaa na marafiki, yeye kapledge yeye kama yeye.

Kwangu naona sio mbaya ishu ni kwasababu ni mtu maarufu tuu. Watu tunakipato cha kawaida tuu lakini kanisani kwenye harambee tunachangia mil2, na sio kwamba unatoa cash unatoa kidogo kidogo mwaka mzima labda kila mwezi unatoa laki 2 kwa mwaka unakuta ushatoa 2.4m.

Kama yeye kapledge hiyoo mil 10, anaweza akaamua kutoa 1mil kila mwezi. Baada ya miezi 10 kamaliza.

Kutoa kwa mkupuo hapo ndo maswali yanakuwa mengi fedha kapata wapi.
Tatizo hawatoagi sadaka kanisani Bali Kwa waganga wakienyeji wanatoa bila wasiwasi, mie mwenyewe nilijua million mia, halafu hata kama mia kama anazitoa mwenyewe shida nini! Mshahara wake wanaujua ? Akiba yake je! Kuna watu kanisani huwa wanatoa cash hata million 10, 5, 2 na nikitu chakawaida, acha wamjengee MUNGU nyumba ya ibada.
 
Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Reli Tanzania Masanja Kadogosa ameahidi kutoa milioni 10 kwenye harambee iliyoandaliwa na Muhashamu Askofu Flaviani Katindi Kasala wa Jimbo Katoliki la Geita, kwa kushirikiana na Baba Paroko Padri Japheth Masalu wa Parokia ya Bikira Maria Msaada wa Daima Kome kwa ajili ya ukarabati wa jengo la parokia hiyo.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mbona kama analet fitna na majungu,kwani akiwa na fuso la biashara hawezi Fanya hayo?
 
Back
Top Bottom