PreGE2025 Mkurugenzi wa TRC Masanja Kadogosa aahidi milioni 10 kwa ukarabati wa Kanisa Parokia ya Kome

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Unapewa kadi moja yenye fomu ukachangishe kwa marafiki zako

Hujawahi shiriki harambee wewe?

Mshamba wa Harambee wewe

Yeye kwenye fomu aweza changia milioni moja hizo zingine akachangisha watu wengine lakini anahesabika yeye ndie katoa
Shida Hawa wapiga kelele wanalala kwao hawajui michakato inaendaje
 
Unapewa kadi moja yenye fomu ukachangishe kwa marafiki zako

Hujawahi shiriki harambee wewe?

Mshamba wa Harambee wewe

Yeye kwenye fomu aweza changia milioni moja hizo zingine akachangisha watu wengine lakini anahesabika yeye ndie katoa
Harambee nyingi wanafosi wafanyakazi wa chini yao wachangie, hata hiyo million uliyoweka sizani km atatoa..!!

Hii tabia hata kwa ma-DED wa halmashauri wanayo wanapoweka mikesha ya mwenge..!!

Swali la msingi: Na yale magoli ya mama huwa nayo pesa zinatoka wapi? Nimeona una kaujuaji flani hivi, hebu tusaidie kujua na hilo..!!
 
Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Reli Tanzania Masanja Kadogosa ameahidi kutoa milioni 10 kwenye harambee iliyoandaliwa na Muhashamu Askofu Flaviani Katindi Kasala wa Jimbo Katoliki la Geita, kwa kushirikiana na Baba Paroko Padri Japheth Masalu wa Parokia ya Bikira Maria Msaada wa Daima Kome kwa ajili ya ukarabati wa jengo la parokia hiyo.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Badala ya kujikita kwenye kupunguza hasaranza TRC , anatoa michango ili aonekane wa maana.
 
Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Reli Tanzania Masanja Kadogosa ameahidi kutoa milioni 10 kwenye harambee iliyoandaliwa na Muhashamu Askofu Flaviani Katindi Kasala wa Jimbo Katoliki la Geita, kwa kushirikiana na Baba Paroko Padri Japheth Masalu wa Parokia ya Bikira Maria Msaada wa Daima Kome kwa ajili ya ukarabati wa jengo la parokia hiyo.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Naye vipi. Anagombea ? Ni swali tu. Ndugu zangu.
 
Wana mishahara minono hawaoni shida kutoa milioni 10. Sasa jitu unalikuta linachukua zaidi ya 20m net pay kwa mwezi kabla ya marupurupu mengine litashindwa kutoa 10m?
Pesa za harambee wanazitoa wapi?
 
Acha kuona watu wajinga kuna kupledge wewe kama wewe na hiyoo kadi yakuchangisha kwa ndugu jamaa na marafiki, yeye kapledge yeye kama yeye.

Kwangu naona sio mbaya ishu ni kwasababu ni mtu maarufu tuu. Watu tunakipato cha kawaida tuu lakini kanisani kwenye harambee tunachangia mil2, na sio kwamba unatoa cash unatoa kidogo kidogo mwaka mzima labda kila mwezi unatoa laki 2 kwa mwaka unakuta ushatoa 2.4m.

Kama yeye kapledge hiyoo mil 10, anaweza akaamua kutoa 1mil kila mwezi. Baada ya miezi 10 kamaliza.

Kutoa kwa mkupuo hapo ndo maswali yanakuwa mengi fedha kapata wapi.
Unaujua mshahara wake boss?
 
Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Reli Tanzania Masanja Kadogosa ameahidi kutoa milioni 10 kwenye harambee iliyoandaliwa na Muhashamu Askofu Flaviani Katindi Kasala wa Jimbo Katoliki la Geita, kwa kushirikiana na Baba Paroko Padri Japheth Masalu wa Parokia ya Bikira Maria Msaada wa Daima Kome kwa ajili ya ukarabati wa jengo la parokia hiyo.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Ni kama walizificha kusubiri CAG atimize wajibu waanze kutumia.
 
Mwambini Lisu wenu aache ubahili hizo hela za tonetone aende achangie huo ujenzi wa kanisa

Hawezi kupiga yowe tu ohh maaskofu hawaniskilizi nikiongea

Wakati maaskofu wakiongea kuwa tuna harambee anajifanya kuziba masikio kama hasikii kabisa anakuwa kiziwi ghafla

Anataka wao wamsikilize yeye ila yeye asiwasikilize wao ikiwemo harambee zao

Kwanza hivi huko kwenye tone tone.Lisu kachangia shilingi ngapi?

Lissu ameingiaje hapa kwenye comment yangu hiyo?
 
Back
Top Bottom